KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI?
Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia
(Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa...