kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Ulinzi wa Mashahidi zitatumikaje kwenye kesi dhidi ya Lissu?

    Naomba kusaidiwa na wanasheria nguli waliomo humu jf na msaada wenyewe ni kuhusu kanuni za ushahidi zilizokuwa gazetted jana tarehe 17 July 2025. Kanuni hizi zinawezaje kuwa applicable kwenye kesi ya Lissu iliyofunguliwa April 2025 ambayo kimsingi ni nyuma ya kanuni kwa miezi mitatu? Na Kama...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba

    Wizara ya Katiba na Sheria Yahudumia 3,000 Msaada wa Kisheria Sabasaba Watu zaidi ya 3,000 wamepatiwa msaada wa kisheria na Wizara ya Katiba na Sheria, ndani ya siku 13 kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), Sabasaba, yanayoendelea. Kauli hiyo imetolewa na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu leo amejitetea kwa umahiri mkubwa sana kisheria, laiti Mahakama zingelikuwa huru, leo angelikuwa uraiani

    DPP V. Yahaya Upanga & Another, [1983] TLR 151 (HC), In Republic V. Twalib Umbwa [2005] TLR 420 (HC). In DPP V. Yahaya Upanga the Court said: “If the court refuses to adjourn the case after an application for adjournment, whether or not the case was ready for hearing on the day on which the...
  4. DR VRM

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

  5. F

    JamiiForums Tanzania msaada wa kisheria kuhusu mchakato wa madai ya kuachiswa kazi

    Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin february then march ikatolewa notisi nyingine ya kusitisha mradi wa afya endelevu,ambao mwajiri ambae...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ni Rahisi Kupoteza Biashara Yako Kama Hautailinda Kisheria

    Jinsi Nilivyomsaidia Mteja Wangu Kumsajilia Jina la Biashara Nilipokutana na mteja wangu kwa mara ya kwanza, alikuwa amechoka na mawazo akijaribu kuanzisha biashara yake. Alikuwa na ndoto, wazo, na hata jina la biashara alilopenda lakini hakuwa na ufahamu kamili wa taratibu rasmi za kulisajili...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Huwezi kulinda kura ambayo tayari imeibiwa kikatiba, kisheria na kikanuni.

    Katiba: matokeo ya Rais hayawezi kuhojiwa katika mahakama yoyote. Tume hata ikifanya uchafu gani haishitakiwi. Sheria: wanaita sheria mpya, Chukua mfano wa upatikanaji wa Mwenyekiti, mkurugenzi na makamishina. Je Mwenyekiti Mwambegele, Mkurugenzi Kailima na makamishina wakina Mapuri...
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Haki ya Wananchi Kukosoa, Kudai Mabadiliko na Kukataa Uchaguzi Usio Huru: Tathmini ya Kikatiba na Kisheria kwa Mustakabali wa Taifa

    Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je, inajuzu haya kisheria?

    Habari za majukumu wanafamilia wa JF. Mimi nilikuwa naomba ufafanuzi wa kisheria kwa dhati kabla sijaanza kufuata hatua zingine. Kuna kesi ya madai iliyosajiliwa mahakamani na ikatolewa uamuzi kuwa kesi imeisha na mdaiwa aliwekewa muda wa kulipa. Sasa kabla mdaiwa hajafikia ile siku ya kulipa...
  10. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari ni Chadema kujichanganya kisheria. Usiri wao utawagharimu

    Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam. Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Lissu siyo mjinga kuamua kujitetea, nadhani Ina maana kubwa kisheria. Soma hii kutoka mtandaoni

    In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences. Denying an...
  12. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Kuisimamisha taasisi kama CHADEMA kutofanya shughuli zake ni kama kulizuia jeshi la polisi kutokufanya kazi – ni maamuzi yasiyo na mantiki kisheria

    Katika hali ya kawaida ya kikatiba na kisheria, uamuzi wa kuzuia chama cha siasa kama CHADEMA kufanya shughuli zake za kisiasa ni suala zito linalogusa moja kwa moja haki za kikatiba za uhuru wa kushiriki shughuli za kisiasa, uhuru wa kujieleza, na uhuru wa kujiunga na vyama. Katika andiko hili...
  13. article

    JamiiForums Tanzania SWALI KWA DEEP SEEK:Serikali inaweza kupata madhara gani ikifunga Kanisa ikiwa kisheria inakubalika?

    JIBU LA DEEP SEEK:Kufunga Kanisa kisheria kunaweza kuleta madhara kadhaa kwa serikali, hasa ikiwa hatua hiyo inapingwa na sehemu kubwa ya wananchi au inaonekana kukiuka haki za kimsingi za kidini. Kwa kuzingatia mazingira ya kisiasa, kijamii, na kiuchumi, baadhi ya madhara yanayoweza kutokea ni...
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kusitisha au kufuta usajili wa kanisa" inahusisha nini hasa hasa ? Je, ni kutia kufuli majengo ya kanisa hilo ili asiwepo mtu ndani mle?

    https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake kwenda kuzingira na kuwafurusha waumini waliokuwa wakiendelea na ibada ya maombi ya siku 7 ndani ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria /Mawakili maoni yenu: Je naweza kumwambia Hakimu kuwa kuna takwa la kisheria hujalifanya litaharibu kesi hii. Natoa mfano

    Kuna kosa limekuwa likifanyika mara nying katika mabaraza ya ardhi ya wilaya. Nalo ni hili: Wenyeviti, wengi huwa wanasahau kuweka maoni ya wazee baraza na kusoma maoni haya mbele ya wadaawa (OPINION OF THE ASSESORS not recorded or read out to the parties) na hivyo kesi ikienda mbele majaji...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Dickson Matata: Uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutotambua baadhi ya viongozi wa CHADEMA hauna uhalali wa Kisheria upuuzwe

    https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

    Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana. Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kutoa siri za familia ya mwenzako mitandaoni je kisheria ni sawa?. Nawazungumzia Baba Levo na Mwijaku chawa Promax

    Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea chini ya jua! Nikianza na baba levo amewahi kuwa diwani kabisa akiongoza...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kisheria, nini kitafanyika iwapo Tundu Lissu ataendelea kukataa "kutokea kwenye mahakama mtandao" ili kujibu mashitaka kesi yake yanayomkabili?

    Kila mtu anashangaa ni kwanini kesi ya jinai (yenye makosa matatu ya uchochezi) na ya uhaini (treason) zote zikimkabili mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Ndugu Tundu Lissu zimekuwa na complications za ajabu ajabu kiasi hiki.. Mlolongo wa matukio: Tarehe 10/4/2025: ➡Afikishwa kwa mara ya kwanza ktk...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
Back
Top Bottom