kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

    Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!! Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton...
  2. JamiiForums Tanzania Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Katiba na Sheria inasimamia mikataba na majadiliano yote ya kisheria ya Tanzania. Kabudi kashindwa hii kazi akiwa Waziri atawezaje nje?

    Wizara ya Katiba na sheria ni msimamizi wa majadiliano ,mikataba na maduala yote yanayohusu sheria. Kabudi alipokuwa Waziri alikuwa mshauri Mkuu wa mambo haya. Kutumbuliwa kwake means ameshindwa kutekeleza Wajibu wake. Najiuliza, kazi mpya anayoyokwenda kufanya ataifanya bila kuelekezwa au...
  4. JamiiForums Tanzania Viapo vya Mawaziri ambao ni Waislamu ni batili kisheria

    Wakuu Habari ya Wakati. Katika Kesi ya Hamis Jongo&41 other vs. AG na TRA Jaji Wa Mahakama Kuu (Mgonya J Anazungumzia na Muislam Kushuudia (Affirmation) na Mkiristo Kuapa(oath) Jaji kwenye maamuzi yake alisema Kwamba Kwenye Kiapo Chochote Kile Muislam Hapashwi Kusema Naapa (oath) Ila atasema...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

    "Kulazimishwa kwa Spika Ndugai kujiuzulu kunathibitisha wazi kabisa kile ambacho tumekisema kwa miaka mingi, kwamba kwa mfumo wetu wa kikatiba na kiutawala tuna muhimili mmoja tu wa dola na muhimili huo unaitwa Rais." Mhe. @TunduALissu. "Kwa miaka 60 ya uhuru tangu 1962 utaratibu wa Mihimili...
  6. JamiiForums Tanzania Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

    Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua...
  7. JamiiForums Tanzania FUNZO LA NDUGAI: Kuna haja kisheria kwa Tanzania kuwa na Spika asiyetokana na chama cha siasa?

    Ni wazi kuwa Spika Ndugai imejiuzuru uspika wa bunge la Tanzania kwa shinikizo la chama chake cha CCM baada ya kutofautiana kimtazamo na Rais Samia Suluhu ambaye ndio mwenyekiti wa CCM taifa. Upande wa pili pia, utendaji wa Ndugai akiwa spika wa bunge la Tanzania kwa sehemu kubwa ulikuwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwepo na vibarua (deiwaka) Tanzania wakati hawana haki zozote kisheria kama sio unyanyasaji?

    Habari wakuu Naomba niwasilishe hii hoja kwenu. Kima cha chini cha mshahara wa deiwaka kilichowekwa kisheria ni tsh 4400 kwa siku hapa nchini kwetu Tanzania. Kwa mkoa wa dar es salaam, mtu ukimlipa hela iyo kwa siku ni kumuonea kulingana na kazi ngumu wanazofanya. Lakini mshahara huo sio hoja...
  9. JamiiForums Tanzania Mafundi simu msaada wa kisheria

    Wakuu habar za uzima najua tupo kwenye pilika pilika kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu. Nilikua naombeni msaada wa kisheria kwenye ufundi simu upande wa software je kuremove password kwenye simu ni kosa kisheria? Na kipi ukifanya ni kosa na kipi so kosa wakuu. Ngoja niwape kisa...
  10. JamiiForums Tanzania Jeff Bezos akiwa mdogo alikataliwa na baba yake mzazi na akamrithisha kwa baba mwinginekisheria" leo ndiye tajiri namba moja duniani

    Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wabobezi wa sheria tunaomba tafsiri ya kisheria tofauti ya mtuhumiwa kufutiwa mashitaka na mtuhumiwa kusamehewa mashitaka..

    1.Wabobezi Wa sheria naomba mtupe tafsiri kati ya kusamehewa mashtaka na kufutiwa mashtaka.... 2.Kati ya kusahewa mashtaka na kufutiwa mashtaka ni njia ipi inamsafisha mtuhumiwa mbele ya macho ya jamii.... 3.Ni njia gani ya kuondolewa mashitaka inamtofautisha mtuhumiwa alietenda kosa na...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kukataa pesa iliyochakaa kama malipo ya bidhaa na huduma ni kosa kisheria?

    Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?
  13. JamiiForums Tanzania Wapinzani tambueni umoja wa kitaifa sio kuruhusu wapinzani kufanya makosa ya jinai na kutowachukulia hatua za kisheria

    Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara bado tu unamuamini Alex Mgongolwa kuwa ishtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila Mkataba na atakusimamia Kisheria ushinde?

    Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea. Tunajua ni huyu huyu "Failure Lawyer' Alex Mgongolwa ndiyo alikutia Ndimu ( Kushawishi ) uwashtaki Simba SC kwa Kukuajiri bila...
  15. B

    JamiiForums Tanzania NEMC: Kunywa bia na kufanya sherehe na matamasha kwenye fukwe ni makosa kisheria

    Mkurugenzi wa Baraza la Kutunza Mazingira NEMC, Dr Samwel Gwamaka asema baraza la mazingira linashauri kuwa si salama kunywa vileo, kufanya matamasha makubwa ktk fukwe za bahari kwani ni hatari kwa umma mpana na pia inapelekea kuharibu mazingira Source : millard ayo.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi wanasimba tunakuwa wajinga kiasi hiki. Dewji alitakiwa kisheria kulipa bilioni 20 cash lakini anatuzungusha kwa mikutano?

    Kwa kifupi tu, sie wanasimba kwa nini tunakuwa wajinga kiasi hiki? Huyu Mohamed Dewji alinunua hisa 49%kwa bilioni 20 shilingi za kitanzania. Hadi leo hakuzilipa.Kinachoendelea ni kuchagua wanachama 800 kuwaweka ukumbi wa kisasa wa mikutano wa Jakaya Kikwete,na vibaraka wake kuanza kutoa maneno...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
  18. M

    JamiiForums Tanzania 360 mawingu wameidadavua faini ya Musiba Tsh bilioni 6 kisheria, inashangaza kwa tusiojua sheria tunaweza kucheka

    Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe kumuita Babe mwanamke asiye wako ni kosa kisheria?

    Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolitumia katika akaunti yake ya WhatsApp. Mwanaume huyu kwa sasa anashitaki kwa jaji kwasababu anasema yeye ndiye...
  20. JamiiForums Tanzania Musiba ni Mufilisi kisheria hivyo hapaswi kudaiwa

    Kampuni zote za Musiba zilishafilisika hata mishahara hawezi kulipa, na anadaiwa na watumishi wake kitambo. Hivyo hizi amri za kulipa aliowac hafua pesa hazitekelezeki sababu kampuni zake lilishaishiwa pesa. My take; Tusikenue meno tukadhania amepatikana kumbe hakuna chochote atakachopoteza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…