kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mtanzania Raia wa Marekani anaweza kurithi mali zilizopo Tanzania?

    Mtanzania aliyeko Marekani na ni raia wa kule anaweza kuja kuridhi mali au viwanja vya baba yake aliyeko Tanzania? Hii imekaaje kisheria?
  2. U

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MSAADA WA KISHERIA KUHUSU JAMBO HILI LA URITHI

    Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama tofauti,akawachukua na kuwaleta kwa mama mkubwa ndiye aliyewalea wote!Hivi sasa watoto hao ni mama wazima na wana...
  3. JamiiForums Tanzania Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi chukueni hatua za kisheria dhidi ya Diamond & Zuchu

    Sina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha. Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo mzuri katika muktadha wa burudani. Ukakasi unakuja katika video ya wimbo huu. Kile kinachoonekana...
  4. JamiiForums Tanzania Wapiga debe hawatambuliki kisheria, abiria ana haki ya kusafiri mazingira salama kusiwe na kelele

    Licha ya abiria wengi wa usafiri wa daladala na mabasi makubwa kukumbana na usumbufu wa wapigadebe katika vituo vya mabasi imeelezwa wapigadebe hao hawatambuliki kisheria. Mwenyekiti wa Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA), Hassan Mchanjama anasema: "Kwenye sheria wapiga debe hawapo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kwanini waliotajwa kutafuna mabilioni ya pesa ya walipa kodi na CAG, hawachukuliwi hatua za kisheria?

    Ni jambo lilizoeleka kwa mkaguzi mkuu na mdhibiti wa pesa za Serikali (CAG) kuibuka na ripoti kila mwaka, inayoonyesha namna mabilioni ya pesa ya walipa zinavyotafunwa na "wajanja" wachache walioko Serikalini, pasipo kuchukuliwa hatua zozote. Lakini tunashuhudia magereza yetu, yakiwa yamefurika...
  6. JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda limeonyesha wengi wetu hatupo tayari kwa utawala wa kisheria

    Nawasalimu kwa jina chama pendwa, CCM. Leo nami natumia haki yangu ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT. Tangu jana mitandaoni suala kubwa lililoibuka ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Ndugu Makonda kudai kuna vitisho dhidi ya maisha yake. Watu wengi sana wameongelea kuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

    Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi. Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Resolution Insurance Placed Under Statutory Management For 12 Months

    Underwriting firm Resolution Insurance has been placed under statutory management owing to operational and financial difficulties. The Policyholders Compensation Fund (PCF) has been appointed Resolution’s statutory manager for a period of 12 months effective Tuesday. According to the...
  9. JamiiForums Tanzania Mazingira ya Kisheria na Kifedha kwa Biashara Ndogondogo Nchini Tanzania

    Na Francis Nyonzo Sekta isiyo rasmi imeajiri 76% ya watu nchini Tanzania; 47.6% katika biashara ya jumla na rejareja, ukarabati wa magari na pikipiki, na 12.9% katika huduma za malazi na chakula. Biashara ndogondogo ni zile ambazo zina wafanyakazi chini ya watano ambazo mara nyingi...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ya kuchinja watu kiroho, imekaaje kisheria?

    Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa. 'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi. Kilichonishtua Mwanamama mmoja jasiri...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi wa Kisheria kuhusu jambo hili

    Hbr Wana JF Mimi ni mjasiliamali, najihusisha na ununuzi wa mashamba kisha huwa nakata viwanja. Mwaka 2020 nilipata dili ambalo kiujumla ndio ilikuwa dili yangu ya kwanza kubwa, kuna jamaa yangu aliachiwa Shamba kulisimamia ambalo lina ukubwa zaidi ya heka 3. Jamaa alinijulisha ya kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

    Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo. Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kisheria kwa mwanamuziki kumtaja mtu au brand kwenye nyimbo yake bila ridhaa yake?

    Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake bila ridhaa ya mtu huyo au kampuni husika? Vipi kuhusu kuipa nyimbo jina la mtu au brand fulani...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu. Siku moja alimfumania mke wake na jamaa fulani chumbani kwake wamekaa kitandani wakiangalia ponografia. Paap! Mke akachoropoka, wakabaki wawili chumbani, mfumania na mfumaniwa. Ngumi zikaanza...
  15. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuchepuka siyo kosa kisheria?

    Wakili Peter Thadeo amesema Sheria ya Ndoa haijazuia wala kukataza mke au mume kuchepuka lakini ametahadharisha kuwa kuchepuka kupitiliza kunaweza kupelekea ndoa kuvunjwa. Wakili Peter amesema kinachozuiwa na Sheria ya Ndoa ni mwanamke kufunga ndoa nyingine akiwa kwenye ndoa. Adhabu yake ni...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kukomesha uhuni wa Halotel

    Wakuu, Niende kwenye hoja moja kwa moja. Wiki mbili zilizopita nilikosea kutoa muamala wa pesa kwa wakala wa halopesa kutoka kwenye line yangu ya halotel na dakika hiyo hiyo nikawapigia huduma kwa wateja na wakaisimamisha na kisha wakanitumia namba ya uthibitisho. Na maelezo niliyopewa ni...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Hadi sasa sijaona ushahidi wowote unaoonesha kulikuwa na ugaidi

    Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lakini kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi. Shahidi badala ya kuthibitisha uhusiano wa silaha iliyokamatwa na mtuhumiwa anakuja kutuambia silaha zilizokamatwa ni nzima kwani silaha kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kisheria kuhusu hili la ndoa ya mkeka

    Habari wakuu, kuna binti anadai kijana wetu amempa mimba. Hivyo wamekuja wazazi wa binti kudai ndoa ya mkeka, kinyume na hapo wanatishia kumfunga kijana wetu kwani binti kamaliza form four mwaka jana. Mimba ina miezi 4/5 hivo iliingia wakati akiwa mwanafunzi ingawa kwa sasa amemaliza. Kijana...
  20. JamiiForums Tanzania TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi. TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi. Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…