Nilikua usukumani, nikiwa kama mganga wa Zahanati ya kijiji,
Kulikua na msimbe mmoja ambae tulikua tunafanana makabila, kazi yake alikuwa akifanya kazi Grocery, muuza vinywaji.
Siku nazungumza nae alikuja ofisini kwangu, akaniomba nimtolee Njiti.
Basi bhana nilikua na upwiru mwingi kijiji...