kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Mashauriano ya kiroho: Hifadhi hii mada itakusaidia kwa mengi

    Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote Nitakaribisha na maswali pia 1. Tiba ya kiroho yenye nguvu iliyobaki ni tiba ya chumvi ya mawe maana mpaka sasa haijanajisiwa wala...
  2. Mshana Jr

    Hizi prank za vijana kujifanya machizi zinazidi kuongezeka zina tafsiri mbaya kiroho

    Zamani zetu kuwa chizi/ kichaa ilikuwa msiba wa kaya na jumuiya yote ya eneo hilo Sababu za uchizi zilitafutwa na kufanyiwa utafiti. Familia husika ikifanya kila liwezekanalo isihusishwe na vinasaba kwakuwa ingekuwa na impact mbaya kuanzia mahusiano, uongozi mpaka biashara Sababu maarufu...
  3. a sinner saved by Christ

    Lisu ana nguvu ya kiroho nyuma yake isiyo ya kawaida

    NGUVU HIYO KUBWA YA KIROHO ILIYO NYUMA YAKE NDIYO INAYOMSUKUMA. 1)Kupenda kusimamia HAKI na UKWELI ,kiu ya kuona utawala wa HAKI na USAWA kwa misingi ya sheria na katiba. 2)Kupenda kuona masikini na wanyonge wanasaidiwa kupata HAKI zao,nimepata shuhuda za watu aliowasaidia msaada wa kisheria...
  4. Mshana Jr

    Maarifa ya kiroho: Karibu tuzungumze tuelimishane

    Kuna vitu nitaviandika hapa na baadhi watasema mbona matajiri hawafanyi hivyo!? Lakini jibu ni moja tuu.. Wamefanya hivyo pamoja na mengine ndio maana wamefika hapo walipo Sasa mada hii si kwa ajili ya utajiri pekee bali na mambo mengine mengi yatakayokusaidia sana maishani 1. Nguo/vazi Hiki...
  5. Mshana Jr

    Wengi hatuna muda wa kujikagua kimwili na kiroho

    Je unapata muda wa kujikagua kimwili? Huwa unaangazia maeneo gani? Rangi? Uzito Wepesi? Afya ya ngozi? Nywele? Meno Moyo Via vya uzazi? Kiroho je? Unapata nafasi ya kujichunguza? Afya ya akili Kinga za kiroho Utimamu wa fikra Uthabiti wa nafsi Utulivu wa roho Nina hakika wengi hawana huo muda...
  6. DR HAYA LAND

    Haya mambo yanawachanganya sana watu kiroho. Call (Wito) Destiny (hatma ) na fate

    Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi 1 .Call , (Wito 2. Fate 3 . Destiny (Hatima) Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu kwa kujua au kwa kutokujua. Kwa kuelezea haya mambo matatu nitatumia mfano wa Yusufu wa kwenye...
  7. FORBIDDEN HISTORY

    Huwa inakuwaje pale mwanaume kujihusisha kingono ovyo ovyo hadi kupelekea kuharibu ufanisi wa maisha yake kiroho.?

    Tumesikia stori kuwa inaweza tokea mwanaume kulala na mwanamke huyo mmoja wa kukutana nae mtaani (mchepuko, kahaba, etc) ikapelekea kuvuta energy hasi zilizomo ndani yake au sijui ni nini haswa kinatokea katika ile exchange hadi kupelekea kuharibu aura yake. Wale wajuzi wa hili swala...
  8. ngara23

    Kila mwezi lazima mbunge mmoja afariki baada ya uchaguzi wa Oktoba 29,2025, hii ni ishara mbaya kiroho

    Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
  9. J

    Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa

    Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa Nianze kwa kuuliza swali: je ni sahihi kwa kiongozi wa kiroho, kwa mfano mchungaji, kuwa mfanya biashara, au kugombea nafasi za kiserikali au za siasa? Kabla ya kuangalia kiongozi wa dini, hebu tuangalie kwanza kwa mtu aliyeamini. Je mtu...
  10. canular

    Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa juu)

    Jina la Mungu lenye herufi nane. Eloha Vadaath אלוה ודעת Jehovah Vedaath, יהוה ודעת Katika lugha ya asili. Malipo manane ya wenye heri.Ambao ni Wananchi wa Tanganyika Urithi. Kutokuharibika. Nguvu. Ushindi. Kuona uso wa Mungu. Neema. Ufalme. Furaha. Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa...
  11. M

    Tunapomaliza mwaka, tunaomba watalaam wa mambo ya kiroho mtuelekeze njia za kujitakasa na kufungua milango ya riziki

    Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine. Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho. Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili. Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa...
  12. Chibike

    Mambo ya kiroho kuelekea Desemba 09 huko Tarime

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida afisa mmoja wa polisi Tarime mkoani Mara ameshambuliwa na nyuki hadi kupoteza maisha akiwa kwenye mgahawa wa chakula mjini Tarime, tukio hilo lilitokea siku ya jumamosi Disemba 6 mwaka huu kwenye moja ya migahawa maharufu mjini hapa, hata hivyo chanzo...
  13. M

    Nayaona Maandamano katika ulimwengu wa kiroho

    Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau kwa wiki 2
  14. M

    Kama watawala walijua wanaua mbegu ya ukombozi na kuizika basi ndiyo inachipua kwa kasi

    Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana. Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
  15. Victor Mlaki

    Makanisa mengi leo, hususani yanayojiita ya Kiroho yamekosa maana: Useless church

    Kanisa la leo limekosa maana, linajificha nyuma ya Mungu na kuomba badala ya kuuathiri ulimwengu kwa sheria na kanuni za Mungu. Kwa nini kanisa limekosa maana? Kulingana na uzoefu binafsi, kupitia hotuba mbalimbali za watumishi wa Mungu akiwepo Hayati Dr. Myles Munroe mambo Kanisa kukosa maana...
  16. Mshana Jr

    Tafsiri ya 912 kiroho

    Maana ya kiroho ya namba 912 mara nyingi hufasiriwa kupitia nguvu zilizojumuishwa za namba zake binafsi (9, 1, na 2) katika hesabu na mapokeo ya kiroho. Hapa kuna mchanganuo wa ishara yake kama zinavyoonekana Maana ya Msingi ya 9: Inawakilisha mwamko wa kiroho, mwangaza, upendo wa ulimwengu...
  17. figganigga

    GE2025 Nimetoka Kanisani. Samia Suluhu ameshakufa kiroho

    Kwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za Binadamu zinavyofanyazi. Kifupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu ndo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote. Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4) Mungu...
  18. Mshana Jr

    Vibe la SIMBA ukiwa wa YANGA na tafsiri za kiroho

    Lissu kiroho ni SIMBA kiushabiki ni YANGA.. Lissu ni mwanamageuzi kindakindaki kupitia CHADEMA.. Timu yake ya YANGA Ina vinasaba na CCM anapata tabu sana. Lakini kwa hakika akipewa machaguo mawili kati ya yanga na CHADEMA! Kwa asilimia 100 atachagua CHADEMA Tamasha la SIMBA day limetoa...
  19. a sinner saved by Christ

    Upi ni mstari wako pendwa katika kitabu cha biblia unaokupa nguvu, faraja, amani, tumaini, silaha/ushindi katika vita vya kiroho?

    1)Zab 68:20 Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana. 2)Yohane 14:13 Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 3)Zab 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso...
  20. Dogoli kinyamkela

    Je uamsho wa kiroho ni nini?

    🤷🏾‍♂️JE UAMSHO WA KIROHO NI NINI? Mwamko wa Kiroho ni pale mtu anapofahamu asili yake halisi na utu wake wa kipekee. Wakati hii itatokea katika maisha yako, utakuwa na hisia mpya ya kuona vitu na ulimwengu unaokuzunguka. Utaanza kuamini maisha na kutumia sauti yako ya ndani wakati wa...
Back
Top Bottom