Kipindi hiki cha mpito kuelekea nusu ya pili ya mwaka kinabeba siri nzito inayotengeneza mstari wa mgawanyiko kati ya yaliyopita na yajayo.
Haya sio mabadiliko ya namba kwenye kalenda tu, bali ni lango la kiroho linalofungua madhabahu mapya ya matokeo katika ulimwengu wa roho.
Ni majira...
Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti
imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na kisaikolojia.
Mkoa wa Arusha umekuwa ukigonga vichwa vya habari kwa matukio ya ukatili uliopindukia...
1. Maagano ya Damu (Blood Covenants)Ulimwengu wa giza hufanya kazi kupitia maagano ya damu ya siri, ambapo kafara za wanyama au wanadamu hutumika kama sarafu kuu ya kiroho. Kwenye dunia ya asili, jambo hili linajidhihirisha kupitia matukio yasiyoelezeka ya vifo vya ghafla au ajali mfululizo...
Mazingira ya kutoroka kwa David Joseph Mghanja (Djumbe), msaidizi wa karibu wa Tundu Lissu, usiku wa Mei 20, 2026, yamevuka mipaka ya akili ya kibinadamu.
Wengi wanajiuliza: Je, kuna nguvu gani ya ziada inayotembea na watu walio karibu na Lissu?
Tukio hili linaashiria uwepo wa "Ngao ya...
Hopefully wote mko salama.
Naombeni majibu tafadhali,
Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..?
Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and everything spiritually anakifatisha to the point kwamba zile karama zake mbali mbali za kiroho anazipokea...
Zamani tulizoea kusikia habari za misukule kule vijijini ambapo mtu anafanywa msukule wa kimwili, anazikwa kisha anaenda kulimishwa mashamba usiku.
Siku hizi ulimwengu wa giza umeweka kambi mijini na vijijini kwa mfumo wa kisasa zaidi...!
hawapotezi muda kuchukua mwili wako, wanateka nafsi...
Uponyaji wa kiroho ni safari ya ndani inayolenga kurejesha amani ya moyo na uhusiano wako na Muumba au ulimwengu...
hatua ya kwanza na muhimu zaidi ni kusamehe.
Mambo muhimu ya kuzingatia unapoanza safari hii kupitia msamaha...
1. Msamaha ni Kwa Ajili Yako, Si Kwa Aliyekukosea...
Mara nyingi...
Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu kila wakigusa jambo linafanikiwa, na kuna wengine kila wakijaribu wanagonga ukuta? Siri kubwa haipo kwenye bahati, bali ipo kwenye sumaku iliyojificha ndani ya akili na nafsi yako.
*Ukweli ni huu: Huvuti unachokitaka, unavuta kile ulicho nacho ndani.
1...
Umewahi kujiuliza kwanini kuna watu kila wakigusa jambo linafanikiwa, na kuna wengine kila wakijaribu wanagonga ukuta? Siri kubwa haipo kwenye bahati, bali ipo kwenye sumaku iliyojificha ndani ya akili na nafsi yako.
*Ukweli ni huu: Huvuti unachokitaka, unavuta kile ulicho nacho ndani.
1...
Kuna nafsi iliniambia nenda JF huko utampata naa utamuoa, nikajiunga huku nikiwa sina hili wala lile wala sikumjua ni nani huyo ambae niliambiwa nikija nitampata ?
Lakini katika maono ya siku chache zilizopita nilionyeshwa Mwanamke huyo ni Setfree
Najua sasa hivi Setfree atakuwa kanisani...
Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote
Nitakaribisha na maswali pia
1. Tiba ya kiroho yenye nguvu iliyobaki ni tiba ya chumvi ya mawe maana mpaka sasa haijanajisiwa wala...
Zamani zetu kuwa chizi/ kichaa ilikuwa msiba wa kaya na jumuiya yote ya eneo hilo
Sababu za uchizi zilitafutwa na kufanyiwa utafiti. Familia husika ikifanya kila liwezekanalo isihusishwe na vinasaba kwakuwa ingekuwa na impact mbaya kuanzia mahusiano, uongozi mpaka biashara
Sababu maarufu...
NGUVU HIYO KUBWA YA KIROHO ILIYO NYUMA YAKE NDIYO INAYOMSUKUMA.
1) Kupenda kusimamia HAKI na UKWELI ,kiu ya kuona utawala wa HAKI na USAWA kwa misingi ya sheria na katiba.
2) Kupenda kuona masikini na wanyonge wanasaidiwa kupata HAKI zao,nimepata shuhuda za watu aliowasaidia msaada wa...
Kuna vitu nitaviandika hapa na baadhi watasema mbona matajiri hawafanyi hivyo!? Lakini jibu ni moja tuu.. Wamefanya hivyo pamoja na mengine ndio maana wamefika hapo walipo
Sasa mada hii si kwa ajili ya utajiri pekee bali na mambo mengine mengi yatakayokusaidia sana maishani
1. Nguo/vazi
Hiki...
Je unapata muda wa kujikagua kimwili? Huwa unaangazia maeneo gani?
Rangi?
Uzito
Wepesi?
Afya ya ngozi?
Nywele?
Meno
Moyo
Via vya uzazi?
Kiroho je? Unapata nafasi ya kujichunguza?
Afya ya akili
Kinga za kiroho
Utimamu wa fikra
Uthabiti wa nafsi
Utulivu wa roho
Nina hakika wengi hawana huo muda...
Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi
1 .Call , (Wito
2. Fate
3 . Destiny (Hatima)
Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu kwa kujua au kwa kutokujua.
Kwa kuelezea haya mambo matatu nitatumia mfano wa Yusufu wa
kwenye...
Tumesikia stori kuwa inaweza tokea mwanaume kulala na mwanamke huyo mmoja wa kukutana nae mtaani (mchepuko, kahaba, etc) ikapelekea kuvuta energy hasi zilizomo ndani yake au sijui ni nini haswa kinatokea katika ile exchange hadi kupelekea kuharibu aura yake.
Wale wajuzi wa hili swala...
Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida
Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali
Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha...
Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa
Nianze kwa kuuliza swali: je ni sahihi kwa kiongozi wa kiroho, kwa mfano mchungaji, kuwa mfanya biashara, au kugombea nafasi za kiserikali au za siasa? Kabla ya kuangalia kiongozi wa dini, hebu tuangalie kwanza kwa mtu aliyeamini. Je mtu...
Jina la Mungu lenye herufi nane.
Eloha Vadaath אלוה ודעת Jehovah Vedaath, יהוה ודעת
Katika lugha ya asili.
Malipo manane ya wenye heri.Ambao ni Wananchi wa Tanganyika
Urithi.
Kutokuharibika.
Nguvu.
Ushindi.
Kuona uso wa Mungu.
Neema.
Ufalme.
Furaha.
Katika ulimwengu wa kiakili (wa kiroho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.