kirahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fanya hivi ili simu yako ikiibwa au kupotea uipate kirahisi

    Kama kawaida mlinzi msomi nisiye na hiyana. Nilipanda bajaji mwaka 2021 nikasikia jambo, nami nikadadisi kidogo. Nikafanya kama nilivyoambiwa. Ukiwa na smart phone mbili , yako na ya mwenzi wako au yako na ya rafiki yako nenda kwenye Goole map then share location na simu nyingine. Hapa unaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hachafuki kirahisi kama mnavyodhani, Watanzania wana macho na akili timamu

    Hivi namna CCM mafisadi na wezi wa mali za umma walimvyomchukia hayati JPM wawe na ushahidi kuwa alikwapua tril 1.5 leo hii tungeupata hadi kwenye mitandao ya kijamii. Chadema wangechapisha hadi kanga. Leo hii baada ya rais Samia kushindwa kudhibiti ufisadi ndio mlete hoja ya tril 1.5 ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  4. JamiiForums Tanzania Imani zinazowafanya wanaume wengi waamini watapata na kudumisha mapenzi kirahisi lakini sio kweli

    Asilimia kubwa ya wanaume hufikiri hivyo, hata mimi kuna kipindi nilikua naamini hivyo lakini sikupata matokeo ninayotaka. Japo vingine ni muhimu lakini ili kudumisha mahusiano, usivitegemee hivyo pekee. Kama unaamini hivyo, na matokeo unayopata kwenye mahusiano yako hayakuridhishi, badilisha...
  5. JamiiForums Tanzania Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

    Yani Jamii Forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya. Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na...
  6. JamiiForums Tanzania Vipimo vya DNA vipatikane Kirahisi, hii itasaidia Kuleta Nidhamu Katika Ndoa

    Vipimo hivi vimekuwa ghari Sana na hata kupatikana kwake kuna mlolongo mrefu Kwa mujibu wa taarifa ambazo tunazisikia,na inasemwa kuwa mara nyingi wahusika wanalofanya hilo zoezi mara nyingi hawatoi majibu halisi Kwa kuhofia ndoa kuvunjika. Kama kweli tunataka jamii ambayo itawajibika Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu 3 muhimu kwanini mwanaume mwenye hela humvutia mwanamke kirahisi

    Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi. Usalama wanaotaka ni usalama wa kiakili, kiroho na kimwili ilii aweze kujiachia kwa mwanaume. Usalama wa kimwili mwanamke huupata pale...
  8. JamiiForums Tanzania Mjasiriamali kuwa na gari ya kutembelea ni muhimu. Itakuongezea thamani kirahisi

    Kumekuwa na mijadala mikali sana kuhusu nini kitangulie kwenye maisha ya mjasiriamali/mfanyabiashara, nyumba au gari? Watu wengi sana wamekuwa wakikatishana tamaa kwamba kununua gari kabla hujajenga ni upuuzi na uamuzi mbaya. Ni kweli wana sababu nzito kwasababu ukiachana na nyumba kukuondolea...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia usidanganywe kuwa unakubalika sana na 2025 utashinda kirahisi kama Mzee Makamba anaepalilia ugali wa mwanae

    Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani. Kila mtanzania anajua namna hilo kundi lililokuzunguka linawatafuna namna gani watanzania. Watanzania wanayo ya moyoni ila 2025 ikikaribia watafunguka...
  10. JamiiForums Tanzania Tunawachapa Singida kirahisi sana

    Singida tumeshawafunga kabla hata ya menchi. Hawa jamaa wana alama zetu 6 kila msimu. Kwahiyo wala hawatuumizi kichwa. Ni timu ya Mwigulu Nchemba ambaye ni mtu wetu, kwahiyo mechi rahisi hii. Wana Yanga leo hesabuni alama 3 hapa, hakuna lolote la kutuzuia.
  11. JamiiForums Tanzania Hii show ya Fally Ipupa, Kinshasa itaweka rekodi ambayo haitavunjwa kirahisi.

    Wakuu nimesoma mitandaoni kuhusu show ya Fally Ipupa huko kwao Kinshasa nikabaki kinywa wazi. Huyu jamaa yuko serious. Hakuna longolongo. Yaani pamoja na kufanya promo kwa mbinu zilizozoeleka lakini kijana akaamua kukodi ndege kadhaa kwa ajili ya kutangaza show mjini Kinshasa. Tazama picha jinsi...
  12. JamiiForums Tanzania Mabeberu wanafanikiwa kirahisi kwa aina ya marais wetu Afrika

    Nilimsikia Rais wetu Samia akihutubia mkutano wa kimataifa huko Quatar hivi majuzi. Alilalamika kuhusu kutokuwa na usawa wa ugawaji wa chanjo duniani. Nikacheka kimoyoni nikasema hata Rais wetu kaingia mkenge au kaamua kushiriki hila za mabeberu kutuundia magonjwa na kisha kujidai ukarimu...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hadhi ya mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?

    Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho? Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa kike. Nakumbuka sekondari form 3 hadi 4 kuna binti alikuwa na hilo jina aliniganda na tulipendana...
  14. JamiiForums Tanzania Serekali ya CCM mjitafakari upya, yaani kirahisi tu, kuachana na madai ya matrilion ya pesa mnakimbizana na tozo

    Endeleeni kukimbizana na wanyonge, ila laana itawatafuna na kizazi chenu kinachotafuna jasho la wanyonge, waziri anashindwa kujiekeza, Tatraaaa leo amesema hayo matrilion yaliondolewa kirahisi, Kwanini haya yanakuja baada ya kushindwa kujieleza? Kama mliunda tume, mkaleta yale yote kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Block emails usizozitaka kirahisi.

    umekuwa ukipata rundo la emails usizozitakaka kwenye gmail yako? hiii huwa inachukiza sana unapopokea emails ambazo hazihusiani na mambo yako kabisa leo nitakufundisha namna rahisi sana ya kuziblock zisikufikie tena. kama ni mtumiaji wa gmail fuata hatua hizi chache.. 1.fungua gmail yako, 2...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwapata Wanawake kirahisi

    Wazee salama ngoja niende moja kwa moja kwenye point nimegundua njia rahisi za kuwapata hawa viumbe pasua kichwa , njia hii inahitaji akili kidogo tu na njia yenyewe ni kuacha kuwashobokea au kuwapaparikia wanawake. Wazee amini usiamini ukiwa bize na mambo yako yaani na life lako mademu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kauza utu wake. Hakutakiwa kukubali kulamba asali kirahisi namna hii

    Mwanaume unatakiwa kukubali mateso kama anavyokomaa Sabaya. Kwa nini unakubali kuuza utu wako kisa tu mateso?
  18. JamiiForums Tanzania Mbwa asili wa Tanzania hawaumwi kirahisi, rahisi kuwanunua na kuwahudumia, wanaishi muda mrefu. Tuache ushamba wa kupenda mbwa wa nchi za nje?

    Wana kinga asili nzuri dhidi ya magonjwa Ni nadra sana kukuta hawa mbwa wetu wamepelekwa hospitalini kutolewa minyoo (de -worming), hata wengi tunaowafuga hawajawahi kuchomwa sindano yoyote tangu wazaliwa lakini wanadunda. Kuwalisha kwa gharama nafuu Hata ukiwachanganya ugali na dagaa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wizi mpya, makufuli yanafunguliwa kwa gesi kimya bila kelele, tununue makufuli yapi?

    Ni kimya kimya tu, kufuli linapigwa moto wa gesi linaachia lenyewe ama kuyeyuka.... Nakumbuka kuna kipindi flani hapo miaka ya 2021 kuna mwizi alikuwa anahisiwa ndiye anaibia sana maduka ya mtaani kwa mbinu hii, alipoona watu wanamhisi ndiye ila hawana ushahidi ikabidi ahame mji, ni maduka kama...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwafikia wateja wako kirahisi

    Bulk sms ni mfumo unaomuweza mfanyabiashara,taaisisi au kampuni kuwa na uwezo wa kuwatumia watu wengi sms kwa wakati mmoja(hadi sms 1M) Ikiwa na Sender ID Ya kampuni ama taasisi yako Mfumo Huu ni wa kisasa na ni wa haraka sana Ambao unakusaidia kuwafikia wateja wako Kwa urahisi zaidi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…