kipimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipimo cha ujinga cha wenye chuki dhidi ya Paul Makonda, ni kutokunywa sumu wafe!

    Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya...
  2. Kipimo cha ujinga wa wenye chuki dhidi ya Paul Makonda ni kutokunywa sumu mfe!

    Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa ni katibu mwenezi wa chama kubwa kabisa la CCM kutokunywa sumu...
  3. Waziri Nape atambue nafasi yake ni kipimo cha utu na utimamu wa akili hasa kiutendaji

    Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa...
  4. Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Oktoba 9, 2023 nilikwenda kumpeleka Ndugu yangu pale MOI kwaajili ya kupata vipimo kutokana na hali yake kiafya kusumbua kwa muda mrefu. Kufika pale Daktari akamwandikia kipimo cha Magnetic Resonance Imaging (MRI) ili kubaini tatizo lake. Balaa likaanza...
  5. Z

    Al Merrikh: Timu yenyewe ni ya wakimbizi, haishiriki ligi, inacheza huku ikiwaza mabomu yanavyopigwa nyumbani!! Kuifunga siyo kipimo!!

    Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni...
  6. Msaada: Majibu ya kipimo cha Ultrasound

    Natumai hamjambo humu ndani. Nilikuwa na Swali kidogo hapo. Kwa mwenye kufahamu hili msaada kidogo. Hivi kipimo cha Ultrasound kinaweza kukupa majibu sahihi ya Umri wa mtoto, kwa Mfano labda una muda gani wik ngap Au Miezi mingapi? Je Ultrasound inasoma kuanzia Siku ya mwisho mwanamke kuziona...
  7. Kipimo cha DNA chaonesha mafuvu yaliyoporwa na Ujerumani kutoka Afrika yatokea Tanzania

    Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti". Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
  8. M

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Tangu Rais Samia aingie madarakani amefanya teuzi nyingi tu na katika teuzi hizo wapo watu wamekaa standby kuangalia majina ya Kizungu (isomeke Kikristo) na Kiarabu (isomeke Kiislamu) ili waone kuwa watu wanaoendana nao kiimani "wameula" zaidi au la! Nataka nieleze sababu za hivyo: 1. Mosi...
  9. Ushauri: Mtanzania asitunukiwe master's degree , PhD au Uprofessor mpaka afanyiwe kipimo cha utimamu wa akili

    Hello! Kwa tunayoyaona makazini, mitaani na serikalini itoshe kusema kuwa hizi elimu za juu zaidi kuanzia Master's na kuendelea mara nyingi wanapewa watu wenye uwezo mdogo kichwani lakini wana uwezo wa kukariri masomo. Kuna baba mmoja kazini ana PhD, yaani ni kituko. Kipindi kile akiwa na...
  10. T

    Kipimo cha HIV na taaruki niliyoipata

    Kama mwezi umepita nilipo pata lile tukio la dharura ikanibidi haraka niwahi kuomba PEP, nikapatiwa ikabidi ni kae zaidi ya mwezi mmoja ili nipime kama hali koje Jana nikajitoa mhanga nikajipima, majibu yakawa clear yani mstari mmoja, kile kipomo sikukitupa nikawa bado nimekiacha mezani...
  11. Niger ni kipimo kingine cha ujinga wa binadamu

    Vita huja kwa ajili ya kuokoa wengi wasijeumizwa na wengine,majeshi yapo kwa ajili ya ulinzi wa mataifa Yao ili yasivamiwe na wakorodi. Ingawa Ni kweli, toka zamani vita zilitumika kuleta usawa pasipokua na usawa,kuleta haki pasipokua na haki,lkn ni vema kutatmini madhara na faida ya vita...
  12. SI KWELI Kipimo cha Mimba kikiwekwa Majimaji ya Nyanya kinasoma 'Positive'

    Nimekutana na hii stori mtaani kuwa ukiweka Maji ya Nyanya kwenye Kipimo cha Mimba kinatoa majibu yanayoonesha Ujauzito upo. Kuna ukweli hapa na kwanini iwe Positive, Kwanini isisome negative au abnormal test results?
  13. Hiki ndiyo kipimo kidogo cha viongozi wa nchi husika kama wana upeo mkubwa

    Ukienda kwenye nchi yeyote kipimo cha haraka haraka ili ujue viongozi wao wana akili ya kuona mbali angalia mipango miji Mfano kama umeenda western countries, china, japan, au gulf countries kwa mara ya kwanza kabisa kitu ambacho kitavutia macho yako ni jinsi miji yao ilivyopangiliwa na kila...
  14. SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  15. Kipimo changu Kikuu kama Mayele ana Akili au ni Mbumbumbu kitakuwa katika hili

    Akikubali kwenda South Africa au Uarabuni ambako atalipwa kati ya Tsh Milioni 70 hadi 85 za Kitanzania kwa Mwezi nitamuona ana Akili ( Kipanga ) Akikubali kubakia Yanga SC kwa Mshahara wa Tsh Milioni 30 au Milioni 35 kwa Mwezi aliyowekewa pamoja na Jimama lake Jipya la Magomeni ( Mfanyabiashara...
  16. B

    Sakata la DP World ni kipimo cha uzalendo. Tunawafuatilia viongozi wetu kwa ukaribu sana

    Kama mzalendo katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliruhusu nizaliwe, naona kabisa kwamba hili suala la mkataba kati ya Serikali yetu na DP World ya Dubai, itakuwa kipimo cha uzalendo ambao tunapaswa kutumia katika kuwapima. Tuko tunafuatilia kwa ukaribu sana maoni yenu. Hata wale ambao mmeamua...
  17. Kijue kipimo cha kupimia Maisha

    Salama Ndugu zangu? Maisha hayapimwi kwa wingi wa mali, fedha, dhahabu n.k vinavyomilikiwa na mtu, familia, ukoo, Mtaa, kijiji, Wilaya, Mkoa, Taifa, Bara. Bali maisha yanapimwa kwà UTU (Akili, Elimu, Maarifa na Maono). Faida za UTU ni kuwa na AFYA kwenye AKILI, kuipa ELIMU uhai, kuyapa Maarifa...
  18. Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?

    Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?
  19. Yanga VS Marumo Gallants: Mechi ya kipimo cha Ubora wa Ligi Kuu ya Tanzania

    Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May 2023,Fiston Mayele mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania,ataongoza safu ya ushambuliaji kwa timu ya...
  20. Kipimo cha macho: kuna ndege wangapi hapa?

    Bila kutumia ramli za Mshana Jr 🙊🙊 hebu tazama kwa macho ujipime na ufahamu wako utuambie kuna ndege wangapi hapa NB: Walio serious kabisa wawawekee na alama😅😅
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…