kipengele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa ....

    Habari wa ndugu .... Iko hivi ... Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua. Nikaondoka bila ruhusa yake. Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa. Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini ukinunua ardhi TAUSI kupata hati ni kipengele?

    Habari Wizara ya Ardhi nina mdau wangu alinunua ardhi TAUSI Dodoma jiji yapata mwaka sasa.... Baada ya manunuzi ishu ikahamia kwenye mfumo wa e-ardhi ili kuprocess hatimiliki ya ardhi. Kila ikifuatiliwa wafanyakazi wa pale wanasema ramani haijapandishwa kwenye mfumo. Na wanadai hela nyingi ili...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Je hii ndo Sheria ya vyama vya siasa na je hiki kipengele Cha namba E ndivyo kilivyo ??? Ni swali TU Wataalamu wa Sheria watusaidie ?

    Wataalamu watusaidie kuitambua hii Sheria kama ndivyo ilivyo ?? SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (SURA YA 258) ------------- KANUNI (Zimetungwa chini ya fungu la 22(b)) KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA ZA MWAKA 2007 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI 1. Kanuni hizi zinaitwa kanuni za Maadili ya Vyama...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna kazi au Majukumu mwanamke au Mwanaume akiziweza kuoa inakuwa kipengele

    KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo. 2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu Fulani anayoyaweza Mwanamke na kuyamudu majukumu ya kiume ndivyo anavyokuwa husband material. Vivyohivyo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

    Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mshaurini Wanu ajiuzulu angalau kupoza kipengele hicho

    Vipengele ni vingi vya Rais Samia vinavyolalamikiwa katika uteuzi wake. Aliye karibu na Wanu mshauri ajiuzulu angalau kipengele hiki kipoe
  8. JamiiForums Tanzania Ndoa zinavyoteseka na hizi simu hasa kwenye kipengele cha NYWILA(PASSWORD)

    Mimi fundi simu hapa kariakooo ila mojawapo ya hekaheka ninazokutana nazo kwenye simu ni juu ya nywila a.k.a Password. Hili jambo limeachisha ndoa nyingi sana,unakuta mtu amechukua simu ya mkewe kwa lengo la kumtengenezea haswa kioo,anapofika kwa fundi mwanaume huomba nywila kwa kisingizio cha...
  9. JamiiForums Tanzania Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo. Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu. Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili...
  10. E

    JamiiForums Tanzania MAMA SAMIA HANA KIPENGELE LABDA KIPENGELE UJE NACHO WEWE

    Sina mengi ya kuongea, Kipengele uje nacho wewe Asanteni sana
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna kipengele kigumu kama kumkagua mwekezaji wa mafuta na gesi kama amerudisha fedha alizowekeza katika mradi

    Hakuna Kipengele Kigumu Kama Kumkagua Mwekezaji wa Mafuta na Gesi Kama Amerudisha Fedha Alizowekeza Katika Mkataba wa Production Sharing Agreement Zidi ya Serikali Katika sekta ya mafuta na gesi, mikataba mbalimbali hutumika kuweka misingi ya ushirikiano kati ya serikali na makampuni ya...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa (HESLB LOAN) kipengele cha kujaza RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH)

    Wakuu kwema? Ninamwombea mdogo wangu mkopo wa HESLB. Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye amefanikiwa katika kipengele cha Preliminary Information kujaza RITA VERIFICATION NUMBER ya DEATH. RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH) tayari zimeshapatikana, lakini kwenye mfumo wa HESLB zinakataa/zinagoma na...
  13. JamiiForums Tanzania Mobutu aliweka kipengele kwenye katiba ya kongo ili aweze kutawala milele

    Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu. Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya. Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna kipengele cha Utopolo kulipwa kutokana na mauzo ya Feisal Salum

    Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hii Derby haina kipengele labda kipengele uje nacho wewe. Simba wameamua kuja na kipengele chao

    Vibaby boy, last born, drama queens, leo vimethibitisha rasmi hawa watoto wanapenda sana kuonewa huruma na kutafuta sababu tu ili mradi watu wawaonee huruma. Unasusia derby ili iweje wewe? Kwamba wiki nzima hukujiandaa na mechi kisa mazoezi ya siku ya mwisho ndio ususe mechi. Nawaonea huruma...
  16. JamiiForums Tanzania Nauza Laptop yangu mwenyewe haina kipengele

    Wakuu nauza laptop aina ya Hp Pro Book, Yenye Ram 8GB, Hdd 500gb. Battery 4hrs. Haina kipengele chochote sema tu nauza kwasababu nina shida ya haraka. Napatikana -Banana-Dar Es Salaam Mawasiliano yangu ni 0628116693 Price 380,000
  17. JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliyefanikiwa kuedit kipengele A (personal information) kwenye mfumo wa maombi ya ajira uhamiaji?

    Nimekwama hapa Naomba msaada kwa anaefahamu.
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na madhaifu ya Kanisa Katoliki lakini kwenye kipengele cha kukemea na kuonya watawala ambayo ni Kazi ya kinabii na kitume, Hongereni Sana

    Kwema Wakuu! Ingawaje Mimi ni mtibeli msabato lakini hiyo hainifanyi nisione mazuri ya madhehebu na dini zingine. Sisi wasabato tunajinadi na huenda kwa sehemu tunajulikana kwa kufuata maandiko matakatifu ya Biblia. Hiyo inatufanya tuwakalie kooni watu wa dini na madhehebu mengine yasiyofuata...
  19. JamiiForums Tanzania Kipengele gani cha Katiba ya Tanzania kinachopiga marufuku uraia pacha?

    Ni sehemu gani katika Katiba ya Tanzania inaposema ukiwa raia Mtanzania ukachukua uraia wa nchi nyingine unakuwa umepoteza uraia wa Tanzania?
  20. JamiiForums Tanzania Kwa aliyeelewa kipengele namba 5 kinachodokeza kuhusu kumaliza form 4 miaka 5 nyuma na form 6 miaka 5 nyuma, naomba anipe mwongozo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…