kipaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Morogoro: Serikali kumpima mtoto anayedhaniwa kuwa na kipaji cha hesabu

    Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi. Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Muone mtoto wa ajabu anayejua hesabu

    Huyu dogo ni kiboko, inabidi apelekwe secondary kabisa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Siasa ni kipaji siyo akili za darasani. Ya siasani hayapelekwi kwenye dini ila kinyume chake ni sahihi

    Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza. Askofu Gwajima pia amesema...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu Masada Huyu dogo ana kipaji cha utangazaji

    Wakuu bila Shaka hamjambo humu! Huyu dogo nimekutana nae mtaani ila kwa haraka nimegundua Huyu kipaji cha utangazaji anacho ila anahitaji mtu wa Kimsaidia ili afikie ndoto yake kwani hajui hata pakuanzia naamini hapa Atapata wa kumshika mkono! Hizi hapa ni audio nilizo mrecord namba Zane...
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi akina Pele, Maradona, Zidane Messi na Ronaldo hawawezi 'Kumshtaki' kwa Mungu Clatous Chota Chama kwa 'Kipaji' kikubwa anachokimiliki?

    Wala huhitaji 'Akili' kubwa au 'Kubishana' mno pale tu ukiambiwa kuwa Mchezaji Clatous Chota Chama ni 'Football Genius ' duniani na mbinguni pia.
  7. JamiiForums Tanzania Wewe una kipaji/vipaji gani?

    WEWE UNA KIPAJI/ VIPAJI GANI? Habari wadau. Kuna mtu mmoja niliwahi kumsikia akieleza kuhusu aina 7 za vipaji. Sikufuatilia sana lakini naamini kuwa kipaji kinaweza kukusaidia kutimiza kusudi la kuwepo kwako hapa ulimwenguni. Aina 7 za vipaji: 1) Ubunifu 2) Muziki 3) Hesabu 4) Picha 5) Lugha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…