Wewe una kipaji/vipaji gani?

Joseph E.M

Member
Jun 20, 2014
48
95
WEWE UNA KIPAJI/ VIPAJI GANI?

Habari wadau.
Kuna mtu mmoja niliwahi kumsikia akieleza kuhusu aina 7 za vipaji. Sikufuatilia sana lakini naamini kuwa kipaji kinaweza kukusaidia kutimiza kusudi la kuwepo kwako hapa ulimwenguni.

Aina 7 za vipaji:
1) Ubunifu
2) Muziki
3) Hesabu
4) Picha
5) Lugha
6) Mahusiano
7) Michezo

Mimi binafsi, nimegundua kuwa nina kipaji cha ubunifu.
"Wewe una kipaji/ vipaji gani kati ya hivyo?"
quote20200802231412.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom