kipaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, kipaji kinalipa kuliko elimu?

    Haya kama mada leta hoka tuone nini ni nini? Je, kipaji kinalipa kuliko elimu ya darasani?
  2. JamiiForums Tanzania Umalaya ni kipaji kama vipaji vingine tu ambavyo si kila mtu anavyo

    Kuna wakati natamani kuchepuka lakini nikishawawekaga mademu sawa tu siku ya tukio mimi ndio nakuwa na sababu na kuingia mitini. Umalaya sio pesa wala mali bali ni kipaji tu kama vipaji vingine hata hao wanaokwambia uache umalaya muda mwingine wanatamani pia na wao kukubalika na mademu...
  3. JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kuchoma hela niamishiwe wizara ya fedha.

    Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu hata vitanda vyao vidogo.. Nipelekwe BOT pale nikachome hela nitakuwa mwaminifu sitatoka na pesa...
  4. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na mtu anachekesha sana bila kutumia nguvu?

    E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha, angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana. Tulikua abiria watatu na dereva, pikipiki ikapita kwa speed sana ndio akaanza kuelezea mkasa wake wa ajali wakiwa wamepakizwa kwenye fekon huko mkoani...
  5. JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kipaji na mapendeleo yako

    Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia. Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

    Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji). Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa cha kuchekesha amepewa na Mungu.
  8. JamiiForums Tanzania Ukiwa na kipaji usikate tamaa, Push mpaka kieleweke

    Kuna dogo alikuwa anajiamini kuwa na kipaji kikali cha kurap. Ndoto yake ilikuwa ni kuja kuwa staa mmoja mkubwa sana nchini Marekani na duniani kwa ujumla. Hakujua ni kwa namna gani angetoka, akawa anafanya muziki wake chumbani kimyakimya, anatengeneza beat na kufanya ngoma kivaykevyake. Siku...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tumshauri Rais ateue vijana wasio na uzoefu lakini wana vipaji vya uongozi kwenye taasisi za Umma, hawa ni watu ' potential' sana

    Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi? swali la pili: Je, mtu ambaye hana uzoefu(graduate) hawezi kuongoza Taasisi Kwa mafanikio? Lengo la mada hii ni kupata mtazamo...
  10. JamiiForums Tanzania Madawa yametuharibia hiki kipaji

    Ukims ikiliza huyu Rashidi utagundua ni mtu mwenye kipaji kikubwa na halisi. Bahati mbaya tu madawa ya kulevya yamekatisha mafanikio ya kipaji chake
  11. JamiiForums Tanzania U-Marioo (kulelewa) ni kipaji!

    1. Wale vijana msingi kiuno. Kiukweli mna kipaji cha kuvumilia masimango, kejeli za Hawa mashangazi. 2. Enzi zangu niliwahi kuwapelekea moto mashangazi Kwa idadi yanafika Saba (Kwa wakati tofauti) sikudumu nao. Nilizua varangati nikasepa. 3. Nimeoa Sasa, nimebaki kuwa mshauri mwelekezi...
  12. JamiiForums Tanzania Wakazi kaonyesha kipaji kwenye Muziki wa Taarab. Ana pesa zake nyingi kwenye Muziki wa Mwambao

    Mimi kama mtu mwenye talanta ya kuweza kuona vipaji vya watu ambapo wakati mwingine wenyewe hawavioni ninapenda kuutaarifu umma kuhusu kipaji kipya nilichokiona. Ndugu yetu Wakazi Wasira ambaye anatajwa kama mwanafamilia ya muziki wa Hiphop amekuwa akipoteza muda kurap wakati kipaji chake halisi...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu Kijana Mungu alimpa kipaji cha Kuimba mno!

    Hebu sikiliza hiyo sauti aiseee
  14. U

    JamiiForums Tanzania "Kugundua Hazina Yako ya Kipekee: Njia ya Kugundua Kipaji Chako"

    1.kutafakari juu ya mambo unayopenda kufanya katika wakati wako wa ziada. 2.Jifunze juu ya mambo mbalimbali. Kusoma na utafiti vinaweza kukusaidia kugundua masomo unayopenda na kuwa na kipaji. 3.Jaribu vitu vipya.Kujaribu shughuli tofauti kutakusaidia kugundua vipaji visivyokuwa vya kawaida...
  15. JamiiForums Tanzania Ili kukilinda Kipaji cha Beki Tshabalala kinachopotea, kuanzia sasa nikimuona Kawe kwa 'Goma' lake 'nampopoa' na Mawe

    Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa...
  16. JamiiForums Tanzania Simba msiue kipaji cha mchezaji

    Huyu kocha wa Simba mimi sijawahi kumuelewa. Binafsi huwa sipendi watu wenye maneno mengi kuliko vitendo. Huyu Babu anaonekana kuwa na chuki wa wachezaji na kuwabagua. Ndio maana ujio wake pale Simba umeua viwango vya wachezaji. Bocco ametoka kuwa goli zaidi ya 10 na kudorora, Sakho hakuwahi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Steve Mweusi ana kipaji, atafika mbali

    Japo mimi sio mtazamaji wa hizi mbanga za bongo ila kwa bahati nimekutana na huyu msanii STEVE MWEUSI ana kipaji apewe support atafika mbali.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi mtu kuwa charismatic ni kipaji au?

    Aina hii ya watu ni kama wana sumaku ya mvuto, mtu yupo simple tu anavaa kawaida, sura ya kawaida, uchumi wa kawaida lakini watu wanampenda sana uwepo wake, kuongea nae, kuchati nae, kwenda kumsalimia, n.k. Ni mtu ambae hata akiwa mgeni sehemu flani basi kesho yake kashazoeleka, akikaa sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania Malezi ya Mama pekee husaidia kugundua kipaji kuliko ya wazazi wote wawili

    Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti, 1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
  20. JamiiForums Tanzania Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…