kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa upinzani Congo-Brazzaville afariki kwa Corona siku ya uchaguzi

    Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na mgombea wa kiti cha urais amefariki kwa COVID-19 ikiwa ni saa chache tu baada ya vituo vya uchaguzi kufungwa. Guy-Brice Parfait Kolelas alifariki akiwa kwenye ndege akipelekwa nchini Ufaransa kwa matibabu baada ya kuumwa. Saa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Japo haisaidii: Kama kiongozi hataki kukosolewa akiwa hai, Basi akifa ruksa kukosolewa

    Kama kiongozi wa nchi hayupo tayari kukosolewa akiwa hai, basi ni salama zaidi akifa tumkosoe. Mambo haya hayakuwa sawa wakati wa hayati JPM: 1. Haki 2. Uhuru 3. Ajira zenye usawa 4. Maendeleo ya watu 5. Kodi za ajabuajabu tena za uongo. Akiwa hai, ukisema tu kuhusu kimojawapo hapo juu...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna kiongozi au binadamu aliyekamilika, leo imedhihirika JPM alikuwa anakubalika kwa wanyonge na sio kwa mafisadi na matapeli ya kisiasa

    Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini kuwa hakuwa mtu wa haki na utawala wake ulijaa udhalimu. Lakini leo hii tumepata picha kamili...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  5. JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itapata kiongozi kama Hugo Chavez? Watanzania hatunufaiki na rasilimali zetu

    Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania. Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo kama tungekuwa na kiongozi makini basi tusingesikia wananchi wanapata tabu. Leo hii wananchi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wateule waliomjadili Kiongozi Mkuu vibaya kwa siri watenguliwe ni wanafiki

    Taifa limepita wakati mgumu sana wa maneno yasiyo na ukweli ndani yake "minong'ono". Wakati hii minong'ono inaendelea nilitegemea na ninategemea Wataalamu wetu wa intelligence walijielekeza zaidi malangoni pa wateule kusikia misimamo na maoni yao kuhusu mjadala uliokuwa unaendelea mitandaoni...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna muda kiongozi unahitaji ukichaa kufanya mabadiliko yenye tija

    Wakati wana wa Israel wanaelekea kanaani kuna Muisrael alietwa Kora yeye kazi yake kubwa ilikua kupinga safari ya Musa na wana wa Israeli. Bila Mungu kuingilia kati kumuangamiza Kora huenda mpk leo wana wa Israeli wasingefika kanani. Pia inanikumbusha hadithi ya Gadaffi na wa Libya...
  8. JamiiForums Tanzania Unasema humtambui kiongozi halafu unalalamika hujamuona

    Great Thinkers habari za mchana. Nimeona Ndg zetu hususan wa CHADEMA wakihangaika sana mitandaoni kujua Rais Magufuli yuko wapi. Nimeshangaa kwa kweli 'wonders will never end"! Nina maswali yafuatayo:- 1. Je, Mnamtambua Rais Magufuli kama Rais wa Tanzania? 2. Mmelisha wananchi matango pori...
  9. JamiiForums Tanzania Namna Vyombo vya Habari vya Kimataifa vilivyoingia mtegoni kueneza uvumi wa kifo cha Kim Jong Un

    Rais wa Korea Kaskazini alionekana akiwa hai mara baada ya vyombo vya habari vya Kimataifa kama CNN kuripoti kuwa amefariki dunia. Je, ni kitu gani kilipelekea vyombo hivyo vya habari kutoa taarifa kuhusu kifo chake? Mwaka 2020 kulitokea uvumi kuhusu kifo cha Rais wa Korea Kaskazini, Kim...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa chama cha Myanmar afariki kwa kipigo baada ya kukamatwa

    Zaw Myat Linn ni kiongozi wa pili wa chama cha National League for Democracy (NLD) kufariki akiwa mikononi mwa polisi. Wanasisa wanadai kuwa alipigwa sana baada ya kukamatwa siku ya Jumanne Mamlaka zimesema Zaw Myat Linn alifariki Yangon ambapo alikuwa ni mstari wa mbele sana katika kuongoza...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

    Habari za wakati huu wanachama wa jamiiforums Baada ya kuapishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, mzee Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana wetu sisi waafrika. He was supposed to go and condole the family of his predecessor. Nina imani kubwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Urais wa Kasim Majaliwa 2025 umempa Ukatibu Mkuu Kiongozi Dk. Bashiru Ally

    Wanabodi tuwe tunaweka kumbukumbu pamoja na kusoma "between the lines" anapoandika mtu uzi wake. Tuongeze uwezo wa kutafakari na kudadisi ili kupata faida kuepuka ramli. Siku za hivi karibuni nikiandika uzi humu ndani nikieleza kuwa Urais wa Kassim Majaliwa unasukwa na SG wa CCM Dk. Bashiru...
  13. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

    Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ? Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
  14. J

    JamiiForums Tanzania IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

    Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally. Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk Karibu. Updates: Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, nami nikija kuwa Mwanasiasa Kiongozi Afrika nikiwa nafanya Umafia huu wa Kikatili kwa nitakaowateua nitakuwa nakosea au napatia?

    Kwa mfano ikitokea nikawa na Msaidizi wangu ndani ya Ikulu ambaye nilimwamini mno ila baadae akaanza Kunikosoa, Kuchukizwa na Utendaji wangu na tabia zangu za Ukatii wa Kurithi huku nikagundua huwa anavujisha pia Siri zangu na Kuwaamuru Wasaidizi wangu ( Wana Usalama ) wammalize Kiuhai ila...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Bashiru kupewa Ukatibu Mkuu Kiongozi,mkakati wa kumnyamazisha dhidi ya kuongeza muda wa Urais?

    Wanabodi,wengi watakua wameshtushwa na uteuzi wa Dr. Bashiru ambae ni Katibu Mkuu wa CCM kupewa wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi,ila sidhani kama jambo hili limefanyika kwa bahati mbaya!!! Kabla ya yote naomba turejee sakata la raisi Magufuli kutajwa tajwa kuwa yupo mbioni kubadili katiba(haswa...
  17. JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

    Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja. Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork. Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi tumempa nafasi tumwache afanye kazi yake, kelele za nini?

    Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu. kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu. Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Ni nini kazi ya Katibu Mkuu Kiongozi?

    Katibu mkuu kiongozi anafanya kazi gani? Kuna umuhimu wa mtu kuwepo kufanya kazi hiyo?
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kweli

    Vigezo vya kupima viongozi wetu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…