kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu mdogo wangu anafaa kuwa kiongozi?

    Habari wakuu? Nina mdogo wangu anaogombea uongozi shule anayosoma. Kilichonishangaza amewaambia wanafunzi wenzake "If i get elected all students will get less home-works" NB: Politicians are not born, they are made "who lies best, wins."
  2. M

    JamiiForums Tanzania UHURU siyo gazeti mama hapa nchini, Gazeti mama ni KIONGOZI

    Wote tumeona Chama Cha Mapinduzi, CCM, kimekanusha taarifa ya gazeti la UHURU kwamba Samia hatagombea urais mwaka 2025. Lengo la habari hii siyo kanusho hilo lakini ni kitaarifa ndani ya taarifa hiyo kwamba UHUR ndilo Adam na Hawa ya magazeti yote hapa nchini. Hivi ndivyo ambavyo historia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mkimfunga Mbowe hakuna kiongozi mwingine wa CHADEMA atayehofia au kuona hasara kwenda jela

    Moja ya athari ya kumfunga Mbowe (iwapo watatimiza nia hio ovu), wajue tu ni kufanya viongozi wote wa CHADEMA waliobalki wasione ni hasara kwa wao kumfuata Mbowe magereza na zaidi itachochea harakati za kudai katiba mpya huku wakiwa tayari kwa lolote. Msilolijua ni kuwa, kadri mnavyoendelea...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha Kiongozi kisiasa ni midahalo

    Kama tutakuwa na mifumo yakuwapitisha Viongozi wa ngazi za juu kutuongoza bila kuwa na mifumo ya kuwandaa kiuongozi ni kurudisha taifa nyuma. Kumekuwa na kasumba ya vyama vya siasa kupachikana kwenye vyeo nyeti na muhimu kwa kutumia bidii ya ushiriki kwenye kampeni. Katiba mpya iweke vipengele...
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania atakayempigia kura ya ndio kiongozi aliyemletea tozo za miamala ya simu

    Habari, Endapo uchaguzi mkuu utafanyika leo au hiyo 2025, hakuna Mtanzania (ukiondoa tabaka tawala) atampigia kura kiongozi ambaye amemletea tozo za hovyo za miamala ya simu kienyeji. Muamala ambao mtu alikatwa shilingi 2700 sasa anakatwa karibu elfu tano nzima. Mtanzania wa chini alikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

    Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa na fujo hapo wengine wameshakula nduki na wanakimbizwa.
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

    Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ndiye kiongozi pekee aliyebaki na msimamo usioyumba kuhusu UVIKO 19 na chanjo zake

    Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na chanjo zake. Ni bahati mbaya kuwa viongozi wenzake wote waliokuwa pamoja naye wakati wa uhai wake...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Huyu ndiye Kiongozi tunayemtaka Watanzania

    Duniani ni sehemu mzuri sana kuishi kama sisi wenyewe tutaifanya dunia kuwa salama kwa ajili ya maisha yetu wenyewe. Hata hivyo hatuwezi kuishi kiholela, isipokuwa inatulazimu wawepo baadhi yetu watakao simamia mambo yetu na kutuwakilisha katika baadhi ya mambo. Watu hao ni viongozi na watawala...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakutegemewa kuwa kiongozi wa kukumbukwa Tanzania

    Ni vigumu sasa kwenda sehemu yoyote ya Tanzania na kuuliza kama wananchi wa eneo hilo wanamjuwa kiongozi aitwae Freeman Mbowe, au chama chake cha CHADEMA. Niseme binafsi yangu, tangu nimsikie Mbowe kuwa kiongozi wa CHADEMA, sikuwahi kumpa nafasi kubwa kwenye viongozi ambao ningesema nawatambua...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Utimamu wa kiongozi bora ni kuwa na kichwa chenye ubongo wa hekima, unaowaza, unoainisha, unaochambua, na kuweza kufanya tathimini. Vile vile ukamilifu wa kiongozi ni awe na kinywa chenye ulimi wa ufasaha, unaonena maneno ya staha, unaosema maneno ya uhakika, weledi na wenye kutoa nasaha bora...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wawili wajaribu kumchoma kisu Kiongozi wa Mpito wa Mali Msikitini

    Wanaume wawili wamejaribu kumdunga kisu rais wa mpito wa Mali Assimi Goïta katika msikiti uliopo katika mji mkuu, Bamako. KanaliGoïta allikuwa akihudhuria ibada ya siku ya Eid ul-Adha katika msikiti wa Grand Mosque. Mafisa wanasema washambuliaji, ambao kwa mujibu wa Shirika la habari la AFP...
  14. JamiiForums Tanzania Kiongozi anayeshutumiwa kufanya kampeni ya kujitenga jimbo la Nigeria akamatwa

    Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa madai ya kukusanya silaha. Bw Igboho alikamatwa na vikosi vya uslama katika uwanja wa ndege wa mji mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  16. JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

    Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
  17. JamiiForums Tanzania Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    •MAENDELEO ni MAFANIKIO Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie. •Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo? Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k...
  18. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa BAVICHA Iringa, Vitus Nkuna aitwa ofisi ya RC kwa mahojiano

    Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga . Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na kauli yake ya kizalendo kutokana na kuzidiwa kwa Mkoa wa Shinyanga na wagonjwa wa Corona huku kukiwa...
  19. JamiiForums Tanzania RC Sengati: Kiongozi wa CHADEMA aliyesema Shinyanga imeelemewa na wagonjwa wa corona achukuliwe hatua kali za kisheria

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii. Na Marco Maduhu, Shinyanga. SERIKALI mkoani Shinyanga...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…