kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Kiongozi kuwa Mhandisi na ubaya wa Kiongozi kuwa mtu wa Sanaa

    China is an engineers' country, but US and Germany are now lawyers' countries: former German chancellor By: Global Times | Published: May 04, 2026 04:01 PM "China is, as the US and Germany in the 19th century, an engineers' country. And now we are lawyers' countries," said former German...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna swali tena nani ni kiongozi wa EA

    https://www.youtube.com/live/IDLFO9CCsg0?si=vpjpr7OrL7AdKs52
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi wa kiserikali ni kosa la kiufundi kujibishana na Wananchi. Unajiingiza na kuingiza serikali kwenye mitego ya kuchukiwa

    Hamjambo! 1. Kama Mtibeli jukumu langu ni kuwafundisha.. 2. Kwenye Saikolojia kuna kanuni za kumaintain power na kubaki na heshima. Bila kutumia nguvu na mabavu. 3. Hapa nazungumzia Stoicism (Ustahimilivu wa kihisia), ambapo mtu anachukua msimamo wa kutokujibu uhasama au changamoto za nje...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania wakiona mtu anaongea sana kwenye mikutano wanaona kama ni kiongozi bora, ndugu zangu kuongea sana siyo akili ni uchaa baridi

    Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili, uongozi ni kuongea kidogo vitendo vingi. Nchini Kuna taasisi kibao zimepoteza direction sababu ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anaye jali watu wake Vs mafisadi

    Huyu ndio Kiongozi WA kuigwa afrika
  6. JamiiForums Tanzania CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman

    Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wakulima wa Miwa, Wilbroad Cyprian asema “Mazungumzo yanaendelea na Kagera Sugar kuhusu malipo ya Wakulima wa Miwa

    Suala la Wakulima wa Miwa kutolipwa stahiki zao kutoka Kampuni ya Kagera Sugar, ambapo ilielezwa kuwa walitakiwa kulipwa tangu Desemba 2025, mmoja wa wadau wa karibu wa Wakulima wa Miwa ameelezea kinachoendelea. Hoja ya Mdau ~ Kiwanda cha Kagera Sugar kilipe madeni ya Wakulima wa Miwa, wana...
  8. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT, Dorothy Semu akabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amekabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kipindi cha mwaka mmoja, akichukua nafasi hiyo kutoka CHADEMA baada ya chama hicho kumaliza muda wake. Kwa mujibu wa Katiba ya TCD, chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  9. JamiiForums Tanzania Dk Nchimbi amepigia jibu mstari. Kiongozi kama Hayati Magufuli na Sokoine ndio Mwl Nyerere aliwahitaji kulinda rasilimali za umma.

    Ni wazi ameweka ukweli kwa umma wa Watanzania kuwa uongozi uliopo sasa hivi haupo kulinda rasilimali za umma. Wizi upigaji na mtandao wa wanaCCM wezi wa mali za umma ndio waliopo madarakani. Hayati Julius Nyerere alitaka Sokoine awe mrithi wake lakini akafa kwa ajli yenye utata. Hayati...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Mwambieni 'Jasusi TV' tushamfuatilia tunamjua, aache kushambulia Tanzania yetu

    "Bwana mmoja ametengeneza chaneli yake inaitwa Jashushi TV, mwambieni na yeye. Tushamfuatilia tunamjua. Ache kuwa anashambulia Tanzania yetu. Yeye hafaidiki chochote na hili taifa, haathiriki chochote na hili taifa. Hili taifa lina udini, halina ukabila, halina ukeleketwa wa aina yoyote. Sisi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Niwaonye vibaraka wakenya wana siasa za kihuni mtu unamtukana mpaka kiongozi, wasituletee siasa zao

    "Nichukue fursa hii kuwaonya wale vibaraka, kuna Wakenya fulani, vibaraka wa Wakenya wale walaji wa malungi, walaji wa muguka. Sisi ni watu na heshima zetu, nchi ina heshima. Hiki kitu kinanishangaza sana. Wakenya wana siasa zao za kihuni, hizi siasa za kihuni za Kenya. Haiwezekani mtu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bila kuondolewa kwa nguvu ya umma, Kiongozi anayedharau wananchi hawezi kutoka madarakani

    Yaani anafanya anavyotaka. Anateua watoto wake. Na ikibidi anakuwa anatembea nao kama alivyokuwa akifanya Idi Amin. Anateua mashoga zake hata kama ni majambazi. Duniani kote kiongozi kama huyu lazima aondolewe kwa nguvu za umma. Mifano mizuri ni ule wa Misri na Tunisia 2010 na 2011...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Njia ya Kwanza ya Kutambua uwezo wa Kiongozi ni watu walio Mzunguka-Machiavelli

    This quote, often attributed to Niccolò Machiavelli in his work The Prince, argues that a leader’s wisdom is directly reflected in their choice of advisors and companions. A capable, honest circle indicates a smart leader, while sycophants suggest a weak one. Key insights from this perspective...
  14. JamiiForums Tanzania Prophet Suguye alitabiri kifo cha Kiongozi Bungeni

    Kiongozi wa dini maarufu mtandaoni, @prophet_nicolaus_suguye , hivi karibuni aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akihimiza maombi kwa taifa na mihimili mitatu ya dola, akidai kuona dalili za kuondoka kwa viongozi wakubwa. Ujumbe huo umeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kanusho la Dorothy Gwajima kuhusu kuzushiwa kusema Polepole alikuwa rafiki wa kweli linaongea mengi sana

    Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
  16. JamiiForums Tanzania Kiongozi aliyezima maandamano kwa kuua raia Iran naye auawa

    Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana. Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Israel: Hotuba za chuki ni chanzo cha vurugu nchini, tuzipige marufuku

    Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine. Aidha ametoa...
  18. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Moyo wangu utulie niseme Magufuli alikuwa kiongozi Mzalendo

    Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo. Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna Habari za kusikitisha kuhusu Mojtaba Khamenei kiongozi mpya wa Iran!!!

    Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu mpya wa Iran Mojtaba Khamenei inasemekana yuko kwenye hali mbaya kiafya

    Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile. Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…