kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyenyimwa Fomu sio super black tu hata yule katibu mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja tu na yeye alinyimwa

    Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
  2. JamiiForums Tanzania Polepole kaonyesha kivitendo maana ya Demokrasia: Usipokubaliana na Kiongozi wako, unajiuzulu!

    Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia. Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa. Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya nafsi. Kujiuzulu kwake Polepole kutamjengea heshima in the long run. Bila kuonyesha sababu zake za...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu. Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima...
  4. JamiiForums Tanzania Je,Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika kama Kiongozi

    Wakuu, Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika? Mimi najua tu ni Kiongozi Mahiri, Mwanasheria na Mwanadiplomasia.
  5. JamiiForums Tanzania Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas awahutubia wakazi wa Gaza!!!

    Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag: “Hamas haitatia saini mkataba huo. Morag Corridor inawatia hofu. Hawataki...
  6. JamiiForums Tanzania Polepole: Kiongozi wa Umma ukificha last seen ya WhatsApp, ukiwa ‘online’ hauonekani huo ni uhuni

    Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole aliwahi kutoa kauli kali kuhusu tabia ya baadhi ya viongozi wa umma kujificha kwenye mitandao ya kijamii, hususan WhatsApp. Akizungumzia suala hilo, Polepole alisema “Wewe ni kiongozi wa umma, lakini simu yako kwenye WhatsApp ukiwa umetumiwa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema alisema Lissu hawezi kuwa kiongozi kwa sababu hana pesa, hawezi kuendesha chama

  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  9. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

    Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani. Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama...
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mapinduzi Mali aongozewa miaka mitano madarakani

    Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Jenerali Assimi Goïta amepewa muhula wa urais wa miaka mitano na bunge la mpito, ambao anaweza kupewa tena bila kufanyika kwa uchaguzi. Kiongozi huyo wa kijeshi, ambaye ametwaa utawala kwa nguvu mara mbili, aliahidi kurejea kwa demokrasia mwaka jana, lakini hilo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa tafariji na tahadhari kutoka kwa kiongozi wa kanisa

    Ndugu wapendwa katika Kristo, Ni nani anayeweza kujidai kuwa na mamlaka ya pekee ya kuifahamu kweli yote ya Mungu? Ni nani anayeweza kudai kusikilizwa kwa sababu ya utakatifu wa nje, huku moyo wake ukiwa mbali na upendo wa kweli wa Kristo? Tunasikitika na kutafakari kwa uchungu juu ya majeraha...
  12. JamiiForums Tanzania Taifa Lipo Hatarini, Kila Mtu Anaona Anaweza Kua Kiongozi.. FAILED POLITICAL CULTURE

    Habari Kwenu wote,..Nani hajastushwa na "Trend" ya Kila Mtu maarufu kuchukua Form ya Kugombea Ubunge??.Ni haki ya Kila Mtu ya kikatiba kuchagua au kuomba ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kua Muwakilishi wao.. Lakini Jambo Hilo Lina maana gani?kukua Kwa demokrasia??Muamko wa Vijana??Mimi Nina...
  13. JamiiForums Tanzania Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni

    Ni mda sasa kumekuwa na harakati za gen z kutoka kenya ila tokea wanaanza walijitanabaisha kama ni leaderless hili lilikuwa kosa la kimkakati Kwenye historia ya dunia kwenye movement yeyote ile lazima kuwe na mbeba maono au kìongozi Movement yeyote ikikosa kiongozi ambaye sio wa kuchaguliwa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka nchini Iran Ayatollah Khamenei, hajaonekana hadharani licha ya kusitishwa kwa vita

    Kwa kusitishwa kwa mapigano, Wairani wanashangaa kuendelea kutokuwepo kwa Khamenei Leo, 7:30 asubuhi 1 A Juni 14, 2025. (Picha na ATTA KENARE / AFP) Gazeti la New York Times linaripoti kuhusu hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka nchini Iran kutokana na kuendelea kutokuwepo Kiongozi Mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Iran wanatakiwa kuwa alert kwa hii Casefire mda wowote kiongozi mkuu anawindwa

    Marekani bado hajafikia lengo hata kidogo wanachohitaji ni Kuondoa Legency ya Ayatollah na kupandikiza Muisrael kwa mgongo wa Demokrasia. Bado Viongozi wa Iran wataendelea kuwindwa kwa namna yeyote. Kilichofanywa ni kupunguza kipigo cha Muiran coz Israel hali ni mbaya sana kama ilivyo kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Maneno ya Kiongozi na mwalimu Olumba Olumba Obu

    Hii ni bandiko ambalo kila siku nitakuwa naweka maneno ya Baba mtakatifu OLUMBA OLUMBA OBU Ujumbe wa: Jumatatu (23-06-25) MANDHARI: USafi: UFUNGUO WA UFALME WA MUNGU (Dondoo 4) SOMO LA KWANZA - 1 Wakorintho 5:11 SOMO LA PILI - 1 Wakorintho 6:18 NUKTA YA DHAMABU - 1 Wakorintho 7:4-5...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna familia ya kiongozi au watoto zao ambao ni machawa

    Huu ndiyo ukweli,hakuna kiongozi au watoto wa Viongozi ambao ni machawa Na ukitegemea wameshawekewa nafasi nyeti za uongozi kuanzia Urais,Uwaziri,Ubunge,na nafasi zingine zenye mishahara mizuri Lakini wewe Chawa huna chochote kile cha kuja kukipata katika inchi hii na unapozidi kushabikia na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna kiongozi mzalendo hapa Tanzania

    Hapa Tanzania hakuna kiongozi mzalendo kama wanavyojinasibisha kwenye majukwaa ya kisiasa Kwa Mfano 1. Hakuna mtoto wa kiongozi anayesomea shule za serikali za msingi, secondary na vyuo vya kati vya serikali 2. Viongozi wetu wakiugua wanakimbila hospital za nje ya nchi au hospital za private...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo

    Akitembelea eneo la shambulizi la kombora la asubuhi ya leo huko Holon, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ni "Hitler wa kisasa" na "hawezi kuendelea kuwepo." Anasema kuwa chini ya malengo ya vita ya IDF, "bila shaka mtu huyu hapaswi kuendelea...
  20. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Afrika apatikana naye ni Olumba Olumba Obu

    Kristo Aliyerudi Mtakatifu Olumba Olumba Obu kaja kulikomboa bara la Afrika na kubwa zaidi Dunia Nzima Amani na upendo ndio Nguzo ya udugu wa Msalaba na Nyota Dunia tuna kila kitu ila Hatuna Upendo baina yetu viumbe yofauti ,dunia na Mazingira yanayotuzunguka Dhambi Vita Njaa Hasira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…