kinyume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katiba ni Sheria Mama. Sheria Yoyote Kinyume na Katiba ni Batili. Wanasheria Wetu, Waliwezaje Kufanya Madudu Haya Kuchomeka Batili Ndani ya Katiba?

    Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya Leo, 29 January 2023 Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu, Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda kinyume na katiba, sheria hiyo ni batili! Serikali yetu kupitia wanasheria wetu manguli, wabobezi na...
  2. JamiiForums Tanzania Umiliki silaha kinyume na sheria

    Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria? Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple kabisa ila kabla ya kufikia uamzi wa kukachukua ninataka nijue kwanza ikiwa nitakamatwa nako athabu yake...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kitendo cha Mwanamke kujisaidia wakati wa Kujifungua ni ishara kuwa alishiriki ngono kinyume cha Maumbile

    Mdau wa JamiiForums anaomba kufahamu kama kitendo cha mwanamke kujisaia wakati wa kujifungua huhusishwa na kushiriki tendo la ndoa kinyume cha maumbile. Ameuliza swali hii baada ya kuwepo wa sintohamu kubwa miongoni mwa watu ambapo baadhi husema ni jambo la kawaida huku wengine wakipinga...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Copa America ilifanyika mara nne ndani ya miaka sita kinyume na utaratibu?

    Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze kushinda kombe akiwa na timu yake ya taifa. Kwakawaida, Copa America huwa inafanyika kila baada ya miaka...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni, hakuna Simba bila Yanga na kinyume chake. Mngejua?

    Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano. Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka nilipokuja kungundua Kuwa Timu za SIMBA na YANGA ni habari nyengine hapa Tanzania. Kwa kweli nilipata tabu...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa adai Kanuni za Uchaguzi Tanzania zimetungwa kinyume na Katiba

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa ameibuka na kukosoa kanuni za uchaguzi zinazotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha chaguzi, akisema zimetungwa kinyume na Katiba ya nchi. Kupitia mahojiano na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Dk Slaa ambaye aliwahi kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
  8. JamiiForums Tanzania Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya 18 – 24, katiba yetu imetoa haki zifuatazo: 18. Uhuru wa Maoni. 19. Uhuru wa mtu kuamini dini...
  9. JamiiForums Tanzania Makalio Chanzo kikubwa Kwa wanawake kuingiliwa kinyume na Maumbile

    Huwa nawashangaa Sana wadada wanalalamika wapenzi wao kutaka tigo. Ikumbukwe wanawake wa kileo wanaringa sana na mawowo Yao. Wanayatingisha tingisha na kuyabana ili kuvutia wanaume. Kumbuka kama mwanaume alikupendea trako, amini usiami Hata mkiwa ndani sita kwa sita atatamani akugeuze aone...
  10. JamiiForums Tanzania Tunapokuwa na taifa ambalo mkuu wa nchi anakaa kimya pale raia wake wanapouliwa kinyume cha sheria hilli Tataizo kubwa. Kwanini yupo kimya?

    Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT. Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT. Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

    Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini? Mbona siamini nikionacho baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Afisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile. Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    Habarini wana JF, Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu. Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Mapenzi kinyume na sheria

  15. JamiiForums Tanzania Amekuwa akifanya mapenzi kinyume na maumbile, sasa anataka kubeba mimba

    Tulianza kama mchezo, kuitana popobawa na hatimae tigo ikaliwa. Huo mchezo umeendelea na hatima ameona ni muda wa kuzaa sasa. Changamoto iliyopo ni madhara "tunayo sikia sikia" Kuwa kama ulikuwa unafanya huo mchezo ni ngumu kuzaa kwa hali ya kawaida. Isitoshe jambo la kusikitisha mimba yake ya...
  16. JamiiForums Tanzania Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

    Habari! Hii taarifa imenipata nikaona niilete kama ilivyo. My Take: Yani wanataka kila kitu serikali iwaandalie yani hadi Future yao kweli? Mbunge wa Mchinga (CCM), Salma Kikwete ameishauri Serikali kutengeneza utaratibu ama sheria ya kuwahakikishia stahiki zao wake na wenza wa viongozi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Taliban yaenda kinyume na ahadi ya kuruhusu wasichana kusoma

    Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana na kwenda kinyume na ahadi walioitoa ya kuruhusu wasichana kusoma. Uamuzi huo uliothibitishwa na afisa wa Taliban, unarudisha nyuma juhudi za Taliban...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

    Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
  19. JamiiForums Tanzania Issa Shivji: Ufutaji wa Uchifu Kisheria, ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa

    Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali. Ufutaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…