Wakuu, nawasogezea stori (mkasa ulionikumba mwaka 2013).
Nisisahau jadi ya watanzania, hamjambo wote? Watoto wenu hawajambo?
Wakuu, ilikuwa hivi, mwaka 2013 mwezi wa 11, kipindi hicho nikiwa nimeingia mwaka wa 3 wa masomo chuoni, wakati 'bumu' la kwanza likiwa limetoka, siku hiyo bumu linatoka...