kingono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Trump awajibishwa kwa kashfa ya unyanyasaji wa kingono, Kumlipa E. Jean Carroll $ 5 milioni

    federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store dressing room in the mid-1990s. She was awarded $5 million total in damages. The jury, made up of...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Ibada 3 za Kingono zinazofanywa Kimila barani Afrika

    Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au waafrika bali lengo ni kujifunza tu maana kujifunza hakuna mwisho ..haya twende kazi... 1. IBADA YA...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Unajua kuwa kutikisa makalio kwa lengo la kumtega mtu ni unyanyasaji wa kingono? Jifunze hapa juu ya unyanyasaji wa kingono

    UNYANYASAJI WA KINGONO NA RUSHWA YA NGONO Kumekuwa na tabia isiyopendeza katika jamii hususani mahali pa kazi ambapo baadhi ya waajiri au mameneja wa waajiri wamekuwa na tabia ya kuwanyanyasa kingono na kuwaomba rushwa ya ngono wafanyakazi walio chini yao au watu wasio wafanyakazi wanaoomba...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Soka Ufaransa ajiuzulu baada ya ripoti mbaya ya ofisi yake na tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014. Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya unyanyasaji wa kingono ya Mason Greenwood yafutwa

    Mason Greenwood ameondolewa mashtaka yote yaliyokuwa yanamkabiri ikiwemo unyanyasaji wa kingono dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake. Taarifa kutoka Polisi wa Greater Manchester ni kuwa hawatotoa maelezo mengi zaidi licha ya kuwa kesi hiyo ilikuwa na mvuto kwa Media lakini kujiondoa kwa Mashahidi...
  7. JamiiForums Tanzania R. Kelly afutiwa mashtaka 10 ya Unyanyasaji wa Kingono yaliyopaswa kusikilizwa leo

    Mwimbaji Nyota wa R&B kutoka kutoka Chicago, ameondolewa mashtaka ya Jinai kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia yaliyotakiwa kusikilizwa Mahakamani leo January 31, 2023. Umuzi huo umetokana na kifungo cha miaka 30 ambacho Kelly anatumikia baada ya kupatikana na hatia katika kesi nyingine za Ulanguzi...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

    Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
  9. JamiiForums Tanzania TUMECHOKA: Sheria mpya zitungwe kuwabana Lecturers vyuoni wanaowalaghai kingono watoto wetu wa kike, mama zetu, wake zetu na wachumba wetu

    Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa...
  10. JamiiForums Tanzania Haijalishi mahusiano yoyote ya kingono zaidi ya kwenye ndoa ni chukizo kwa Mungu-huponi kwa mjibu wa mambo ya walawi 18:1-30

    Mambo ya Walawi - Leviticus 18 1 Bwana akanena na Musa, na kumwambia, 2 Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. 3 Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri mliyokaa; wala msifanye matendo kama yale ya nchi ya Kanaani, nitakayowapeleka; wala msiende katika...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigizaji wa Squid Game ashtakiwa kwa ukatili wa kingono

    O Yeong-su mwenye miaa 78 ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya Golden Globe ameshtakiwa kwa kumshika maungoni bila ridhaa mwanamke ambaye jina lake haljatajwa. Yeong-su amekanusha kumshika kinyume cha maadili mwanamke huyo mwaka 2017 na kudai alimshika mkono mara moja alipokuwa akimwongoza njia...
  12. JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono Watoto

    Hukumu imetolewa na Hakimu Mkazi John Mdoe wa Mahakama ya Wilaya dhidi ya Francis Julius Matiko mkazi wa Isevya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuwadhalilisha watoto. Upande wa Mashtaka uliiambia Mahakama kuwa mshitakiwa kwa nyakati tofauti aliwalaghai watoto wawili wa kike kwa kuwapa Tsh...
  13. JamiiForums Tanzania Zambia kuchunguza madai ya unyanyasaji wa kingono kwenye timu ya taifa ya wanawake

    Shirikisho la Soka (FAZ) limechukua hatua hiyo kufuatia shutuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa baadhi ya wachezaji walichaguliwa kucheza Timu ya Taifa baada ya kulazimishwa kushiriki vitendo vya ngono na benchi la ufundi. Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Adrian Kashala amesema wameandika...
  14. JamiiForums Tanzania FIFA yamfungia Afisa wa soka Zimbabwe kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike

    Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kumkuta na hatia Zhoya...
  15. JamiiForums Tanzania KALIUA: Shaka awanyooshea vidole Maboss wanaonyanyasa wanawake Kingono asema akibainika tu hana Kazi

    SHAKA AKEMEA WALE WOTE WENYE VYEO WANAOHUSISHWA NA UNYANYASAJI WA KINGONO ASEMA UKIBAINIKA HUNA KAZI. === Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge. Akizungumza leo...
  16. JamiiForums Tanzania Beki wa Man City akana mashtaka 7 ya ubakaji na udhalishaji kingono

    Beki wa Manchester City Benjamin Mendy amekana shitaka jingine la ubakaji. Mendy mwenye miaka 28 alishtakiwa kwa makosa saba ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na shtaka moja la kujaribu kubaka. Aliingia katika kesi ya kutokuwa na hatia katika kusikilizwa kwa kesi yake katika...
  17. JamiiForums Tanzania Muigizaji Nchini Nigeria ahukumiwa Miaka 16 jela kwa kumnyanyasa mtoto kingono

    Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014 Mnamo Mwaka jana, Omiyinka alikiri mahakamani kumlawiti mwathiriwa, lakini akasema ni katika muktadha wa nafasi aliyokuwa akiigiza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa DSM walishaharibi niwa kingono. Utakuta mtu anafamilia lakini anayo siri moyoni. Hii ni sababu ya kuendekeza tabia, mila na uovu.

    Dar ni mji mbaya sana. Maan watu wanafundishwa uovu toka wadogo. Wanafundishwa kulawati na kulawitiwa wakiwa wadogo. Ndo maana wengi walishalawitiwa inabakia kuwa siri yao tu. 👇
  19. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Watoto waliofanyiwa ukatili wa Kingono na baba yao mzazi, mmoja asema "NATAMANI BABA AFE"

    Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa. Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
  20. JamiiForums Tanzania Misri: Mmiliki wa vyombo vya habari ahukumiwa kwenda jela miaka 3 kwa kuwanyanyasa kingono watoto yatima

    Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika kituo cha watoto yatima alichoanzisha. - Mohamed al-Amin ambaye ni mmiliki wa Future Media, CBC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…