Zambia kuchunguza madai ya unyanyasaji wa kingono kwenye timu ya taifa ya wanawake

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,364
8,096
Shirikisho la Soka (FAZ) limechukua hatua hiyo kufuatia shutuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa baadhi ya wachezaji walichaguliwa kucheza Timu ya Taifa baada ya kulazimishwa kushiriki vitendo vya ngono na benchi la ufundi.

Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Adrian Kashala amesema wameandika barua kwa Jeshi la Polisi kuomba ushirikiano juu ya suala hilo na kuwataka watu wenye taarifa za unyanyasaji huo pamoja na wachezaji wa timu ya taifa kuripoti jambo hilo haraka.

Shirikisho limesema kuwa litatoa taarifa baada kukamilisha mchakato wote wa uchunguzi.

=============================

The Football Association of Zambia (FAZ) on Friday launched an inquiry into allegations of sexual abuse within the women's game.Accusations on social media claim that some players were selected to play in the national team after allegedly being asked to give favours to unnamed officials in the football association.

"Although at FAZ we have no record of official complaints brought from anyone on the allegations we consider the allegations very serious and have opened an inquiry into the matter," the federation's secretary general Adrian Kashala said in a statement.

"We shall collaborate with the Zambia police and other stakeholders in dealing with this matter", he added. The association asked anyone with information of sexual abuse among "the Shepolopolo" national team's players to report to the association.

"We have since written to the Zambia police to invite anyone with evidence to help with investigations. The nation shall be notified of the outcome of the inquiries once concluded.

Until then we shall provide no further comment", Kashala said.Zambia reached the women's Africa Cup of Nations' semi-finals in July and made history winning the COSAFA Women's Championship this month.

Zambia, South Africa, Morocco and Nigeria, are the African qualifiers for the 2023 Women's World Cup in Australia and New Zealand.

BBC/The Washington Post
 
Back
Top Bottom