Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,293
- 222,373
Ukisikia kukurupuka ndio huku sasa.
Watu washashindwa sasa unafafanua kitu gani?
=======
"Katika mzunguko wao (CHADEMA) hapa nchini wamekuwa na hoja zifuatazo, hoja ya kwanza (1) wamezungumzia juu ya Katiba, hoja yao ya pili (2) wamezungumza sana juu ya sheria ya uchaguzi, hoja yao ya tatu (3) wamezungumzia juu ya Muungano na kutaka, na kutaka kuleta mfarakano kati ya Tanzania Bara na Visiwani (Zanzibar), na kuonesha kwamba Visiwani (Zanzibar) wanafaidika zaidi kuliko Tanzania Bara (Tanganyika), na mwisho wamekuwa wakizunguka na ajenda ya kuligawa Taifa katika majimbo, na hiyo ni sera ambayo wamekuwanayo (CHADEMA) kwa muda mrefu sana.
Sasa niko hapa kuzungumza machache kuhusiana na kila jambo walilolisema, lakini kubwa ieleweke kuwa wameshindwa" -KinanaMakamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana amezungumza hayo leo, Jumapili Mei 05.2024 alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoa wa Dodoma.