Leo naomba tuweke vyeti vyetu vya chuo na zile "A" zetu za sekondari pembeni, tuzungumze ukweli unaouma. Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua jambo moja la kushangaza sana mitaani:
Asilimia kubwa ya watu tunaowachukulia kama 'watu wa kawaida' au wasio na uwezo mkubwa wa...
Mafanikio yapo katika pembe(angle) nyingi katika maisha.
Mafanikio nini, kila binadamu ana tafsri yake kuusu mafanikio, mwengine ana amini kuwa na pesa nyingi ni mafanikio, mwengine kuwa na furaha ndio mafanikio.
Mafanikio yapo katika angle tano muhimu ambazo ukielewa utakuwa na mafanikio ya...
Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi.
Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni
-Kuuza bando mtandaoni
-Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto )
-uwinga (hii ilinifungulia milango mingi...
Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo.
Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
Napo viral yake imekuja kipindi tete huku kwa namna fulani ikihusika moja na moja na CCM kupitia uharibufu wa mabango ya mgombea... LAKINI anaingia kwenye list ya
Dr. Shaka
Majaliwa mvuvi
Mandonga nk
CCM wangeshapita naye kitambo lakini kuna mambo mawili yanawafanya wasite japo wanamtamani...
Atavaa kila aina ya nguo awalingishie, kila demu atazaa nae kuonesha umwamba wake, kila hatua atakayopiga ata prove kwenu kuwa amewazidi kwa maana nyie ni wapumbavu kuzidi yeye
Juzi mmoja wao amewaambia mnalalamika sana na hamfanyi kazi utafikiri mmesimama tu mnakenua bara barani.
Anyway pesa...
Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa?
Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta.
Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua.
Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa.
Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...
Kwanini RC msipite mnaombea kila kijiji au familia waweze kufanikiwa kimaisha,kukiwa na mafanikio ktk kila familia amani itakuja yenyewe tu.
Hizo propaganda nyingine ni uhuni tu na kutafuta fedha kupitia sadaka za maombi.
Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO
Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto,
Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu.
HAPPY SATAN DAY
By Dr DOGOLI...
Hii ni kwako wewe mfanyakazi unaejitafuta kimaisha na kwa wote wanaofanya au kutarajia kufanya kazi ya kupokea mishahara
Kama mshahara wako ni shilingi laki moja, waambie nduguzo unalipwa elfu 60 na watu baki waambie unalipwa elfu 40.
Namba hazitakiwi kuwa halisi, ukitaja kiwango halisi...
UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu
1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa,
2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa
3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha,
4. Kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku...
Kuna jambo moja watu wengi huchukulia poa hadi wapitie wenyewe: msaidizi wa karibu sana anaweza kuwa mtesi wako mkubwa kuliko hata adui wa mbali. Ndugu zako—wale mnaoshiriki damu moja—wakiamua kukusaidia, mara nyingi wanakuwa na hidden terms and conditions ambazo hawazisemi hadharani, lakini...
Hali hii mara nyingi naiona hasa kwa watu wazima wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea, unakuta kapambana sana hapo nyuma Kuna fursa alizipata akazichezea matokeo yake anakuwa na hali flani mbovu ya kiuchumi .
Sasa kinachokuja kutokea hapa kila atakaekuwa anakutana nae na anapitia maumivu...
Nimefanya utafiti nmegundua watu wenye majina ya asili ya kabila Lao hua wanafanikiwa Sana, iwe kimaisha, utajiri au kielimu, ni kama Yana baraka Fulani hivi.
Haya majina ya kizungu na kiarabu yalikuja na meli tuu hayana maana yoyote
Weka Imani yako pembeni kua open minded msikilize huyu JAMAA 👇👇
Tumeona mada nyingi ambazo watu wakieleza au kupitia kuhusu jinsi maisha ya utafutaji kuwa ya mekwenda ndivyo sivyo,kukosa ajira,kushindwa kuoa au kuolewa n.k.
Hii bullying niliyotaja kwenye kichwa cha habari si rahisi miaka ya 90 kushuka kukutana nayo ila kwa sasa ndio inazidi kukuwa kama...
Ukitumia somo la historia, kama somo la kukupa mbinu za kupambana kimaisha, linaweza kukusaidia.
Ebu fikiria ukoloni ulivyoingia Afrika, kwa kutumwa wajumbe mbalimbali kuja kufanya utafiti na kuangalia namna ya kututawala pamoja na kumiliki mali zetu.
Na wengine kuuzwa kama mifugo ili kwenda...
Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni
Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu home hali ndo hivyo maisha sio mazuri sana
Tunapewa elimu tu mtaji utajua mwenyew na sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.