Kilimo cha kwenye mifuko

Kilimo cha kwenye mifuko

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,063
Reaction score
1,544
Habari wanajamvi.

Kuna maeneo ardhi haikubali kustawisha zao fulani na wakati huo hilo zao linalohitajika sana katika eneo la wakazi husika.

Mimi niko eneo ambalo ni udongo kichanga sana, mazao jamii ya mbogamboga yanakataa kwa Sababu maji kunyauka mapema na udongo hauna rutuba.

Nimefikiria kuhamisha udongo kutoka sehemu nyingine na kuuweka kwenye mifuko au viroba vya cement na kuvitumia kukuuzia mimea ninayohitaji. Maarufu kama kilimo cha mjini kwa kulima kwenye vicontaina kama ndoo au dumu zilizokatwa.

Naomba ushauri wa kitaalaamu nizingatie mambo gani ili nifanikiwe ikizingatiwa ni eneo lenye joto.
1760088096856.jpg
1757697019109.jpg
 
Mkuu umefika wapi

View attachment 3504450View attachment 3504451
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom