kilimo ni uti wa mgongo katika uchumi wa nchi.kutokana na matokeo ya sensa ya kilimo mifugo na uvuvi ya mwaka 2019/2020 yanaonesha asilimia 65.5 ya kaya zilizopo Tanzania zinajihusisha na kilimo hii inaonesha ni kwa kiasi gani kilimo ni kitu tegemewa sana hapa kwetu Tanzania.sekta hii imechangia kiasi cha nusu ya pato la taifa(GDP) kww salimilia 29.1 na kutoa ajira kwa asilimia 65.5 kwa wananchi.pamoja na kuwa kinamchango mkubwa kilimo kinachofanyika ni kilimo duni
Vifuatavyo ni vikwazo katika sekta ya kilimo
1.Mabadiliko ya tabia nchi
Hii ni changamoto itokanayo na mabadiliko ya hali ya hewa katika maeneo mbalimbali, mabadiliko haya yanapelekea upatikanaji hafifu wa mazao ya kilimo
2.Gharama kubwa za upatikanaji wa pembejeo
upatikanaji wa vifaa kwa ajili ya kilimo zipo juu kiasi ambacho wakulima wadogo hawawezi kuzifikia hivo kupelekea ufanisi mdogo katika kilimo. Changamoto hii imechangia kwa asilimia 15.6 katika kuwa na ufanisi mdogo katika sekta ya kilimo nchini
3.Upatikanaji wa ardhi
upatikanaji wa ardhi yenye rutuba na ubora kwa ajili ya kilimo ni moja ya vikwazo katika sekta hii ya kilimo ,hii ni kutokana na jiografia ya maeneo na taratibu za upatikanaji wa ardhi pia migogoro baina ya wakulima na wafugaji hili linachangia kudumaa kwa kilimo.
4.Bei ndogo za mazao pamoja na ukosefu wa masoko ya uhakika
kutokana na ukosefu wa masoko na pamoja na bei ndogo ya mazao wakulima wankuwa wakikatiswa tamaa hivo kupelekea kilimo kuwa duni
→Vikwazo vingine ni pamoja na ukosefu wa vifaa kwa ajili ya umwagiliaji ,uharibifu wa mazao.kitoka kwa wanyama ,ndege na wadudu na elimu duni kwa baadhi ya wakulima
TEKNOLOJIA KATIKA KUBORESHA KILIMO
teknolojia katika kilimo ni matumizi ya teknolojia katika kuboresha na kuongeza ufanisi katika kupanda mazao ,kupanda mbegu,katika kuhakikisha usafi shambani na katika mavuno.yafuatayo yafanyike ili kuhakikisha tunafikia Tanzania tuitakayo
1.Sensa ya udongo
teknolojia hii itasaidia wakulima katika kuelewa hali ya udongo na uhitaji wa mazao vigezo kama vile unyevu,virutubisho na soil pH.hii itasaidia kuwepo kwa upangaji wa mbinu bora za kilimo ili kuongeza ufanisi kwa mfano katika kujua ni mazao yapi yatashamiri katika eneo fulani wakulima lazima kugundua ni udongo gani na rutuba sahihi kwa zao husika
2.Matumizi ya mashine mbalimbali
ili kufikia kilimo chenye tija lazima serikali na watu binafsi kubadilisha vifaa katika kilimo .mashine katika kuandaa shamba ,kupanda mbegu,kumwagilia ,kupulizia viwatilifu, hii itasaidia katika kuboresha ubora wa wa mazao na wingi wa mazao
3.Mfumo wa habari wa kijiografia(GIS)
hii ni teknolojia inayosaidia kuchambua data za ardhi na kuweka ramani ya maeneo ya kilimo na ufanisi .kwa kutumia teknolojia hii wakulima na serikali watakuwa na taarifa sahihi katika kufanya kilimo katika eneo husika. Kwa mfano teknolojia hii itaonesha katika mikoa fulani kutakuwa na jiaografia nzuri inayopendeza kuzalishwa kwa mazao husika.
4.Teknolojia ya precision farming.
Hii ni teknolojia katika kilimo ambayo inaambatana na usimamizi yakinifu ,uangalizi na kufuata majibu ya mabadiliko ya uhitaji wa mazao.teknolojia hii inatumia mfumo wa teknolojia ya habari(IT) kuhakikisha udongo unapokea virutubisho vinavyo hitajika kwa wakati pia inaangalia vipengele vya udongo ,hali ya hewa na ardhi ya eneo katika kuhakikisha ukuaji bora wa mazao
5.Matumizi bora ya rasilimali maji(watar management system)
huu ni mfumo bora ya utunzaji wa maji ambayo yatatumika katika shughuli za kilimo mfano kilimo cha umwagiliaji na matumizi mengine .kwa kutumia teknolojia hii kutakuwa na maji ya kutosha ambayo yatatumika kwa kilimo mfano matumizi bora ya maji ya visima ,mito na maji ya ziwa hii itasaidia kutoka katika kutegemea mvua katika kilimo
→katika kufikia Tanzania tuitakayo sekta ya kilimo lazima ipewe jitihada kubwa hii ni pamoja na kuongeza ufanisi wa kilimo kwa kuweka mazingira rafiki kwa wakulima wadogo na kwa wakulima wakubwa ni kuhakikisha wanafikia kufikia kilimo chenye hadhi ya kushindana na soko la kimataifa hiyo itasaidia kuongeza upatikanaji wa chakula cha uhakika na ongezeko la mauzo ya nje.