kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Ajali ilyoua RAS wa Kilimanjaro na Dereva wake: Kwanini serikali inamlilia RAS tu je Dereva hakuwa mtumishi wake?

    Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
  2. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Hatutazungumza mageuzi Mkoa wa Kilimanjaro bila kumtaja Ndesamburo

    Mbowe mwenyewe kasema chadema imelegea! "Pamoja na mapungufu yote ambayo tutaelezana hapa, inawezekana tusiwe wepesi sana kutekeleza mipango ya mikakati mingi, lakini ukweli ni kwamba mageuzi ni nia ya watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na tukizungumza nia ya mageuzi tunamzungumzia mzee Ndesamburo...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

    Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni mkoani humo. Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo. Picha kutoka eneo ilipotokea...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye basi la Kilimanjaro latangazwa kupigwa mnada

    Kampuni ya udalali ya Legit Auctin Mart ya Dar es Salaam imetangaza mnada wa kuuza basi la kampuni ya Kilimanjaro Express kwa amri ya mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam. Kutangazwa kuuzwa kwa basi hilo kutokana na kampuni la Kilimanjaro kushindwa kulipa deni la shilingi milioni mia tatu...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro International Airport na sarakasi za ulaji

    Heshima sana wanajamvi, KIA ni mojawapo wa viwanja vya ndege vinavyomilikiwa na Serekali lakini hapo hapo uwanja huu umekuwa na sarakasi nyingi kupitiliza. Mwanzoni KIA ilikuwa ikiendeshwa na KADCO badala ya TAA kama ilivyo kwa viwanja vingine vyote vya Serekali.Baada ya kelele nyingi kupitia...
  6. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Nani anaifahamu Vudoi Sec School, Mwanga - Kilimanjaro?

    Je, kuna mdau yeyote anaifahamu au alishasoma ama kupitia shule hiyo na yupo humu, au ni Mimi pekee mwamba
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Malisa aachiwa kwa dhamana Saa Saba Usiku, moja kwa moja aelekea Hospitali ya KCMC

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limemuachia kwa dhamana Godlisten Malisa majira ya Saa saba Usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2024. Baada ya kuachiwa moja kwa moja yeye na wawakilishi wake wakiongozwa na Wakili Hekima Mwasipu wakaelekea Hospitali ya KCMC kutokana na afya ya Malisa kudaiwa kutokuwa...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Gari la Mbunge ladaiwa kubeba wahamiaji haramu Mkoani Kilimanjaro

    Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, likikamatwa na wahamiaji haramu saba. Gari hilo aina ya Toyota Land Cruiser V8 lilikamatwa...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye CV ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu

    Wakuu, nimelala nikiwaza namna ya kupata CV niliyoutaja hapo juu. Wengi tutajiuliza,ninaitafuta ya kazi Gani? Niwe muwazi kuwa ubinafishwaji wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ( KIA), ubini wake nimeuona unafanana na kile watanzania wengi wanachokiwaza. Nikiipata,nitaweka wazi Kila kitu...
  10. Nelly shayo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha mapato katika hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (haswa kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  11. Nelly shayo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha ukusanyaji na upatikanaji wa kodi hifadhi ya mlima Kilimanjaro (kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kupeleka kombe Mlima Kilimanjaro ni kutekeleza masharti ya waganga

    Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa kama tunataka kukaa kileleni tukapeleke kitu kule mlimani, bahati mbaya Injinia akatonywa na wasaliti...
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Walimu wauza Rasilimali zao kupata pesa za uhamisho

    Walimu zaidi ya 50 kutoka Katika shule za msingi zipatazo 46 katika Tarafa mbalimbali Wilayani Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuuza Rasilimali zao kama vile mbuzi, kuku na baadhi ya vitu vya ndani na wengine kuingia kwenye mikopo ili kuweza kupata pesa kwa ajili ya kujihamisha wao...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wakulima Vijiji vya Hai walalamikia changamoto ya tumbili kuharibu mazao, waomba msaada Serikalini

    Wakulima Katika baadhi ya Vijiji Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamedai kupata hasara kubwa kutokana na uharibifu mkubwa uliotokea katika mazao yao baada ya wanyama aina ya Tumbili kuvamia mashamba yao na kula mazao mbalimbali shambani. Baadhi ya mazao ambayo yameshambuliwa ni kwa kiasi...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Usafi wa mazingira umeshindikana Manispaa ya Moshi, wananchi walalamika

    Wakazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kuzagaa kwa takataka katika maeneo yao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa pasipo kuzolewa licha ya kutozwa ushuru wa uzoaji wa taka hizo Majibu Kwa njia ya simu kutoka Moshi, ni ya uongo na hayaba mshiko. KAZI yake kukusanya michango...
  16. Kv-london

    JamiiForums Tanzania IT specialist anahitajika Moshi Kilimanjaro

    Kama umesoma IT jaribu bahat Yako hapa
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waethiopia haramu 41 wakamatwa moshi kilimanjaro ati dreva amekimbia aisee??Why

    Majuzi niliongelea swala moja la kushangazaaa Kwa nn kila wanapokamatwa wasomali ama waethiopia atuambiwi dreva na waliohusika wamekamatwa?? Mjini moshi waethippia 41 wamekamatwa wakitokea kwao Maswali haya yanatishia mipaka yetu sana 1.Mkuu wa immigration boda nambanga je hawa wamepitia...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Malleko akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma

    "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoweka kipaumbele katika kuboresha na kuendeleza Sekta ya Uchukuzi. Ameboresha miundombinu na huduma za Uchukuzi zimeboreshwa sana. Nampongeza Waziri wa Uchukuzi, Naibu Waziri na Watendaji wote wa Wizara ya Uchukuzi kwa kazi nzuri wanayoifanya"...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Esther Malleko Atoa Simu Janja 7 (Milioni 2.1) kwa UWT Wilaya Zote za Mkoa wa Kilimanjaro

    Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametoa Simu Janja Saba (Smartphone 7) zenye thamani ya Shilingi Milioni 2.1 kwaajili ya...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

    Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini Usiondoke JF kwa Taarifa kamili =========== Ukombozi unaendelea Pia soma: Mbowe hebu tupe...
Back
Top Bottom