Kikwete mzalendo wa kweli asieimbwa

Kikwete mzalendo wa kweli asieimbwa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,932
Reaction score
3,250
Hali zenu wanajamvi natumai wote ni wazimaa....

Kama heading inavyojieleza nimeona leo nimtazame jk kwa jicho la tatu nimegundua mzee huyu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili alieacha alama inayomsaidia mtanganyika mpaka leo.

Miaka imepita baada ya uongoz wake lakin vizaz vinaendelea kubeemeka na matokeo ya utawala wake.

Chembe chembe za uzalendo zilianza tangu akiwa waziri hakuwa kusomesha mtoto ulaya

Katika uongoz wake alibuni ajira za boda boda ndio mkombozi wa mamilioni ya watanzania masikin bila boda boda ule mchezo wa 50 nje 50 ndan ungerud

Shule za kata ni zao la uongoz wake mpaka leo masikini anapata elimu kupitia shule ya kata shule ya binafsi hazishikiki wajinga wangekua weng bila kikwete

Uwekezaji wa vituo vya mafuta unatoa ajira nying kwa watanzania hakuna rais aliefanya hiv katika marais wote wa Tanzania

Leo nimepita TAZARA nimeona kaingia ubia na dargroup hospital na anajenga hospital ya kisasa pembeni kwa ajili ya kuwatibu watanzania miaka ming ijayo..

Je yupi bora Kikwete anaweka mifumo ili watanzania wenzake wanufaike lakin watanzania jins walivyo kua hawana shukran wanamuona adui wa taifa au yule anaeiba mabilion na kwenda kuyaficha ulaya au kuwekeza Kenya na South Africa kwenye makampuni makubwa makubwa na kutoa ajira kwa mataifa mengine

Hakika Kikwete tutakukumbuka hayo ni machache niliyoyaona katika uongozi wako na nje ya uongozi kama upo humu JF pokea shukran zangu ukiwa uko hai usijali Watanzania wanasema nin kuhusu wewe endelea kutujengea Watanzania mifumo ya kutulisha sisi ni kama vikinda vya njiwa wewe ndio mama yetu
 
Nimekutukana lile tusi linaoloendana na mda huu yani ..... kalale
 
Kikwete ameifanyia hii nchi mazuri mengi sana. Sio kama hana mabaya. Ila mazuri ni mengi kuliko mabaya.

Nina uhakika nyerere mwenyewe anafurahi kuona kijana wake aliemfunda mwenyewe anaeitwa kikwete. Anavyoisaidia nchi
 
Hali zenu wanajamvi natumai wote ni wazimaa....

Kama heading inavyojieleza nimeona leo nimtazame jk kwa jicho la tatu nimegundua mzee huyu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili alieacha alama inayomsaidia mtanganyika mpaka leo.

Miaka imepita baada ya uongoz wake lakin vizaz vinaendelea kubeemeka na matokeo ya utawala wake.

Chembe chembe za uzalendo zilianza tangu akiwa waziri hakuwa kusomesha mtoto ulaya

Katika uongoz wake alibuni ajira za boda boda ndio mkombozi wa mamilioni ya watanzania masikin bila boda boda ule mchezo wa 50 nje 50 ndan ungerud

Shule za kata ni zao la uongoz wake mpaka leo masikini anapata elimu kupitia shule ya kata shule ya binafsi hazishikiki wajinga wangekua weng bila kikwete

Uwekezaji wa vituo vya mafuta unatoa ajira nying kwa watanzania hakuna rais aliefanya hiv katika marais wote wa Tanzania

Leo nimepita TAZARA nimeona kaingia ubia na dargroup hospital na anajenga hospital ya kisasa pembeni kwa ajili ya kuwatibu watanzania miaka ming ijayo..

Je yupi bora Kikwete anaweka mifumo ili watanzania wenzake wanufaike lakin watanzania jins walivyo kua hawana shukran wanamuona adui wa taifa au yule anaeiba mabilion na kwenda kuyaficha ulaya au kuwekeza Kenya na South Africa kwenye makampuni makubwa makubwa na kutoa ajira kwa mataifa mengine

Hakika Kikwete tutakukumbuka hayo ni machache niliyoyaona katika uongozi wako na nje ya uongozi kama upo humu JF pokea shukran zangu ukiwa uko hai usijali Watanzania wanasema nin kuhusu wewe endelea kutujengea Watanzania mifumo ya kutulisha sisi ni kama vikinda vya njiwa wewe ndio mama yetu

"Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani". Huyu ndiye mzalendo wako, mzalendo hajengi ugenini, nipe mfano wa rais yeyote wa ulaya, marekani, uarabuni, india na china ambaye amejenga huku kwetu.​

“All rapidly accumulated wealth is either the result of luck or discovery, or the result of a legalised theft.”- Hanore De Balzac...akielezea Rothschild Family Money.

Sijui nisemeje?
 
Back
Top Bottom