kikwete

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ameikudu wizara nyeti. Walimu na watumishi wengine tumpongeze. Najua anachukiwa kwa mambo yake mengine ila...

    Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania. Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha. Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao. Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na...
  2. JamiiForums Tanzania Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati. Mazungumzo hayo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Kikwete Akimtambulisha Ridhiwani Kikwete kwa Obama,William Ruto akimtambulisha Mwanae kwa Joe Biden ,Rais wa South akiwa na mwanae ziarani

    Ndugu zangu Watanzania, Tusipokaa sawa na kuwa makini na waangalifu tutajikuta tunajenga Taifa ambalo vijana wake muda wote na mwingi wanajadili Majungu ,Umbeya ,Uzushi ,uongo ,upashikuna na ushakunoko. Tutajikuta tunajenga Taifa ambalo watu wake na vijana wake wanashinda na kutumia muda wate...
  4. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Baadhi ya Maafisa Rasilimali Watu (HR) hawatumii busara, wanawachongea Watumishi wenzao

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amekemea tabia ya baadhi ya maafisa rasilimali watu (Human Resources) kuwachongea watumishi wa umma wanapohamia taasisi nyingine kwa kutoa taarifa hasi zisizo za kitaaluma. Akizungumza Juni 1...
  5. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Kuna matumizi mabaya ya madaraka katika Ofisi za Umma, Watumishi wanalalamika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
  6. JamiiForums Tanzania Kikwete alivyokutana na Viongozi wa Upinzani Ikulu – Dar, Oktoba 15, 2013

    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, waliofika Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 15, 2013. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe mara baada ya mazungumzo nao leo ikulu...
  7. JamiiForums Tanzania Kikwete ana changamoto zake ila ndiyo Rais bora kuwahi kutokea nchi hii

    NI JAKAYA KIKWETE; Jana nilitoa picha ya Marais 6 wote waliowahi na wanaoendelea kuongoza Taifa letu nikichukua mitazamo yenu kuhusu nani kwano unampa namba 1-6 kwa utendaji. Kwangu mimi (wenyewe wanaita mimi kama mimi) kwanza nitatoa heshima kwa Marais hayati Nyerere na Mzee Ruksa kwa kuwapa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania JF Kumbukizi: Kikwete alivyomtengua Uwaziri Anna Tibaijuka sakata la Escrow

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, alipomtengua nafasi ya uwaziri Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Anna Tibaijuka baada ya sakata la Escrow.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaendelea kuwa kitovu cha Utawala Bora Afrika, Kikwete apokea wataalamu kutoka Somalia kuja kujifunza Utawala Bora

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha mafunzo ya utawala bora barani Afrika baada ya kupokea ujumbe wa wataalamu 25 kutoka Somalia kwa ajili ya mafunzo maalumu ya uendeshaji bora wa utumishi wa umma. Akizungumza wakati wa mapokezi ya ujumbe huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President William Ruto, Former President Jakaya Kikwete Push Joint Action to ‘Silence the Guns’ in South Sudan

    President William Ruto and former Tanzanian President Jakaya Kikwete have called for renewed regional efforts to restore peace in South Sudan, emphasizing the need for collective action to end the ongoing conflict. The two leaders held talks focused on advancing the African Union’s “Silencing...
  11. JamiiForums Tanzania Kauli tata za Emmanuel Nchimbi vs Samia na kauli tata za Jakaya Kikwete vs Magufuli wakimnukuu baba wa taifa

    Miaka kadhaa iliyopita Kikwete akiwa mstaafu aliwahi kualikwa kwenye kigoda cha Mwalimu na wakati huo Magufuli akiwa Rais. Kikwete aliongea mambo ya kujimwambafai na ubabe kauli ambazo zilionyesha moja kwa moja kumnanga aliyekuwa Rais Magufuli kutokana na ubabe aliokuwa nao. Kikwete kamwe...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Kikwete toa boriti kwanza kwenye jicho lako ndiyo utaona Kibanzi kwenye jicho la mwenzio

    Unatafuta amani kwa jirani wa mbali, kwako panaungua. Kufikia Aprili 2026, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Dr. Riek Machar Teny, bado yuko kizuizini nyumbani kwake (house arrest) Juba akikabiliwa na kesi ya uhaini, mauaji, na uhalifu dhidi ya binadamu. Dr. Riek Machar Teny amekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA Yapinga Uteuzi wa Jakaya Kikwete ndani ya AU, Yataka Mapitio ya Haraka

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiandikia Umoja wa Afrika (AU) kikitoa wito wa kufanyika kwa mapitio ya haraka kuhusu uteuzi wa Jakaya Kikwete kama Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja huo kwa Ukanda wa Pembe ya Afrika na Bahari Nyekundu. Machi 25, 2026...
  14. JamiiForums Tanzania Obama vs Kikwete

    Viongozi wa Africa mna shida gani? Kwanini hamtaki kustaafu Hapo hajaweka CV za mkewe na mwanawe Watoto wa Obama wala hawapo kwenye nafasi za kiserikali kama hawa huku
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kikwete yupo Adis Ababa kama nani?

    Rais wa Namibia ⁦Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah na Rais wa zamani wa Tanzania ⁦Jakaya Kikwete Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa⁩.[/URL]
  16. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Tanzania umedidimishwa na Kikwete, Magufuli na Samia

    Kikwete ndiyo alianza mambo ya mitandao , akaja dikteta fake mwendazake Magufuli na huyu Mama wa machawa Samia. Hawa wamechangia sana kwenye kudidimiza tamaduni na ndiyo waliouwa demokrasia
  17. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mafanikio Ya Tanzania Yanaonewa Wivu Na Wengi

    https://www.instagram.com/reel/DUsyVutAudz/?igsh=N3lkOHM0bm52anVs
  18. K

    JamiiForums Tanzania Samia, Kikwete na genge lao hawajali usalama zaidi ya familia zao na pesa

    Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari unaendea, mikataba bila ufuatiliaji ya kifisadi inaendea, mauaji ya vijana mpaka leo hakuna mwenye...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Vinara wa rushwa ndiyo viongozi fake

    Vinara wa rushwa ndiyo viongozi fake: Samia, Mwigulu, Kikwete na Rostam. Ndiyo maana Polepole hatunaye leo na Lissu kafugwa leo bila hata kuhukumiwa!!! Bila kuwaondoa hawa Tanzania tutabaki kwenye shimo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…