Haiwezekani mwanadamu mwenye utu akanunua ambulence ya dizaini hii na kuzigawa vijijini, huu ni uuaji serikali ya awamu ya nne ilifanya.
Mara 100 JPM aliyejenga zahanati, vituo vya afya na hospitali kila kona, akaboresha hospitali za kanda zote.
Hizi ambulance za pikipiki ukipata dreva...