kikwete

  1. Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama alazwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

    Mkurugenzi wa Msama Promotions na muandaaji wa Matamasha ya Injili nchini ambaye ni mdau mkubwa wa maendeleo ya sanaa Alex Msama amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akisumbuliwa na maradhi. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Mkurugenzi huyo amesema siku chache baada ya kumalizika...
  2. B

    Ridhiwani: Serikali kuajiri watumishi 30,000 mwaka huu

    Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
  3. Mbona Kikwete anacheka kila wakati 🤔

    Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu Hata hotuba zake anacheka tu Akipiga picha ni kicheko Akifanya hivi ni kicheko Kila muda ana smiling face. Wajuzi naombeni mnieleweshe maana ya hii Kitu ni...
  4. Wale ambao hamkujenga kipindi cha Kikwete ndiyo muanze kujenga sasa

    Kipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu. Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani...
  5. Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika

    Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani. Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU. Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani...
  6. Ridhiwani Kikwete Aelekeza Waratibu wa TASAF Kupatiwa Elimu

    MHE. KIKWETE AELEKEZA WARATIBU WA TASAF KATIKA HALMASHAURI KUPATIWA ELIMU YA KUWAHUDUMIA WALENGWA KWA UPENDO. Lengo la kuanzishwa kwa TASAF ni kuwawezesha watu wasiojiweza kabisa kiuchumi kuondokana na hali iyo duni kuwapa ruzuku itakayowasaidia kupiga hatua ya maendeleo kiuchumi, hivyo ni...
  7. Zama za Kikwete tulikuwa naye Ridhiwani, Zama za Magufuli ni Makonda, zama hizi nani ndiye mtoto pendwa wa Chamwino?

    Hii nchi CCM wanacheza nayo watakavyo. Kila zama huwa kuna kuwa na mtu mteule ambaye ukipitia kwa huyo basi kila kitu chako serikalini kitapata mserereko. Enzi za Makonda, John Magufuli akiwa Rais na Ridhiwani Mzee Jakaya Kikwete akiwa Rais, kila mtu alijua kwamba jambo likisemwa na hao watu...
  8. Ridhiwani Kikwete amezitaka Taasisi za TPSC na Uongozi kuandaa programu za mafunzo zitakazoboresha utendaji kazi kwa Watumishi na Viongozi

    TPSC NA TAASISI YA UONGOZI ZATAKIWA KUANDAA PROGRAMU ZA MAFUNZO ZITAKAZOBORESHA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekitaka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na Taasisi ya...
  9. Tinubu (70) ni mdogo kwa Kikwete (72)? Seriously!

    Yaani hata kama ni Siasa hii sasa komesha. Tinubu (70) ni mdogo kuliko Rais Mstaafu Jakaya Kikwete(72)? NB: Chinekeeeee
  10. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete asema magonjwa ya moyo yanaweza kuepukika kwa kufuata mtindo bora wa maisha

    Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wameishukuru Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kutoa huduma za upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na ushauri wa jinsi ya kuyaepuka magonjwa hayo bila malipo yoyote yale. Huduma hiyo inatolewa katika maadhimisho ya miaka 70 ya baraza la uuguzi na...
  11. S

    Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

    Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao. 'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
  12. Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

    Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana watoto wamjini hakuna aliyezidi miaka 50,walikuwawakicheza draft,bao,zumna na kunywa kahawa Vijana...
  13. T

    Je, Ni upi uliokuwa mwelekeo sahihi wa nchi kati ya CCM ya Kikwete na CCM ya Magufuli na iliyopo sasa?

    Kipindi cha uongozi wa Kikwete nchi ilikuwa na mwelekeo wake hali kadhalika kipindi cha Magufuli kulikuwa na mwelekeo mwingine mpya ambao nadhani kila mtu ulimuweka katika mazingira ambayo hakuyazoea Kipindi cha JK, mafisadi waliogopewa kuguswa kwa sababu ya serikali kuhofia kuwa nchi itayumba...
  14. Ridhiwani Kikwete: Tukisimamia haki na sheria, tutaondoa uvamizi

    TUKISIMAMIA HAKI NA SHERIA,TUTAONDOA UVAMIZI - RIDHIWANI KIKWETE Maneno hayo ameyasema Mh. Mbunge na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alipofanya Ziara ya siku moja katika kata ya Lugoba ambapo migogoro ya Uvamizi wa Ardhi za Vijiji inaonekana kuanza kushamiri. Katika ziara...
  15. Mbunge Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 6 na kukabidhi vifaa tiba jimboni Chalinze

    MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AGAWA PIKIPIKI 6 NA KUKABIDHI VIFAA TIBA JIMBONI CHALINZE Alhamisi tarehe 16 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Chalinze amasema; "Nimegawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa Marumaru cha Keda, na...
  16. Rais pekee ambaye aliingia Ikulu akakuta kuna pesa Hazina alikuwa Kikwete. Waliofuatia...

    Hayati Magufuli aliingia Hazina kukiwa kumepigwa sana hamna kitu, Samia naye ameingia watu wamepiga sana pesa Hazina hakuna kitu. Watu wanajua wakati wa Uchaguzi ndio wakati wa kupiga pesa za umma. Na kwa kuwa watanzania ni wapole. Wanamwachia Mungu. Mungu naye anawatizama anasema "nyie mabwege...
  17. W

    Rais wangu Samia, unataka upate tabu kama Mzee Kikwete?

    Aliwakaribisha mpaka ikulu kunywa juisi lakini hawakuacha kumharibia; 1. Serikali ilipowaambia wananchi 'tufanye hivi, wao dakika hiyohiyo walipita na, kwa ubabe mkuu, wakasema 'msifanye hata kidogo'. Watz, wengi wao, ni wasioona mbali, hawakufanya na maendeleo yakadorora. 2. Wafanyakazi...
  18. T

    Mzee Jakaya Kikwete nakusalimia. Je, hapo vipi?

    Leo namsalimi Mzee Kikwete baba wa Democrasia alie kubali yote ukimuona dhaifu poa ukimuona fisadi poa Yani mambo poa. Ukimsema jukwaani anatafuta jukwaa na yeye anakuwa za uso🤭 Leo namuuliza Mzee wangu mambo vipi? Kama nakuona kila ukiangalia taarifa ya Habari na mitandao unaona kama huwelewi...
  19. Ridhiwani Kikwete ni de facto Waziri wa Ardhi? Angelina Mabula de jure? Ridhiwani ajiangalie, maafisa ardhi wanatumia jina lake kumchafua

    Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo. Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule. Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini. Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya...
  20. S

    Kikwete Political Economist

    Kikwete ndiyo binadamu anayejua uchumi na siasa kwa pamoja. Agenda yake ya awamu ya pili alifanikiwa sana. Aliunganisha makao makuu ya mikoa kwa barabara za lami, nchi za jirani kwa lami, mfano mpaka wa Sirari, Tarakea, Holili, Hororo. Mtu mwingine anayejua uongozi Anna Semamba Makinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…