kikomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Dotto Biteko, kwa nini suala la mgao wa umeme halifiki kikomo?

    Yaani nashangaa umeme bado ni kero kubwa sana kwetu sisi wananchi wa Tanzania. Tuliaminishwa kwamba kijana huyu mheshimiwa Waziri Biteko akiingia mgawo wa umeme utakuwa historia lakini mpaka muda huu bado ni bila bila. Umeme kukatika hovyo hovyo Tanzania imekuwa ni kero isiyopata suluhisho la...
  2. tpaul

    Je, mikataba ya DP World iliyosainiwa ina kikomo cha miaka 30? Jibu hili hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa kusaini mikataba miatatu ya uendelezaji bandari kati ya TPA na waarabu wa DPW tuliaminishwa na serikali kuwa hii mikataba ni ya miaka 30. Je, mikataba hii kweli ni ya miaka 30 au tumepigwa? Nimejaribu kufanya uchunguzi binafsi ndani ya serikali kwa...
  3. Logikos

    SAUTI ya Watanzania na Maandamano ya Bila Kikomo - There is more Than one Way to Skin a Cat....

    Ushauri tu; Gandhi alivaa shuka sio sababu alikuwa hana pesa za Mavazi mengine na ingawa ilimfanya a-connect na masses (kuwa mmoja wao) bali huenda hii ilikuwa ishara ya Mgomo.... (Mgomo dhidi ya Viwanda vya Nguo vya Mkoloni); na impact yake ilikuwa ni kubwa na mpaka leo lile shuka limekuwa kama...
  4. The Assassin

    Starlink internet sasa yaingia Zambia, Wazambia sasa kupata internet ya kasi isiyo na kikomo

    Kampuni ya kusambaza mtandao ya Starlink ya Elon Musk imepewa kibali cha kutoa huduma nchini Zambia. Kwa sasa wazambia wataanza kupata internet ya kasi zaidi kutoka Starlink. Kumbuka Starlink inakupa internet ya 1 Terabyte kwa chini ya shilingi laki 1 kwa mwezi kwa kazi kubwa na ukimaliza hiyo...
  5. Grand Canyon

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    IST ipewe maua yake kwenye usajili wa No. D. Kwa utafiti usio rasmi asilimia 30 ya No.D ni magari ya IST. Lakini tangu usajili wa "E" uanze ni IST chache sana zimesajiliwa. Kwa utafiti usio rasmi Nissan Dualis inakimbiza sana kwenye usajili wa "E". Kwa Nini watu wameacha kuchangamkia IST kama...
  6. FRANCIS DA DON

    Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

    Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115. Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
  7. T

    DOKEZO Wafanyabiashara Kariakoo kugoma Mei 15, 2023

    Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo. Sababu za kuitisha mgomo; 1. Urasimu bandarini 2. Usajili wa stoo 3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuguzi wa risiti Wao wapo tayari kufanya biashara kwa uhuru na kulipa kodi bila mambo ya rushwa rushwa na maonezi. Rai kwa...
  8. ChatGPT

    Je, ungefanya nini kama ungekuwa na rasilimali zisizo na kikomo?

    Fikiria kwa muda kwamba una rasilimali zisizo na kikomo - muda usio na kikomo, pesa zisizo na kikomo kumzidi hata Elon Musk, maarifa yasiyo na kikomo zaidi ya watu maarafu kama kina Isaac Newton, na uwezo usio na kikomo. Ungefanya nini na wingi huu? Ungesafiri kwenda sehemu zote duniani...
  9. Suzy Elias

    Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizoelezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu! Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapotuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya...
  10. NetMaster

    Supakasi ni internet isiyo na kikomo na iliyosambaa zaidi, Vifurushi 115K wengi hatuviwezi. Nashauri kuwe na vifurushi vya elfu 60 ikipendeza elfu 50

    Hadi sasa sina shaka kwamba kwenye uwanja wa unlimited internet, hawa supakasi chini ya Vodacom ndio wana uwezo wa kufikia wateja wengi kila mkoa kuliko hata fibre ambazo sana sana zipo mjini kati kwenye majiji machache. Kimbembe kipo kwenye bei hapo, sina shaka kwa matajiri na wanaotumia...
  11. Mr George Francis

    Msaada wa Mwanadamu una kikomo

    MSAADA WA MWANADAMU UNA KIKOMO Je, kuna msaada wa milele? -Ni kweli tumesaidiwa sana na watu na tunaendelea kusaidiwa. Ni kweli pia tumewasaidia sana watu na tunaendelea kuwasaidia. Lakini pamoja na hayo yote tunapaswa kutambua kuwa msaada wa mwanadamu una kikomo chake. -Hakuna binadamu yoyote...
  12. NetMaster

    Maandalizi ya kufungiwa adsl internet elf 25 kwa mwezi bila kikomo, niagize router kutoka nje ?

    nilienda ttcl kuwaomba wanifungie internet ya kwenye zile nyaya za simu ili nipunguze gharama za hivi vifurushi ghali, kuna dogo namjua tangu 2020 yeye anatumia hii huduma hajawahi kuwa na habari na hivi vifurushi ambavyo sisi tunalalamika. fundi aliniambia eneo langu huduma ipo ila vifaa kama...
  13. sky soldier

    Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
  14. instagram

    Serikali zenye bando za gharama kubwa zinazalisha vijana maskini kwa kuwanyima intaneti isiyo na kikomo

    INFORMATION IS POWER Miaka yote mkoloni ametumia udhaifu wa information kuwatawala waafrika na viongozi wa kiafrika bila kujua wameingia kwenye mtego wa mabeberu kwa kuwaminya wananchi wao taarifa. Tangu Uhuru africa tumebaki nyuma kwa kukosa vitabu vyenye ubora kulinganisha na wenzetu wazungu...
  15. kavulata

    Maeneo ya wamachinga lazima yawe na kikomo cha umachinga

    Kwakuwa serikali haiwezi kuwa na maeneo kwa machinga woote nchini hivyo Maeneo wanayopewa wamachinga ni kwaajili ya wafanyabiashara wadogo wasiokuwa na mitaji mikubwa ya kufanya biashara kubwa. Sio sawa kwa machinga kufanya biashara yake eneo hilo milele, ni lazima mmachinga apewe muda maalum...
  16. sky soldier

    Fibre internet ina kasi, haina kikomo, bei chee, unawekewa bure. Wateja tupo, tunawaomba mpanue huduma zenu

    Kwa hii kasi ya mabadiliko ya vifurushi, tujipange isaikolojia, huenda tukaingia 2022 GB1 ikiwa inauzwa elf 2,500 sawa na petrol. Fibre internet ni internet inayoletwa kwako kwa njia ya waya na uutapewa bure vifaa vya kusambaza internet kwa njia ya wifi. Gharama zao zinaendana kwa speed na sio...
  17. MK254

    Michuano ya Olimpiki inafika kikomo huku Kenya ikiongoza Afrika kwa idadi ya medali

    Hongerei sana mashujaa wetu wa kutuwakilisha vyema bara hili. ======== Kenya featured prominently Sunday as curtains were drawn on the 32nd Olympic Games, with Tokyo organisers overcoming huge challenges, most significantly rising coronavirus cases and growing opposition to the staging of the...
  18. Ritz

    CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma kimesema kuwa endapo Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe asipoachiwa ifikapo saa kumi kamili jioni leo July 22, 2021, kesho wataitisha maandamano bila kikomo mpaka pale Mwenyekiti atakapoachiwa. #MillardAyoUPDATES
Back
Top Bottom