kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

    wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua. Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

    Mwenzenu Mangi nimepigwa na kitu kizito. Yaani siamini. Nimekuwa na kiherehere cha kuwatetea wanawake kwenye karibu kila nyuzi zinazomponda mwanamke lakini hivi karibuni nimepigwa tukio hadi fikra zangu zimeyumba. Naomba wanawake mtanijibu maswali hapo chini lakini wanaume wenzangu mnisaidie...
  3. JamiiForums Tanzania Kilichowapata wanamziki wa kike waliotoka kimapenzi na maboss zao.

    Mambo yanatishaa sanaa, Yaani ukikaa ukafuatilia matokeo hasi waliyokumbana nayo wanadada utabaki mdomo wazi, kama malaya kaona dudu. Hapa nazungumzia mahusiano ya kimapenzi baina ya mabinti chipukizi katika fani na mabosi zao. Wanabodii mifanoo ni mingi.. kwa leo ntatoa miwili tuu. Celine...
  4. JamiiForums Tanzania Namtafuta rafiki wa kike awe Mafinga au Iringa mjini umri awe 35 and above Mimi ni mweusi Nina miaka 43

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi. Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa shule nzuri ya boarding kwa mtoto wa kike

    Habari, kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
  6. JamiiForums Tanzania Sendo za kike jumla na rejareja

    Karibu kupendezesha miguu kwa sendo kali na za kisasa. Kwa 15,000 tu unapata chaguo lako leo. Kama unataka kwa jumla nakuuzia kwa bei ya punguzo kubwa kuanzia pair 5. Piga simu/WhatsApp: 0683535699.
  7. JamiiForums Tanzania Swift Ampiku Rihanna na Kuwa Mwanamuziki wa Kike Mwenye Utajiri Mkubwa Zaidi

    Taylor Swift sasa ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.6, akimshinda Rihanna. Mafanikio haya makubwa yanatokana hasa na ziara yake ya "Eras Tour" na umaarufu wa nyimbo zake. Swift ameendelea kuwa mmoja wa wasanii wenye ushawishi mkubwa katika tasnia...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, baadae awe mke

    Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
  9. JamiiForums Tanzania Mimi ni Domo zege natafuta mchumba wa kike

    Habari Wana jamii forum, Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mwana MMU wa kike yuko Iringa Mjini aje hapa Miami pub?

    Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA. So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka. Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs to have drink jioni ya leo akuje hapa miami club tuhave funny. Asante
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wa kike wengi wa Tanzania kuongelea mapenzi, mahusiano na ngono zaidi inaashiria nini?

    Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano, mapenzi, ndoa na ngono. Ni wanawake vijana au mabinti wachache sana utakuta wanaongelea siasa...
  13. JamiiForums Tanzania Asubuhi ngumu' nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike huko Rafah jana.

    Wanakumbi, ⚡️‘Asubuhi ngumu’ nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike mjini Rafah jana. 9 kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na majeraha makubwa Katika mashambulizi mawili tofauti hapo jana huko Gaza...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ulazima kwa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya wanaume nchini, huku na wenyewe wakiwa na Ligi yao?

    Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Sukari yachangia taulo za kike wilayani Kilombero

    Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Cane Growers wakionyesha maboksi ya pedi za kike zilizotolewa na Kampuni ya Kilombero Sugar leo wilayani Kilombero. Mchango huu, ambao ni sehemu ya mpango wa 'Kukomesha changamoto ya hedhi salama, unaonyesha dhamira ya kampuni hiyo katika kuendelea kupambana na...
  16. G

    JamiiForums Tanzania wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

    Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?" Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaposema Rais asilindwe na hao PSU wa Kike anaowapenda na kuwang'ang'ania kwa Mapungufu yao kadha wa kadha mnasema tunawachukia Wanawake

    Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda. Najua wale wa PSU mpo sana hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa Asisitiza Elimu kwa Watoto wa Kike

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wazazi na walezi kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha mtoto wa kike anaelimishwa ili kuleta matokeo chanya kwa jamii na Taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Swali langu: kwani mwanaume hawezi kua na maumbile mazuri? Kwanini kila attribute nzuri inaambiwa ni “ya kike”?

    Kuna vitu vinachosha sana. Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri), Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke. Sasa kwani wanaume ndo wameumbiwa kua na vitu vibaya na vya rough? Ni bora ukae kimya kuliko ku compliment mtu kwa style...
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa za wake wengi ni chaguo la mwanaume na kwa wanawake ni mila na suna ya imani na hulka ya wingi ndani ya nafsi za kike

    Habarini nyote na Amani iwe nanyi Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…