Kwa hiyo ukiwapea dawa ya usingizi tu wanakuwa ngangari kunako 6x6 ?!
Hapahitaji dawa ya usingizi, anatakiwa apate usingizi wa kawaida ifanyike kama reaction ya mwili, alipewa dawa ya usingizi anakuwa anatengeneza reaction nyingine mwilini tofauti na ilivyokusudiwaKwa hiyo ukiwapea dawa ya usingizi tu wanakuwa ngangari kunako 6x6 ?!
Kuna tofauti gani kati ya uzinifu na tendo unaloita la ndoa?Pochi nene itamsaidia mwanaume tu kupata kile anachokitaka Kwa Mwanamke lakini katika Tendo la Ndoa haitaongeza chochote
Sawa..nimekupenda bure ila usimwambie mtuTendo la Ndoa ni kitendo Cha kujamiana kihalali, Uzinifu ni kujamiana isivyo halali 😅