kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Lady Jaydee mwimba Chorus Bora wa kike kupata kutoka Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, tumuite ndio Hip Hop Soul Queen wa Bongo?

    Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa 1.Bongo DSM na Prof Jay 2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa 3. Machoni Kama watu Na Ay 4. Nyaluland na Mike T 5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT 6. Sikiliza Na Ngwea 7. Hawajui...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Mzee Joseph Sinde Warioba hana watoto wa kike ambao hawajaolewa?

    angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe wangu. Baba yangu ni CCM ambaye yupo kwenye system muda mrefu. huwa anaumia tu lakini anasema...
  3. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike kapotea tokea siku ya ijumaa

    Wakuu,,,kichwa kinauma sana,..malezi ya watoto wa kike ni magumu sana. Dogo mara ya mwisho aliga anaenda kujaza fomu shule,...yaani ndio hawa madogo wamemaliza mitihani juzi ya necta. Sasa kutokea ijumaa alivoondoka ndio hadi sasa hajaonekana. Nilivofikishiwa na bi mkubwa hizi taarifa...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tumewaokoa Watoto wa Kike 184 waliokuwa wameandaliwa kufanyiwa ukatili wa kukeketwa

    Jeshi la Polisi Nchini limesema katika kushiriki Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2024 litashirikiana na Wadau mbalimbali kufanya Maadhimisho hayo katika Kanda Maalum ya Kipolisi Tarime Rorya ambapo Jumla ya watoto 184 waliofanyiwa vitendo vya ukatili wameokolewa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka Afrika kutoka kwa msanii wa kike?

    Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
  6. JamiiForums Tanzania Hivi zama hizi mtoto wa kike anaanza kuingia hedhi (kuvunja ungo) kuanzia miaka mingapi?

    Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
  7. JamiiForums Tanzania Nataka rafiki wa kike alieko dodoma

    Kama uko dodoma,ni check inbox
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anataka niingiza cha kike

    Nianze Kwa kumtetea Baltazar yule mwamba Hana makosa kabisa. Hawa watu wanashida zao special huko kichwani aseee. Juzi nimeenda uwanjani kuangalia game ya wanawake ligi kuu ya timu flani dhidi ya timu ya kanda ya ziwa. Sehem nilokuwa nimekaa kulikuwa na mdada flan kwa kukadiria ni age ya 27-30...
  9. JamiiForums Tanzania Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  10. JamiiForums Tanzania Viongozi mahiri wa kike kuwahi kutokea Tanzania

    Leo tuwakumbuke viongozi mahiri na shupavu kuwahi kutokea Tanzania. Naanza na Bibi Titi Mohamed, huyu kwangu mimi anabakia kuwa “Iron Lady” mwanamama mahiri zaidi katika ardhi ya Tanzania. Huyu ni miongoni mwa waliojitoa haswa katika harakati za Uhuru enzi ya TANU. Alikuwa na misimamo haswa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

    Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
  12. JamiiForums Tanzania Kwasasa nikitongoza lazima niulize kama ana Nguvu za kike

    Tujuzane mapema una hisia na mimi za kunyanduana au umetamani tu wallet yangu sema mapema.. nijue. Unakuja na Shobo nyingii unaonesha unanitaka alafu kwenye mizagamuo unasema tufanye kidogo 😥
  13. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

  14. JamiiForums Tanzania Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

    March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11 S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸 Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔 Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo...
  15. JamiiForums Tanzania Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?"

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupambanishwa na Whitney Houston?

    Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo mmoja. Video: Whitney Houston - I Look to You https://www.youtube.com/watch?v=5Pze_mdbOK8
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi wa kike shule ya sekondari Thaqaafa Mwanza wanusurika Kubakwa

    Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku. Wakiwa katika harakati za kumziba mdomo mmoja wa wanafunzi ili asipige kelele waanze kumbaka, ghafla mwanafunzi mwenzake...
  18. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Kike (House Keeper) Anahitajika Haraka. Mshahara Mzuri

    House KEEPER ANAHITAJIKA. Umli miaka 22-30 Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk. Karibu sana UPDATES : maombi yanafanyiwa kazi yaliyotumwa, hivo tusiendelee kutuma. Asanteni sana wakuu.
  19. JamiiForums Tanzania NECTA 2024: Ufaulu wa Wanafunzi wa Kike wa Darasa la 7 washuka, Wavulana wafanya vizuri, Shule 12,838 zimepata Daraja C

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023. Jumla ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanadanga ili wapate hela ya kununua taulo za kike

    Ndugu zangu Japo wapo wanawake wanao danga kwa tamaa zao binafsi ila wimbi kubwa la wanawake na mabinti wadogo wadangaji linalojitokeza ni kwasababu ya kukosa hela ya kununua Taulo za kike (ped) na nguo za ndani kutoka kwa waume zao, wazazi au walezi wao ili kujisitiri pindi anapoingia kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…