Yaani ukiona wanavyoumiza Watu, ukienda kituoni wanavyokujibu Vibaya, wakipita kwenye yale magari wanavyodhani wako mbinguni, KUMBE hata Taulo za Kike hawawezi kununua! What a shame!
Mnadhulumiwa hadi pesa za Pedi but kucha kuchwa mko na CHADEMA Tu kuwateka, kuwatesa na kuwaua...