kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Naomba kufahamu chimbo la wale wauza viatu vya kike simple jion mbezi mwisho na kimara kwa 5k na 6k wanazitoa wapi?

    Habari zenu jf Km kichwa habari hapo juu knavyojieleza naomba kufahamishwa tafadhali
  2. Nguvu za kiume na nguvu za kike, wanaume hatulalamiki

    Tendo la ngono lina mambo mengi aisee na sababu nyingi sana. Kiukweli nimekua na tabia ya kumuuliza hili swali mwanamke ambaye nimehisi katokea kuvutiwa na mimi ama hela zangu. Lazima niulize unahisia na mimi kweli tusije kwenda kusumbuana tu, au hisia zako zipo kwenye pesa yangu tu? Iko hivi...
  3. Haki sawa kwa jinsia ya kike kama ilivyo ya kiume haimaanishi kwamba tupo sawa kijinsia

    Wanawake tushtuke, kwa asili ya mwanadamu kiimani, kisayansi na kwa desturi mwanaume ni msingi na nguzo ya familia. Wanawake tuendelee kupambana kuwa bora kama wanawake ila tusitamani kuwa wanaume, bali tuwasaidie wanaume kuwa bora zaidi na imara katika nafasi zao. Tukibeba vibaya maana ya...
  4. Rais wa Sri Lanka afuta kodi zote kwenye Taulo za Kike

    Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuwasaidia wanawake na wasichana wasioweza kumudu gharama hizo kutokana na mzozo wa kiuchumi unaolikumba taifa hilo. Ofisi ya Rais Ranil Wickremesinghe imeagiza kufutwa mara moja kwa Ushuru wa Forodha, Ushuru unaolipwa kwenye Viwanja vya Ndege na Kodi nyingine...
  5. Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6 kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

    [Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge. Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya. Ndio...
  6. E

    Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6, kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

    Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge, Ila mwl.kagoma na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya...
  7. J

    Natafuta mchumba wa kike

    Mimi ni mwanaume umri 37 ni mwl natafuta mschana awe anajipenda na kujiheshimu nipo Dar es salaam 0689104184 siyo uchumba kuoa
  8. Viongozi wa kike nao huandaliwa dogodogo pale wanaposafiri nchi nyingine?

    Kuna nchi huwa viongozi wa kiume wanaandaliwa binti mmoja wa kumpa kampani awapo ugenini. Sasa nauliza huu utaratibu upo pia kwa jinsia ya kike?
  9. Nifanyeje ili marafiki zangu wa kike wasiangukie mapenzini na mimi

    Kiajabu kabisa hili suala linanishangaza, hawa ni marafiki zangu wanajua nina mke pia michepuko, ajabu yake na wao pia huangukia kwenye mlengo huohuo baada ya muda flani, inanitatiza kwakuwa nilishawahi kujaribu kwa wadada wawili kwa vipindi tofauti lakini mwisho wake tulipoteza mapenzi na...
  10. SoC02 Mazingira upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe

    Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe Na wenu, Mtambo 1272019 Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora , jambo hili limechochea watoto wa kike kuwia ugumu kupata elimu bora bila vikwazo vingi. Pindi umuonapo...
  11. Jamani hivi kuna rapper wa kike kama huyu hapa barani Afrika, amewashinda hadi wanaume?!

    Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda. Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana..... Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....
  12. FIFA yamfungia Afisa wa soka Zimbabwe kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike

    Afisa wa Chama cha Soka cha Zimbabwe (Zifa), Obert Zhoya amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miaka mitano na faini ya Dola 20,300 kwa unyanyasaji wa kingono kwa waamuzi wa kike Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kumkuta na hatia Zhoya...
  13. F

    SoC02 Wanafunzi wa kike wa miaka (15-18)wanaopata ujauzito kutoka kwa wanafunzi wenzao wa kiume wenye miaka inayoendana wapewe adhabu pia

    Wanafunzi wa kike au mabinti wenye umri kati ya miaka kumi na tano mpaka miaka kumi na nane wanaopewa ujauzito au kufanya ngono na wanafunzi wenzao au vijana wenye umri unaoendana na wao wapewe adhabu ya muda mfupi kisha warudishwe masomoni chini ya uangalizi wa wazazi. Imezoeleka kwamba watoto...
  14. Hawa watoto wa kike ambao wanapewa mimba na kuzalia kwao ndo wanakuza umasikini katika familia

    Tafsiri ya umasikini ni laana. Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote Unazaa mtoto then hujui nani...
  15. Z

    SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

    Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha. Serikali imewaruhusu watoto...
  16. SoC02 Tushikamane katika suala la kukuza usawa kwa jinsia ya kike

    Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa kati ya jinsia zote, kutokana na dhuluma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine. Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi. Waathirika wakubwa katika suala la usawa wa kijinsia...
  17. S

    SoC02 Baba yangu wa kike anataka kuniozesha ili kurudisha mahari yake

    Habari wanaJamiiForums, habari watanzania wenzangu. Naitwa suzana, kama mwandishi wa habari wa kujitegemea nimepata Fursa ya kuonana na kuzungumza na binti mmoja, muhanga wa mila potofu (nyumba ntobhu) ambaye amenisimulia mkasa wake. Hivyo nami nauleta kwenu kwani kuna mambo ya kujifunza...
  18. Kwanini waume wa Marais wa kike hawapewi kipaumbele na jamii?

    Ruto kashinda Urais Kenya tunaoneshwa picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE. Nakumbuka pia Obama alishinda Urais tukaona picha zake za zamani akiwa na MKE WAKE.. Na Mara hizi zote nimeshuhudia watu wakisifu kuwa hawa wanawake "walivumilia sana maisha ya waume zao na kuwasaidia kufikia ndoto...
  19. Ndoa kama chaguo bora zaidi kwa vijana wa kike

    Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake). Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
  20. T

    SoC02 Bado upo umuhimu wa mtoto wa Kiume kuelimishwa kuhusu hedhi ya mtoto wa Kike

    Nini maana ya hedhi, Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147. Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…