kijeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sijali

    JamiiForums Tanzania Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base)

    Habari zinazotembea hivi sasa ni kuwa punde hivi Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base). Kama ilivyoomba nchi kadhaa ikiwemo UAE, Pakistan, Tajikistan (UAE imekwishawapa). Najua ombi hilo likifika Tanzania kuna wale watakaosema 'lakini...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hii fimbo ya kijeshi aliyoshika Rais Kenyatta huwa inamaanisha nini? Tujuzane

    Huwa inabebwa na makamanda wengi wa kijeshi,je huwa ina maanisha nini?
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani

    Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani, ikiwa hatua kubwa kuelekea shinikizo kutoka kwa makundi ya upinzani yaliyoalikwa kuhudhuria kikao cha pamoja cha kujadili hatima ya kisiasa ya taifa hilo lenye matatizo. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini kunakuwa na mapinduzi ya kijeshi nchi za Afrika

    Mambo yapokwenda kombo na wazee was kazi wanaamua that is to much uongozi wa kiraia hauna tija Kama ilivyotokea kule Guine na Sudan
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Wanaopinga Mapinduzi ya Kijeshi waitisha maandamano ya nchi nzima

    Wanaopinga Jeshi kuchukua Madaraka wameitisha maandamano ya Nchini nzima wakitaka kurejeshwa kwa Serikali inayoongozwa na Raia ili kurejesha Taifa hilo katika Demokrasia. Maelfu ya wananchi tayari wamekuwa wakiandamana kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, na...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini sherehe za Uhuru huwa tunaonesha mambo ya kijeshi zaidi badala ya uchumi na uhuru wa kimaendeleo?

    Nimefunguliwa akili na wanaharakati flani wa Iran wakiipa changamoto serikali yao. Wanadai Janga la korona limekwanyua uchumi wa nchi yao lakini katika sherehe za kitaifa wao wanaonyesha mambomu mapya waliyoyabuni badala ya maonyesho ya vile ambavyo serikali imefanya kuwaondoa katika wimbi la...
  7. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania Jinsi Israeli ilivyoweza kupata Nguvu ya Kijeshi Mashariki ya Kati na kuwa tishio

    Unachofaa kujua ni kwamba Israeli inabaki katika hali ya ukosefu wa usalama kwa sababu ya kukosa kuafikia amani ya kudumu na majirani zake. Hilo limedhihirika kutokana na machafuko ya kila mara katika sehemu za Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza hatua inayomaanisha kwamba Yerusalemu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maamuzi kama haya ya Kiume na ya Kijeshi ndiyo yananifanya nimkubali sana Rais wa Uganda Jenerali Yoweri Kaguta Amos Museveni

    "Kuanzia sasa wale Wote ambao watakutwa na Makosa ya Kuua Wenzao hakuna Kufungwa Kifungo cha Maisha Jela bali na Wao wanatakiwa Kuuliwa kwa Kunyongwa ili wasiendelee Kututia Hasara kwa Upumbavu wao na kuwazidishia tu Majonzi wale Ndugu wa Marehemu wakijua bado wanaendelea Kupumua hii Hewa ambayo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

    Taiwan inasema imeshuhudia ndege 38 zikiingia kwenye eneo lake la ulinzi 2 Oktoba 2021 Uvamizi huo wa Ijumaa uluihusisha ndege za kivita aina ya jet J-16 jets (kama zinavyoonekana kwenye picha hii ya maktaba), Taiwan imesema Taiwan imeripoti kuwa ndege za kijeshi za Uchina 38 zimepaa na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri, Hussein Tantawi afariki dunia

    Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia. Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito kuanzia 2011 hadi 2012 badaa ya kuobdolewa kwa Rais Hosni Mubarak. Utawala wake wa Mpito ulikoma Mara...
  11. F

    JamiiForums Tanzania BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

    BBC wa ajabu Sana hawa. Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12. 1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC. Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo...
  12. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bunduki 5 hatari za Sniper zinazotumiwa na nchi zenye makali ya kijeshi

    Wengi hutamani sana kufahamu mengi kuhusu bunduki hizi za masafa marefu ambazo wanaofuatilia zinavyotumiwa hasa katika vita wanafahamu jinsi zilivyo hatari. Lakini kando na kupewa mafunzo ya kipekee kuweza kuitumia, unafaa kujua kwamba bunduki hizo za sniper ni nyingi na kuna nyingi ambazo...
Back
Top Bottom