kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha

    UJINGA ULIOWAGHARIMU WENGI KWENYE MAISHA! Anaandika, Robert Heriel. Kila binadamu anakiwango chake cha ujinga, hata Yule unayemuona anaakili Sana ujue anakaujinga kake. Sasa unaweza ukawa mjinga lakini kamwe Epuka kuwa MPUUZI, mpuuziaji ambaye baadaye itakufanywa uitwe mjuaji wakati hukuwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hainan: Kijana Mwafrika anafurahia sera ya kupunguza na kusamehe ushuru ya bandari ya biashara huria ya Hainan

    Kingsford na wenzake walikuwa wakijadili mpango wa biashara katika eneo la uvumbuzi na ujasiriamali wa mtandao wa internet la Fuxing City, huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa Hainan. Kijana huyu kutoka Ghana alianzisha kampuni ya biashara ya kimataifa ya Kingsford ya Hainan mjini Haikou, na kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana aliye chuoni sasa hivi juu ya maisha halisia kitaa?

    Tunatambua Mara zote asili ya elimu yetu, tumejikuta mfumo umetuganda si chini ya miaka Hadi ishirini then unapewa Cheti Kama mwangaza au ufunguo wa sehemu kuomba kazi. Pia jamii Ina wataalam wengi waliosoma Hadi kusahau walivyosomea hivyo kuendelea kulundikana kwa vijana wasio na ajira mwisho...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana anayeutaka Urais 2030 na kujiona ana uwezo mkubwa wa kuongoza na pesa, ndiye anayeleta vita ya Mpina na Makamba

    January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee tayari kwa urais wa 2030. Kuna kijana anautaka sana urais 2030 na anajiona ana uwezo mkubwa sana...
  6. JamiiForums Tanzania Aibu kwa TRA idara ya forodha Rusumo; Mhuri nyeti huachiwa nyoka (kijana)

    Mida ya usiku pale kwenye geti la kutokea Tanzania kuingia Rwanda maafisa wetu wa forodha huwa wanafanya uzembe unaohatarisha usalama wa taifa letu kwa wao kwenda majumbani ama nyakati zingine kwenda kuangalia mpira na pengine kwenda bar na mhuri huo hapo juu huachiwa vijana wa ving'amuzi...
  7. JamiiForums Tanzania Wamama huleta vipingamizi vijana wao wakitaka kuoa wasichana wa kazi

    Mapenzi huwa hayachagui, unakuta kijana amefika amekwisha kwa dada wa kazi. Mara nyingi mama akisikia habari hii huwa anaona kama inamshushia heshima katika jamii inayomzunguka. Wengi wanapenda mtoto wake amuoe mtoto wa rafiki au watu wa kaliba yake. Wamama wenye busara hushukuru kuwa mtoto...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kufanya kazi ya kuuza spare parts Pwani

    Habari, rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kijana ambae ana njaa ya kazi to the extent nikimpa kazi atakuwa na fresh ideas za namna ya kuongeza sales na hatimae faida. Nahitaji kijana ambae ataifanya kazi akiamini hii itamsukuma kimaisha. Mimi ni entrepreneur mdogo na hili ni duka dogo...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana natafuta kazi ya kuosha magari

    Habara wapendwa poleni na majukumu. Kijana wenu natafuta kazi ya kuosha magari. Nina uzoefu wa kutumia mashine mbali mbali za kuoshea magari na nina uwezo wa kufanya service ndogo ndogo kwenye magari. Ninauwezo wa kuongea Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha Nina uwezo wa kuongea na...
  10. JamiiForums Tanzania Story ya kijana mmoja mwenye ndoto kubwa

    Kijana mmoja jina () alihitimu elimu ya chuo kikuu katika chuo kikuu kimoja mkoani Morogoro. Baada ya kuhitimu alikuwa na viji-savings vyake akavitumia kununua kiwanja na shamba hapo hapo mkoani Morogoro. Badae akakodi meza katika soko la Manzese (lililokuwa soko kuu la muda kupisha ujenzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: Emmanuel Patson Mwesa, akamatwa kwa kumuua bosi wake kwa panga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Polisi Mkoa wa Songwe lilifanya msako huko Kijiji cha Mwaka - Tunduma, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, Machi 21, 2022 na kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa EMMANUEL PATSON MWESA [22] Mkazi wa Mwaka - Tunduma aliyekuwa akitafutwa kwa kosa la mauaji...
  12. JamiiForums Tanzania Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za watoto za mtumba na huna Mtaji nafasi yako hii

    KIJANA MTAFUTAJI: Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini. WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU, UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza moja kwa moja. Utapewa Skert nzuri kwa Bei ya 1900 kwa kukopeshwa .. nawewe utauza mpaka 4500...
  13. JamiiForums Tanzania Kijana "aganda" barabarani Jijini Arusha mchana kweupe

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana ambaye jina lake halijafahamika mara moja, ameonekana amesimama katikati ya Barabara maeneo ya Metropol Jijini Arusha akiwa hawezi kutembea wala kufanya kitu chochote, leo Machi 11, 2022 Chanzo: Global TV
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyenusurika kifo kwa manyanyaso ya ndugu, atoa shukrani kwa kutolewa gizani

    Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona. Anord alisema akiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wamshikilia kijana kwa kuingiza vitenge, vijora Nchini kinyemela

    Mnamo tarehe 06.03.2022 majira ya saa 18:00 jioni, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Mtaa wa Mwanyanje – Uyole, Kata ya Uyole, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya na kufanikiwa kumkamata ABDUL MWAKALINGA [27] Dereva Tax, Mkazi wa Uyole akiwa na bidhaa zilizozuiliwa kuingizwa nchini...
  16. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamshikilia Diwani na wenzake kwa kumpiga mpiga picha

    Mnamo tarehe 03.03.2022 majira ya saa 08:00 asubuhi huko Mtaa wa Igodima, Kata ya Iganzo, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Kijana aitwaye SHADRACK ZACHARIA [28] Mpiga Picha na Mkazi wa Igodima Jijini Mbeya anayeonekana kwenye “clip” ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akishambuliwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamkamata kijana akisafirisha vipodozi vyenye sumu

    Mnamo tarehe 06.03.2022 majira ya saa 02:00 usiku, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Kata ya Chimala, Tarafa ya Ilongo Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya na katika msako huo alikamatwa mtuhumiwa EMANUEL MSIGALA [42] Mkazi wa Uyole – Mbeya akiwa amepakia na kusafirisha vipodozi...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea bure kwenye mambo yote yahusuyo ujenzi, nyumba za kupangisha na uuzaji ardhi

    Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tanga, Mwakidila: Kijana auawa baada ya kuiba Mbuzi

    Na huku Tanga Mwakidila/Mwahako, kijana mmoja amepigwa na kufa hapo hapo baada ya kuiba mbuzi. The other day, aliiba Ng'ombe mwenye mimba lakini akaponyoka. Jana akamuiba Mbuzi wa mkazi mmoja, akamnyonga mbuzi na kumla ndipo wananchi wenye hasira kali wakafanikiwa kumkamata na kumuua. Wenzake...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 19 akamatwa na madawa yanayodhaniwa ni HEROIN

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia LUSEKELO ELISHA MWAKANGATA mwenye umri wa miaka 19, Mkazi wa Mama John kwa kosa la kupatikana na kete sita sawa na gramu 0.3 za madawa ya kulevya yadhaniwayo kuwa ni heroin. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amesema kuwa mtuhumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…