Yuko wapi Ramadhan Ally Kihiyo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi Ramadhan Ally Kihiyo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Feb 3, 2012.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Alikuwa mbunge wa Temeke kupitia CCM. Alipata kashfa ya kufoji vyeti vya taaluma na hatimae kuvuliwa ubunge.

  Kesi yake iliibua msemo maarufu wa "KIHIYO" kumaanisha mtu yeyote ambaye hakusoma au alisoma kwa kudesa desa.

  Tangu mwaka 1996 hadi sasa, hajasikika kabisa. YUPO WAPI?
  =========

   
 2. D

  Do santos JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  umbea tu.Anapatikana dar na hedaru,anafanya biashara za magari ana garage
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi kuuliza mtu yuko wapi nako ni umbea?
   
 4. D

  Do santos JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  samahani mkuu
   
 5. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nashukuru nimepata jibu.
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  ukoo wake umeathirika kwa jambo hili.
   
 7. KABELELE

  KABELELE Member

  #7
  Jan 23, 2013
  Joined: Jan 8, 2013
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimemkumbuka sana wanajamvi Mh Kihiyo aliyekimbia ubunge Temeke kwa kuulizwa mwalimu wake wa darasa...Mwenye mawasiliano naye atujuze yuko wap Mheshimiwa??
   
 8. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2013
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kihiyo yupo anaishi Tabata Mawenzi-Dar; anaishi maisha ya ubabaishaji, anatapeli watu kwa kujiita Mbunge mstaafu. Ana skendo kibao za kiutapeli alafu ni miongoni mwa watu walioanzisha chama cha siasa kinachojulikana kama CHAUMA; anatembea na Briefcase ndani yake anajaza kadi za CCM na CHAUMA.
   
 9. wajingawatu

  wajingawatu JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2013
  Joined: Jan 20, 2013
  Messages: 963
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Ukibahatika kupata picha yake tuwekee hapa, kwani ni mtu muhimu aliyeongeza msamiati wa kiswahili-kihiyo" :asiyejua kitu; muongo, mbabaishaji etc
   
 10. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2013
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahaaaaa vihiyo bana
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2013
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hakika
   
 12. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2013
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Masumbuko alipata umaarufu sana kwenye hiyo kesi.
   
 13. mdukuzi

  mdukuzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2015
  Joined: Jan 4, 2014
  Messages: 5,372
  Likes Received: 4,220
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi nchini mwaka 1995 ndio lilipoibuka huu msamiati.

  Mgombea ubunge wa CCM, jimbo la Temeke bwana Ramadhani Ally kihiyo alishinda ila ikabainika alidanganya kuhusu elimu yake. Alikuwa na elimu ndogo kuliko alivyojaza fomu za ubunge. Ubunge wake ulipingwa mahakamani kabla ya hukumu akajiuzulu kwa madai ya afya.

  Uhaguzi mdogo uliofuata Mrema ambaye mwaka 95 aligombea urais sasa akagombea ubunge Temeke kupitia NCCR akaibuka kidedea.

  Tangu wakati huo msamiati mpya ukaibuka kwa watu wenye elimu za magumashi, KIHIYO
   
 14. born to win

  born to win JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2015
  Joined: Jun 21, 2015
  Messages: 567
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Kihiyo maana yake nn
   
 15. mdukuzi

  mdukuzi JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2015
  Joined: Jan 4, 2014
  Messages: 5,372
  Likes Received: 4,220
  Trophy Points: 280
  we ni mtanzania?uko under 15?
   
 16. Khantwe

  Khantwe JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2015
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 21,040
  Likes Received: 7,281
  Trophy Points: 280
  Aisee kumbe....
   
 17. Khantwe

  Khantwe JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2015
  Joined: Dec 20, 2012
  Messages: 21,040
  Likes Received: 7,281
  Trophy Points: 280
  Nadhani ungemuuliza iwapo anajua kusoma maana alichouliza kipo kwenye post hapo juu
   
 18. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2015
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Ndio maana waliotuletea Elimu walituletea na Mitihani ya kufanya, maana jamaa kaeleza kila kitu ila kuna watu hawajamuelewa
   
 19. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2015
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Hiyo Ilikuwa ni miongoni mwa kesi zilizompatia umaarufu mkubwa sana bwana Lamwai, Bwana Kihiyo alidanganya kuwa alisoma Dar Tec, huo Ubunge wa Temeke ulimtia umaskini sana Bwana Kihiyo, kwani kabla ya kugombea aliuza daladala zake mbili na nyumba na akawekeza kwenye ubunge ambao aliangushwa mahakamani

  uchaguzi ule wa Temeke ulikuwa na msisimko sana, kwani mpinzani wa Mrema alikuwa Sicso Mtiro mtoto wa mjini ambaye baadae alikuja kuwa chief protocal wa Kikwete kabla ya kuamishiwa Ubalozini,

  Mrema kwa upande wake bado alikuwa kwenye ile peak yake huku akiwa na mtaji wa Sheikh Mtopea
   
 20. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2015
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,342
  Likes Received: 6,687
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama amesoma...amepost tu
   
Loading...