kigezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha NIDA si kigezo cha uraia - Waziri

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa mwananchi kuwa na kutambulisho cha NIDA haina maana kwamba hicho ndicho kinachoonesha uhalali wa uraia wake kwani vitambulisho hivyo hata wananchi wasiowazawa wa Tanzania wanavyo. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe...
  2. JamiiForums Tanzania GPA 3.O kama hitaji la chini kuingia kuingia chuo kikuu sio sawa

    Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali kuanzia gpa 2.7 kwa wenye diploma kama hizi zetu za nacte. Ingefaa kiwango cha tanzania nacho kishuke...
  3. JamiiForums Tanzania Kigezo cha ajira kwa waalimu iwe GPA

    Kwako mheshimiwa waziri wa OR-TAMISEMI napenda wizara yako itambue kuwa mfumo wa waalimu Tanzania wanaandaliwa kwa mitihani na kufaulu kwa Madaraja tofauti hivyo wizara yako kupendekeza kigezo cha kujitolea kama kipaumbele cha kuajiri hamtatenda khaki kwa waliotuma maombi. Mosi,uongozi awamu...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamidu Shaka, mrithi wa Polepole nafasi ya Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM

    Shaka Hamidu Shaka, ameteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa. ======= Mwenyekiti mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amemteua Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa NEC Itikadi na...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Kigezo kikubwa ambacho tutakitumia kuajiri walimu ni wale wanaojitolea. Alalamikia barua feki

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati hawajitolei. Ametoa kauli hiyo leo Mei 25, 2021 Bungeni Dodoma wakati akimjibu Mbunge wa Longido Kiruswa aliyehoji ni kwanini Seikali isiajiri...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Matapeli wanaotumia kigezo cha wahudumu wa Airtel

    Nimepokea ujumbe unaonitahadharisha kufungwa kwa line yangu. Na nikatumiwa namba ili nitume vitambulisho vyangu, jamani kuweni makini. Details zako ndizo zitatumika kama njia ya kukutapeli. Cha kuzingatia chunguza logo ya masage kutoka airtel, huwa inaanzia herufi kubwa na kufuatilia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…