kifurushi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. safuher

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa haloteli na sms ya 75% ya kifurushi, halotel hawajui mahesabu

    Habari za jioni wakuu,natumai wazima. Nimechoshwa kabisa na hii tabia ya halotel kutuma sms ya kubakisha 75% za kifurushi wakati haujafanya jambo la maana. leo saa nne na robo asubuhi (10: 15) nilijiunga kifurushi cha wiki cha mb 440 kupitia halopesa(megabando). CHa kushangaza saa nne na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunaoishi Mabondeni na kwenye Miundombinu mibovu, Kifurushi cha Mvua ya Alhamisi na Ijumaa ijayo si Kizuri Kwetu

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ni kwamba Kifurushi cha Jana Jumatatu tarehe 5 kilichopiga Kutwa nzima ni cha Mtoto ila Kifurushi cha Alhamisi ya tarehe 8 na Ijumaa tarehe 9 ni cha HATARI zaidi kwani kitakuwa ni Kikubwa na chenye Madhara kwa tunaoishi Mabondeni na katika Miundombinu...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Data usage Monitor, Mali bila daftari hupotea bila habari. Nimepata software nzuri sana ya kufatilia matumizi ya data kwenye pc, nami nawashirikisha

    Hasa kwetu tunaotumia vifurushi vya kupima kwa ndonya vyenye kikomo cha GB, Hivyo kwetu GB hizo ni mali. Binafsi kwenye Pc nimeipata hii software ya Net Traffic, ni kasoftware kadogo tu kana KB kadhaa ila kazi yake iko poa. naweza kuangalia kiasi cha data nachokitumia live, kwa saa, kwa siku...
  4. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kifurushi cha Dstv cha shilingi 23,000 nimepewa Channel nne tu.

    Siku zote nimekua nikinunua compact ya cha 56000 elf kwaajili ya mpira sasa sitakuepo mwezi huu hivyo wife ameshauri tununue cha 23000 maana yeye hafatilii mpira zaidi ya maigizo tu Nikaona isiwe kesi Nikalipa sasa cha kuchekesha ni kwamba zimekuja channels hizo apo kwenye picha yaani...
  5. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Kifurushi cha huduma za teknolojia kwa kampuni yako

    Je, wewe ni mmiliki wa kampuni ya kibiashara ndogo na ya kati? Je, katika Biashara yako unatumia teknolojia mbalimbali au unahitaji kutumia teknolojia mbalimbali?Kama Jibu ni ndio basi wasiliana nasi leo ili tuone ni namna gani tunaweza kufanya kazi pamoja. TUnawaletea huduma ya vifurushi vya...
  6. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Halotel Kifurushi cha Kimataifa

    Wadau niaje? Asee hawa halotel nimejiunga kifurushi cha kupiga German na UK ili niongee na wadau wangu wa huko ila hela wamekata na nikipiga wananiambia namba haipo. Mnaopigaga hizo nchi hebu nipeni maujafanja maana hata nikipiga customer care yao hawapokei simu. Sema nini, sisi wabongo...
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania Wale tuliounganishwa na kifurushi cha DStv Business halafu wakatubadilikia tukutane hapa tujifariji

    Wiki chache zilizopita mawakala wa DStv walitushawishi tujiunge na Dstv business kwa kifurushi cha Work Essential ambacho tulikuwa tunalipa 28,000/= na kupata mechi za EPL, La Liga, Serie A, Europa League na mechi chache za Uefa Champions League. Sasa kumbe ulikuwa mtego, watu tukaunganishwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tigo wamepunguza tena kifurushi cha internet

    Ilikuwa wiki MB 1600 kwa elfu 3 sasa ni MB 1400 kwa elfu 3. Mwanzoni kabisa elfu 3 ilikua unapata MB 2500
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini kampuni za mwasiliano ya simu kutuma ujumbe wa kifurushi kwisha wakati bado

    Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende wakawasaidie kuset hizo program zao. Mb 100 zinasoma unaniambia kifurushi chako kimeisha halafu wewe...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

    Katika kuhamasisha matumizi ya gesi ya kupikia, serikali yetu itakuja na utaratibu wa kumruhusu mteja kuinunua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Kwa sasa wengi wanashindwa kumudu kutokana na gharama kubwa zilizopo, hivyo mchakato wa kuzipunguza unaelekea mwishoni ili kulifanyia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kifurushi chako cha DSTV kina channel za michezo! Fursa hii hapa

    Kifurushi Cha ofisi
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yaandaa kifurushi cha $1b kwenda Ukaine huku tukisubiri wanywa gongo wanaolazimishwa kwenda kufa Ukraine

    Marekani imeandaa $1b kwa ajili ya silaha za kuendelea kuwahami Ukraine ili watetee ardhi yao dhidi ya wanywa gongo wa Urusi wanaolazimishwa kwenda kufia Ukraine, baada ya jeshi rasmi kushindwa na kukimbia mapigano..... WASHINGTON (AP) — The U.S. will provide an additional $1.1 billion in aid...
  13. Ngwakwiii

    JamiiForums Tanzania Airtel! Airtel! Airtel! Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu

    Nimekuita kwa majina matatu kwa uchungu kabisa ni leo tuu saa nne unusu nimejiunga na bandle la Tsh 2000 GB 1.1 Sijafanya lolote lile mmeshamaliza kifurushi changu? Wallah pepo mtaisikia law jirani nimewachukia sana sana. Kwani wananchi tumewakosea nn ndg zetu
  14. zink

    JamiiForums Tanzania Hawa AIRTEL ni matapeli kabisa hasa kwenye kifurushi chao cha MB 850 cha shilingi 1500

    Habari wakuu wa jf, Huwezi amini nimejiunga kifurushi cha MB 850 kwa elfu 1500 hata nusu saa haijapita naambiwa umetumia asilimia 75% ya kifurushi chako. Kama hali ndio hii basi tumekwisha na sikuwahi kuzani kama airtel nao ni matapeli tu ila fine waache wachukue hivo vi MB vyao PUMBAFU SANA...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani wenye kifurushi cha usiku?

    kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Vodacom wapandisha kifurushi, Nape awatetea na kumnanga aliyelalamika

    Voda washafanya yao, mtu kalalamika na evidence juu na kama kawaida siku hizi Nape Nnauye ni msemaji mzuri sana wa haya makampuni, anayapambania kwelikweli akamnanga mlipa tozo aliyelalamika. Badala ya MB 1500 kwa tshs 3000 sasa unapata 1300 mb ila sidhani kama hawa mawaziri wanaweka bando zetu...
  17. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Karibu Bongo sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku

    Bongo ni sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku 😂
  18. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Dstv wanaweza kurudisha pesa kama umenunua kifurushi mara mbili?

    Inasikitisha sana wakuu
  19. Frustration

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo kinaanza kuisha kifurushi cha leo badala ya cha jana.

    Mm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo. Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline. Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni kifurushi gani cha UTT ni bora kwa June 2022

    Ndugu wadau, wengi wamekuwa wakinishauri niwekeze akiba yangu UTT lakini hawanipi taarifa muhumu hasa kwenye gawio linalopatikana kwa vifurushi mbalimbali vya UTT. Ndo najiuliza kwa sasa June 2022, ni mfuko gani wa UTT unalipa gawio vizuri kuliko mwingune ,je ni liquid au bond au umoja? Bado...
Back
Top Bottom