kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa wawekezaji na wananchi umepelekea kifo cha Katibu wa CCM Luturo, Muleba

    Siku kadhaa zilizopita, katibu wa CCM Lutoro Muleba ameuaawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa ranch za wawekezaji Lutoro mpakani mwa wilaya ya Muleba na Karagwe-Kagera. Hapa chini ni kipande cha video wakati wa mazishi ya huyo kijana. Mbuge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage alionekana...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee ameanzisha mahusiano na 'jini' na anacheza na chanzo cha kifo chake. Sidhani kama atamaliza mwaka

    unakuta alikuwa mdingi na heshima zake na nyie mnamwamkia na kumtambulisha kwa watu kuwa huyu ndo mdingizela, kumbe anavyozidi kukua akili zake zinarudi utotoni. imagine siku upo umechill sehemu unaona video ya mdingezela anacheza na 'jini' lake hivi? Si watu huwa wanasema pesa za wastaafu zina...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake mashuhuri

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake maarufu

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM.* Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM ni cha kufikirika tu lakini hakuna uhalisia wa jinsi kitakavyotokea

    Miongo mitatu sasa, lugha inayongumzwa na wapinzani ni kufa kwa CCM, lakini mpaka ukimuuliza yeyote akuambie kitatokea lini na wapi au kitasababishwa na nini, hakuna mwenye uhakika. Wengine wanasema ni 2025, 2030, n.k, lakini ni heri wao wanaosema pengine ni 2100, na wanaosema haiwezekani...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

    Habari JF, Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena. Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo: 1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Ngono na kifo vipo karibu, umeoa/umeolewa tulizana na ndoa yako

    Habari wa jukwaa, Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje? Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa mtu akiibiwa huwa anapata matatizo gani. Ukioa punguza mihemko, maji ndio yale yale sema visima...
  8. JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  9. JamiiForums Tanzania Kifo na kuokotwa kwa maiti ya mwalimu huyu kunaleta mwanga kwa matukio mengine kama haya

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mganga-wa-kienyeji-wenzake-wanne-wakamatwa-madai-mauaji-wa-mwalimu-musoma-4133972
  10. JamiiForums Tanzania Kifo cha Hayati Magufuli kilivyosababisha Stevev Makigo bosi wa Mayanga Construction azimie mara tatu

    Kuna mzee mmoja alikuwa na nyumba mbovumbovu mitaa ya kariakoo mtaa wa Congo mkabala na ilipokuwa Club ya Nyota Nyekundu,tuliozaliwa mjini miaka hiyo tunapaelewa. Yule mzee majirani zake waliuza vile viwanja kwa mamilioni kadhaa cha chini ilikuwa bilioni moja Ghafla afya ya yule mzee ikaanza...
  11. JamiiForums Tanzania Fei Toto anusurika ajalini Fuoni

    Mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei toto) amepata ajali mchana wa leo Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar. Ajali hiyo imehusisha Gari yake aina ya Harrier nyeupe yenye namba za usajili Z 160 MW huku dereva akiwa ni mwenyewe Feitoto akitokea Fuoni kituo...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama kuchunguza sababu za kifo cha aliyedaiwa kujinyonga Mahabusu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni (Kinondoni), itafanya uchunguzi huo baada ya familia ya Marehemu Stella Moses kupinga maelezo ya kituo cha Polisi Mburahati yaliyodai Stella alijinyonga baada ya kujisalimisha kituoni hapo Desemba 20, 2020. Washtakiwa katika shauri hilo ni Mkuu wa Jeshi la...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Mmewezaje kupona maumivu ya kufiwa na mtu wa karibu?

    Wanajamvi, ninaomba msaada wa dhati kabisa. Mdogo wangu wa pekee alifariki mwaka jana. Tulizaliwa wawili tu, wazazi pia walishafariki. Baada ya wazazi kufariki, nilikuwa mama yake, alikuwa baba yangu. Fact kuwa familia hii nimebaki peke yangu, kila nikiwaza inanistrike vibaya mno! Sijui kama...
  14. JamiiForums Tanzania Abiria 20 wanusurika kifo ajali ya lori, Coaster

    Zaidi ya abiria 20 waliokuwa wakisafiri kwa basi dogo aina ya Coaster lililotokea Tunduma kwenda Mpemba katika Barabara ya Tunduma Mbeya wamenusurika kifo baada ya lori la mafuta kufeli breki na kuligonga basi hilo. Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo Dickson Kapungu amesema tukio hilo lilitokea...
  15. JamiiForums Tanzania kifo cha lazima kwa Stanley Meyer mgunduzi na baba wa gari inayotumia maji na umeme leo kwa jina magari ya umeme (water fuel cell)

    Ni vigumu sana binadamu kuamini ya mbele sana kuliko yale wanayo yatumia kwa mda huu. ulishawai kusikia kuna mgunduzi aligundua gari inayotumia maji na sio mafuta ila kimaelezo ilipewa kipaumbele maji basi jina lake ni water fuel cell (Seli ya mafuta ya maji ). Seli ya mafuta ya maji ni muundo...
  16. JamiiForums Tanzania Kifo cha Norah; aliyejifanya mwanaume ili ajue maisha ya wanaume yakoje

    Kifo cha Norah Vicent kiliibua hisia kwa jamii kutokana na namna utafiti alioufanya ulivyommaliza yeye mwenyewe. Norah alitaka kujua maisha ya mwanaume yakoje..ni changamoto zipi anapitia? Mwaka 2003, bila kubadili jinsia yake, akaamua ajifanye kuwa mwanaume; akaajiri mtu wa make up,mtaalamu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

    Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi. Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya tusaidie kufuatilia daktari wa Lugalo aliyechangia kifo cha huyu dada

    RIP sis Angel, Jirani, dada, mwanamazoezi mwenzangu leo umelala nyumba yako ya milele. Mh Waziri wa Afya narudia kuwapongeza humu niliwahi kuandika vitendo vya hospitali Kijitonyama juu ya mzee wangu mkafuatilia na wahusika wakakutana na waliyoyatafuta. Leo naja na kisa hiki cha kuhuzunisha...
  19. JamiiForums Tanzania Familia yaomba uchunguzi kifo cha aliyechapwa viboko 280

    Serikali imeombwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua waliohusika na kifo cha mkazi wa Sanawari, wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha, Nelson Mollel (32) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa viboko 280. Mollel alifariki Januari 8, 2023 kwa madai ya kuchapwa baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tunashukuru uliweka kifo

    Pasingekuwepo kifo low classes tungeumia sana, wenye mamlaka ni full kujisahau, wananyang'anya hata kile kidogo apatacho asiyenacho. Mungu muumba mbingu na nchi hakika haufananishwi na kitu kingine, uliona mbali. Kifo ni haki iliyosawa na isiyoyumba au kubagua, humfikia kilammoja na wakati wake.🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…