kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi. Kwanini Hamas hufunika nyuso zao? Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina...
  2. F

    Rais Samia umesikitika kifo cha Emir wa Kuwait, lakini umenyamaza kuhusu vifo vya Watanzania

    Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel. Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi...
  3. A

    Hospitali za Umma ni kama lango la kifo

    1. Ukifika hospital za Umma ni kama upo langoni kuelekea kifo. 2. Huduma mbovu, pengine mpaka utoe Chochote nimefika Mwananyamala mabango ya kukataza rushwa na makamera kila kona utadhani maonyesho Ila huduma hupati bila kutoa pesa ya chai au ujiandae kushinda hapo hospitalin toka asubuhi mpaka...
  4. Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  5. Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika, 'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa...
  6. Nadharia ya Kifo

    Kwa sababu zao dini za magharibi hazielezei mengi juu ya kifo, lakini baada ya yote, kifo ni jambo kubwa sana kwa sisi sote tu kama pia kuzaliwa, na inaonekana kwamba kifo kinapaswa kufuata sura juu ya mediums kwa sababu ikiwa hakuna mtu aliyekufa, mediums wasingweza kujaribu kuwasiliana nao...
  7. M

    Inakuwaje CHADEMA wameacha kuishinikiza serikali kuchunguza sakata la kada wao na msaidizi wa Mwenyekiti wao Ben Saanane?

    Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane. Hili linastaajabisha kwa sababu Ben Saanane alikuwa ni mwanachama, tena kada nguli wa chama, na si...
  8. Neno 'Mhudumu' lasababisha kifo cha mmiliki wa baa

    MMILIKI wa baa ya Tale mjini Njombe, Jackson Mgeni (35), mkazi wa Mji Mwema mjini hapa, amefariki dunia kutokana na kuchomwa kisu tumboni na anayedaiwa mteja wake, Emmanuel Shiwa (32). Mfanyabiashara wa madini na mkazi wa eneo la Uwanja wa Ndege mjini Njombe, anadaiwa kutenda ukatili huo baada...
  9. Watumishi 3 wasimamishwa kazi kwa kusababisha Kifo cha Mjamzito kisa hajatoa Tsh. 150,000

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kifo cha mjamzito na kichanga chake, kilichotokea Wilaya ya Handeni Tanga tarehe 11/11/2023 katika kituo cha Afya Kabuku kwa kinachoelezwa kuwa ni uzembe wa watumishi wa kituo hicho. Pia soma > Tanga: Mjamzito afariki kwa kukosa Tsh. 150,000 Tayari...
  10. Kifo cha Nabeel chahusishwa na ushirikina, kafara imetimia!!!, Watanzania tuna mawazo ya ovyo sana

    Aisee sisi Watanzania tuna mawazo ya ajabu sana. Naona watu wengi wanahusisha kifo Cha Nabeel na imani za kishirikina. Pointi yao ya msingi ni dhaifu sana ,eti kisa ile ajali ilikuwa mbaya sana na Chino katoka poa kabisa kana kwamba hakijatokea kitu. Yani wao walikuwa wanataka eti na Chino...
  11. J

    Tuondoleeni utata huu wa taarifa za kifo cha mke wa Askofu wa Anglikana Biharamulo

    Taarifa zinasema kuwa Mke wa Askofu Vitalis Yusuf, wa kanisa la Anglikan Dayosisi ya Biharamulo mkoani Kagera, maziko yake yatafanyika leo Jumamosi nyumbani kwao wilayani Chato mkoani Geita. Maziko hayo yanafuatia, kifo cha mke huyo Monica Zablon mwenye umri wa miaka 45, kilichotokea usiku wa...
  12. Mambo ya kawaida saba lakini yatasababisha ufe mapema

    1: Kupenda kujitamkia kifo au kufakufa hata kama ni utani. Sisi watu wa maandiko tunamstari unasema, mtu atakula matunda ya kinywa chake. 2: Kustaafu kabla ya Muda wako Watu wanaostaafu kwa hiyari kabla ya muda wa lazima wanauwezekano mkubwa wa kufa mapema. 3: Matumizi ya vidonge vya usingizi...
  13. Wabunge wa CCM mbona mnamug'unya maneno wakati genge linalotuibia mali zetu mnalijua?

    Bungeni mnalalama kama vile nyie sio chombo kuiwajibisha serikali. Lakini ukweli upo wazi kuwa genge linalowaibia watanzaia kila uchwao mlalijua. Mbaya zaidi mnajua wazi lilifurahia waziwazi kifo cha hayati JPM. Kumbe hili genge lilifurahia kupata mwanya wa kuwaibia watanganyika.
  14. Wabunge 168 wakubali adhabu ya kifo kwa wezi - majimboni kwenu mmewatuma kazi wabunge hao?

    Wanabodi, Salaam! Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi. Mchango wa Mbunge huyu siukatai wala kuukubali - nilichojiuliza kwa haraka ni iwapo miongoni mwetu watanzania...
  15. Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Afande ( Luteni Kanali ) aliyeuawa jana Kawe Jirani na Baa maarufu ya Bombardier anaitwa Muna. Marehemu ni Mkazi wa Mkoa wa Singida. Marehemu Afande Luteni Kanali Muna alikuwa kapandishwa Cheo na alikuwa anaenda kuwa Mkuu wa Kikosi Mkoani Arusha na leo Ijumaa ndiyo alikuwa anatakiwa Kuripoti...
  16. Qatar yawahukumu kifo Wahindi 8 kwa tuhuma za ujasusi

    Mahakama ya Qatar imetoa hukumu ya kifo kwa raia nane wa India ambao ni wafanyakazi katika Kampuni ya Al Dahra Nchini Qatar baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi. Maafisa hao walikamatwa Mwaka 2022 wakidaiwa kufanya ujasusi kwa kutumia teknolojia ya Qatar wakati wakiwa watumishi wa...
  17. Kwanini kifo kisiwe kama zawadi ya thamani ya kumpa mtu?

    Yaani mtu akifanya vema tunampongeza kwa kumuua, Imagine ukifa unapumzika kwa amani. Mihangaiko ya duniani unaiacha, unasahau shida zote za kila siku hutafuti hela , husikii njaa, huna mawazo, kiufupi ni peace tu. Naona kifo ndio ingekuwa zawadi nzuri na ya thamani ya kumpatia mtu aliyefanya...
  18. N

    Nilivyonusurika kifo nikiwa mtoto zaidi ya mara 3

    Habari zenu, Ndugu zangu kwenye ukuaji tunapitia hatua mbalimbali za maisha, kipindi nikiwa mdogo nishanusurika kifo zaidi ya mara 3, kusema kweli nilikuwa mtundu sana nisiyesikia chochote,na michezo yangu ilikuwa hatari sana,tena ya kutosha. Naanza kama hivi. Mara ya kwanza. Kipindi nikiwa na...
  19. Alisema siku ya kifo chake watu wasihuzunike, bali wale na kunywa

    Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana Nisiseme mengi Alamsiki
  20. Waziri Pindi Chana: Tunafanyia kazi ushauri wa Wadau kuhusu mabadiliko ya Adhabu ya Kifo

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi maoni ya baadhi ya Wadau kuhusu kuondoa adhabu ya kifo. Akizungumza Oktoba 10, 2023 kwenye Kongamano la kujali adhabu ya kifo lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na wadau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…