Netanyau asema shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilisambaratisha viwanda vya kutengeneza kifo! Iran kamwe haitomiliki silaha za nyuklia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,173
7,177
Wadau hamjamboni nyote?

Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel

Waziri Mkuu Benjamin Netanyau

Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Netanyahu says Israel’s strikes on Iran destroyed ‘industrial factories of death’

In speech to opening Knesset session, PM pledges to continue making peace with Arab countries; Gallant says Iran attack caused ‘a change in the balance of power’

By Lazar Berman Follow
and Emanuel Fabian Follow

Today, 8:33 pm

Israel hit key Iranian sites hard in its airstrikes on Saturday, Prime Minister Benjamin Netanyahu said during a fiery address on Monday at the opening of the Knesset winter legislative session.

“We severely damaged Iran’s defense systems and its ability to export missiles,” Netanyahu said in a speech to the Knesset plenum. “These were not [basic tools] we were attacking. These are industrial factories of death and we struck them hard.”

Netanyahu obliquely pushed back on reports that the White House had convinced him to scale back the response to Iran’s October 1 ballistic missile attack, emphasizing that “we make decisions ourselves according to our interests and considerations.”

Seemingly responding to recent criticism that the ongoing war lacks clear strategic aims, the prime minister said Israel’s goals against Iran and its proxies are clear: “Our long-term strategy is to dismantle the axis of evil, to cut off its arms in the south and in the north, to exact a heavy price from Iran and its proxies and to prevent Iran from having nuclear weapons.”

The IDF carried out a wave of strikes against targets in Iran early Saturday morning, almost four weeks after the Islamic Republic’s massive ballistic missile barrage on the country. The operation, hitting targets some 1,600 kilometers (1,000 miles) away, was unprecedented in terms of its scale and duration, as well as Israel’s immediate acknowledgment of responsibility.

The strikes came after weeks of Israel being urged to temper its response to the Iranian ballistic missile attack on Israel on October 1, which came days after Israel killed Hassan Nasrallah, the longtime leader of Iran’s Lebanese proxy Hezbollah. Satellite imagery of Iran has shown damage to a number of military sites, though Iranian leaders have sought to downplay the effects.

This satellite photo from Planet Labs PBC shows damaged buildings at Iran’s Parchin military base outside of Tehran, Iran, October 27, 2024. The damaged structures are in the bottom right corner and bottom center of the image. (Planet Labs PBC via AP)

Netanyahu said Monday that Israel is the one obstacle keeping Iran from controlling the Middle East and threatening the rest of the world.

“The fanatical axis of evil led by Iran threatens to destroy our country and trap other countries in its net, and to threaten the West first of all. Iran is working for a stockpile of nuclear bombs and will be able to threaten the entire world whenever it wants,” he said.

According to Iran’s thinking, he argued, “if Israel falls, the entire Middle East will fall into its hands, but we will not fall. We will win and the whole world will be a better place.”
 
Kwasasa Iran akanushi madai yoyote aseme tu viwanda vingapi kapiga akichelewa Iran anasema mwenyewe kuwa viwanda kumi vimepigwa chuo cha mafunzo pia kimepigwa wajinga wabichwa ayoo kumbe Iran anataka apate sababu yakulenga maeneo tofaut tofaut ya Israel asiojiwe mana mbona nmm nilipigwa viwanda vyangu apo shabaaa zinaongezwa mm nakunywa kaawa pale tunasubili promis3 Iran akuna shabaa anayotaka kuipiga akaikosa apo Israel moto utawaka. Promis3
 
Ungelala kwanza pombe iishe kichwani

Umeandika nini sasa
 
Islamic Republic isiruhusiwe kutengeneza Silaha za Nuclear kwasababu itawagawiya Houthi ambao wakishatafuna Mirungi wanaweza kurusha hayo Makombora Horn of Africa na East Africa huku wakifoka "Allahu Akbar..."
stock-photo-sana-a-yemen-july-two-men-chewing-khat-catha-edulis-in-sana-a-the-capital-of-yemen...jpg

Imagine Nuclear badala ya AK47?
 
Kwasasa Iran akanushi madai yoyote aseme tu viwanda vingapi kapiga akichelewa Iran anasema mwenyewe kuwa viwanda kumi vimepigwa chuo cha mafunzo pia kimepigwa wajinga wabichwa ayoo kumbe Iran anataka apate sababu yakulenga maeneo tofaut tofaut ya Israel asiojiwe mana mbona nmm nilipigwa viwanda vyangu apo shabaaa zinaongezwa mm nakunywa kaawa pale tunasubili promis3 Iran akuna shabaa anayotaka kuipiga akaikosa apo Israel moto utawaka. Promis3
kufanya revenge Kwa Iran kwenda Israel Kwa sasa sio rahisi kama unavyo chukulia , na ndio maana Iran imeona ikimbilie UN kama platform ya kuzungumzia na kutatua migogoro ya kisiasa ya kikanda kuliko matumizi ya nguvu za kijeshi ,kwanini wanaojua vita ya kupigana nyumbani kwako, no matter how strong you are athari zake ni kubwa mno na Iran hata weza kuhimili mikiki mikiki yake sababu uchumi wake upo low sana kumbuka yakwamba S 300 air defence system anapewa na Russia na kufanya interception ya Yale makombora sio child play ni hela tena ndefu .
 
Islamic Republic isiruhusiwe kutengeneza Silaha za Nuclear kwasababu itawagawiya Houthi ambao wakishatafuna Mirungi wanaweza kurusha hayo Makombora Horn of Africa na East Africa huku wakifoka "Allahu Akbar..."
View attachment 3137714
Imagine Nuclear badala ya AK47?
Wakizipata hizo Nuclear heshima ndio itakuja middle East, kila mtu atamheshimu mwenziwe.
 
Wakizipata hizo Nuclear heshima ndio itakuja middle East, kila mtu atamheshimu mwenziwe.
Hebu fikiria Al Qaida Al Shabaabu Isis na wenzao wanakuja Tanzania kutangaza Jihadi dhidi ya "Makafiri" ambao maana yake wasiomuamini Allah wanakuja kulipua Wakristo Atheists Wayahudi na Wapagani kwa kutumia Nuclear Bom ndogo ndogo za kuvaa mwilini watakazopewa na Ayatolah.

Nadhani ikishafikia hapo ndio utakumbuka nilichokiandika humu.
 
Hebu fikiria Al Qaida Al Shabaabu Isis na wenzao wanakuja Tanzania kutangaza Jihadi dhidi ya "Makafiri" ambao maana yake wasiomuamini Allah wanakuja kulipua Wakristo Atheists Wayahudi na Wapagani.

Nadhani ikishafikia hapo ndio utakumbuka nilichokiandika humu.
Hakuna Mkiristo anayelipuliwa, tatizo ni kwamba kule middle East kuna nchi inajiona raia wao ni first class na wale wa nchi nyengine ni economic kiasi kwamba wanataka wawaendeshe vile wanavyota wao. Jambo ambalo hakuna binaadam yyte anaweza kukubali hivo, ndio hapo watu wanaamua kujifyatua ili kurejesha heshima yao iliyoporwa. Sasa ikitokezea watu hawa kuweza kumiliki silaha za Nuclear basi bila shaka heshima hiyo itarudi maana kila mtu atamheshimu mwenzake.
 
Hebu fikiria Al Qaida Al Shabaabu Isis na wenzao wanakuja Tanzania kutangaza Jihadi dhidi ya "Makafiri" ambao maana yake wasiomuamini Allah wanakuja kulipua Wakristo Atheists Wayahudi na Wapagani.

Nadhani ikishafikia hapo ndio utakumbuka nilichokiandika humu.
Kwahiyo Al Qaeda, Al shabaab, isis ndio islamic republics?

Mbona islamic republic of Pakistan ni Nuclear power na hakuna waliyewahi kumlipua?

Dunia irngekuwa sehemu salama kama hakuna nchi yeyote ingeruhusiwa kumiliki silaha za kinyuklia
 
kufanya revenge Kwa Iran kwenda Israel Kwa sasa sio rahisi kama unavyo chukulia , na ndio maana Iran imeona ikimbilie UN kama platform ya kuzungumzia na kutatua migogoro ya kisiasa ya kikanda kuliko matumizi ya nguvu za kijeshi ,kwanini wanaojua vita ya kupigana nyumbani kwako, no matter how strong you are athari zake ni kubwa mno na Iran hata weza kuhimili mikiki mikiki yake sababu uchumi wake upo low sana kumbuka yakwamba S 300 air defence system anapewa na Russia na kufanya interception ya Yale makombora sio child play ni hela tena ndefu .
Mambo ya kimataifa hayako hivyo. Iran inasemwa kwamba iko mbioni kuunda silaha za nyuklia. Wewe ulipoona Iran imepeleka malalamiko UN ukadhani sababu ni kutoweza kujibu mapigo. Fikiri zaidi, huenda ni mpango wa Iran kutafuta uhalali wa kumiliki silaha za nyuklia. Kwenye ushirikiano wa Russia na Iran lolote linaweza kutokea ikiwemo kupewa silaha hizo au teknolojia kama Belarus ambayo kabla ya Ukraine kuvamiwa haikuwa na silaha za nyuklia.
 
Yeye nani azuie Iran kua na nyuklia? Washachelewa
Wana taarifa zote kuhusu mipango na level waliyofikia, Mossad hawawezi kuruhusu hilo kutokea kwa sababu wanajua kichaa akimiliki upanga kijijini nini inaweza kutokea.

Kumbuka walivyomuua yule mwanasayansi bingwa wa nuclear enrichment, Majenerali na walivyoshambulia kwa virus mfumo wa tehema wa program nzima ya nyuklia
 
Netanyahu anafahamu kuwa vita ikisimama ana kesi ya ufisadi inamngoja kujibu.

Lazima aliendeleze mpaka dakika ya mwisho, ndiyo salama uyake ya kukaa jela.
 
Hakuna Mkiristo anayelipuliwa
Wakristo wa Middle East wamehama kwa wingi na kuhamia Latin America na North America kwasababu ya kuwakimbia Islamist Jihadist.

Kama wewe ni Mkristo au Atheist ukitaka kula Nyama ya Nguruwe au kunywa Bia au Whisky wao hawataki na wanaweza kukuua kwa kula nyama ya Nguruwe au kunywa Beer Baridi chini ya Mtende wanakwambia Allah hataki.

terrorists-1458052170.jpg
 
Back
Top Bottom