Mimi ni mtu ninayekichukia sana kifo ingelikuwa ninao uwezo wa kuzuia watu kufa basi ningefanya hivo
Leo nimejikuta namkumbuka sana Dkt.Ferdinand Masau, Mtu bingwa sana kama nchi tuliwahi bahatika kuwa nae akibobea kwenye masuala ya magonjwa ya moyo na taasisi yake ya Tanzania Heart Insitute...