kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Profesa aliyejiuzulu chuo cha Cambridge, Jason Arday akutwa amefariki ndani

    Professor wa chuo cha Cambridge aliyejiuzulu wiki iliyopita baada ya kukabiliwa na tuhuma za udanganyifu wa kitaaluma (plagiarism) pamoja na kuandamwa na vyombo vya habari amekutwa amefariki dunia Siku ya jana Agosti 14, 2026. Jason Arday, ambaye akiwa na umri wa miaka 37 mnamo mwaka 2023...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Askari watatu wa Uhifadhi Ngorongoro washikiliwa kutokana na kifo cha fundi gereji Ngorongoro

    Ufafanuzi kuhusu tukio la mtu mmoja kufariki Ngorongoro Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha lilipokea taarifa kuwa kuna watu wawili wanaume wamefikishwa katika Hospitali ya Lutheran Wilayani Karatu na kati ya hao wawili mmoja alikuwa ameshafariki dunia na mmoja yu hai anaendelea kupatiwa matibabu...
  3. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kifo kwa Rais wa Syria inatuma ujumbe gani kwa wahusika wa October 29?

    #HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad. Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
  4. JamiiForums Tanzania Nadharia ya kifo cha Internet… Unaliona hilo? Je lugha kwetu itaokoa internet zetu? Natumai, ila AI inatisha usipotambua

    Toka 2016 kumekuwa na ‘dead internet theory’ = nadharia ya kifo cha internet. Kwa kifupi, ndani ya internet za maongezi na majadiliano, kumeingiwa na akaunti za maBOT – yaani akaunti za maroboti zikijifanya ni za watu hai. Kwa hiyo ndani ya Whatsapp, fesibuku, Instagram, tiktok, nk unaweza kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Bila kifo cha Magu, Bashiru alikuwa anaukwaa Urais kimzaha

    Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama, Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Familia ya Muigizaji wa wakanda, Chadwick Boseman Yadaiwa Kukabiliwa na Bili ya Hospitali ya Karibu Dola 900,000 Baada ya Kifo Chake

    Kifo cha mwigizaji maarufu Chadwick Boseman mwaka 2020 kiliwashtua mamilioni ya mashabiki duniani kote. Boseman, aliyefahamika zaidi kwa nafasi yake ya T'Challa katika filamu ya Black Panther, alikuwa akipambana kwa siri na saratani ya utumbo mpana (colon cancer) huku akiendelea kufanya kazi...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mathare: Kijana afariki akiwa mikononi mwa Polisi, wananchi waandamana kushinikiza haki na uchunguzi huru

    Wakazi wa Mathare wameandamana wakitaka haki na uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha kijana Eric, ambaye familia yake inasema alijeruhiwa akiwa katika seli za polisi. Kulingana na taarifa iliyo kwenye video ya NTV iliyotumwa, familia imeomba uchunguzi huru wa mwili (independent autopsy) ili...
  8. JamiiForums Tanzania Kifo cha Mchungaji Msuya kilivyoibua kumbukumbu maisha yake

    Kifo cha Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga, Sylvanus Msuya, kimeacha simanzi miongoni mwa waumini, viongozi wa dini na watu wengi walioguswa na ushuhuda wa maisha yake. Baadhi wamekumbuka safari yake ya kutoka kwenye changamoto za maisha hadi kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kifo hakisikii cheo, Mali wala umaarufu

    Leo una nguvu, kesho unaweza kuwa dhaifu. Leo una afya njema, kesho unaweza kuhitaji msaada wa wengine. Leo una mali na madaraka, kesho unaweza kuondoka duniani bila kubeba hata senti moja. Kifo hakichagui tajiri wala maskini, msomi wala asiye msomi, mwenye afya wala mgonjwa. Kinapofika, hakuna...
  10. JamiiForums Tanzania Mwisho wa matatizo yote ni kifo kwanin ujachukua uamuzi wa kujiua?

    Jambo lenye uhakika siku moja utakufa matatizo, changamoto zote zitapotea ukifa maan hakuna mtu atayerithi matatizo yako unapokufa na zenyewe zinakufa. Chakushagaza watu kila siku wanalalamika mambo ni magumu wengine wanakata tamaa wanaachana na maisha lakni watu wanajua mwisho wa siku utakufa...
  11. JamiiForums Tanzania Ajali ya Treni kugongwa na gari imesababisha kifo

    wakuu mmeamkaje, mimi niko salama. Mods naomba mnisaidie kurekebisha kichwa cha habari kama mada haitaendana na nitakachoandika. Majuzi mishale ya saa sita usiku ilitokea ajali mbaya sana ambapo treni iligongwa na gari, maeneo ya kipunguni relini, barabara ya kuelekea moshi bar, kwa wale watu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja. Ukweli mchungu ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya kifo au tukifa ndio mwisho wa kila kitu

    Kuna maisha baada ya kufa, au tukifa ndiyo mwisho wa kila kitu? Hili ni swali ambalo limekuwa likiwagawa watu kwa karne nyingi. Wapo wanaoamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, hakuna fahamu wala maisha mengine. Wengine wanaamini kuwa kifo ni mlango wa kuingia katika maisha mengine, ambako...
  14. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutamani kifo chako kiwe cha namna gani?

    Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari yako? Umewahi kutamani kifo chako kiwe cha aina fulani? Mara nyingi husikia watu wakisema...
  15. JamiiForums Tanzania Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

    Post hii imebase kwenye science na sio kwa ajili ya kudhihaki kifo.. So naomba sana mzingatie hili. As we all know everything is energy. That tukiivunja matter tu nakutana na simplest particles ambazo Zina beba charge... So since kila kitu in this physical universe is made up of particles...
  16. JamiiForums Tanzania Ayatollah mpya wa Iran Ameogopa Kifo Kutoka Kwa Israel

    Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa. Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ingekuwaje kama binadamu wote tungekufa kwa aina moja tu ya kifo ajali?

    Hebu tufikirie kwa mfano tu dunia ambayo hakuna kuugua wala kufa kwa magonjwa wala uzee. Kila mtu siku moja atakufa kwa ajali tu, ila hajui ni lini na wapi na kwa ajali gani ajali ya ndege ,gari au meli..natamani kujua maisha yangekuwaje tofauti na yalivyo sasa? Watu wangekuwa waoga zaidi na...
  18. JamiiForums Tanzania Hiki kifo ni ujumbe kwa Heche?

    Silazima nisalimu Wana jamvi. Katika Hali ya kushangaza na kustaajabisha, ni Jana Tu alitoa kauli kuwa anafuatiliwa na wasiojulikana.Leo Dereva wake kafa..NI kuna ujumbe umetumwa kwake ama Vipi?
  19. JamiiForums Tanzania Kiungo pekee kinachotabiiri kifo kwa mgonjwa wa kiume.sjui kwa Wanawake ILA hiki kidume ukifa kinasimama hatari.

    Mtoto/MWANAUME/Baba/Babu shikilia mashine yako kama uko poa kabisa huna changamoto ya kiafya, tekenya kende, gusa limsuri la katikati ya mtu.wa nyama wako, ukiona limesmama mwambie Mungu Asante. Kwa ufupi MWANAUME akiumwa na ugonjwa AMBAO auendi kumtoa roho kila siku asubuh atasimamisha ILA ni...
  20. JamiiForums Tanzania Unga: Utajiri wa Haraka, Kifo cha Hakika

    Hakuna biashara duniani inayoweza kugeuza maisha ya mtu kutoka umaskini wa kutupwa hadi kuwa bilionea ndani ya masaa 24 kama biashara haramu ya dawa za kulevya (Ubwabwa/Unga). Lakini nyuma ya mamilioni hayo ya haraka, kuna mfumo wa kikatili, usaliti wa kiwango cha juu, na kamba za kunyongwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…