kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Nchi yetu kuwa na mtu au kikundi kidogo kinacho controll uraisi haikwepeki, Nashukuru tu remote haiko kwa kabila kubwa.

    REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI? Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi kinachoshikilia "remote." Malalamiko kuhusu nani yuko nayo remote kwa sasa yanaweza kuwa ya msingi, lakini...
  2. W

    Tupige Zogo kidogo; Una utamaduni wa kumsaidia mwanao Homework?

    Kwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!? Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣
  3. Chemsha akili kidogo

  4. M

    Mayala: Samia Kaachie Kidogo kale Kasimba ka Kizimkazi

    Utampenda Mayala mwandishi wa habari na mwana CCM asiye mnafiki.
  5. Ebu tuwachanganye kidogo wadogo zetu wakina min me na wenzake

    Mwachiluwi ebu njoo uwachanganye wadogo zako Kuna mtu atasema ni majani ya chai Kuna mtu atasema hii thermos Kuna mtu atasema hili ni bomu la hamas Kuna mtu atasema hii ni nyuzi za kushonea gunia Kama haukuonea rambo kwenye hii kitu usiongee na mimi🤣🤣 Kuna vijana watasema pesa ya...
  6. Kama wewe ni msomaji wa biblia hata kidogo

    Yani ukiwa Mkristo ukisema uachage ujinga wa kudhalau kusoma neno la Mungu, Unaamua unasoma na wewe biblia kidogo. Japo wengi hawajasoma biblia wakamaliza lakini walau unakuwa na kakitabu kako kamoja umesoma story Yote ukamaliza. Wengi utakuta Kasoma kakitabu ka Yona. 😂 kana sura Nne tu, na...
  7. Ngoja tuongelee Uasherati na Uzinzi kidogo

    Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini? Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
  8. Nakumbusha kidogo tu, Lissu ni mtu wa aina gani huenda watu wameshasahau

    30 Jul 2015 Mbunge Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA alikutana na ripota Fredrick Mwakikato wa TZA ) na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo ya Lowassa kujiunga na CHADEMA.
  9. NHIF kitu kidogo hadi nije ofisi

    Siku kazaa hapo nyuma nimeingia nhif kupitia huduma yao ya online selfservice baada ya kufata hatua za mwanzo zote ikafika sehemu ya kuverify namba ya nida nimeijaza majibu napewq ishatumia katika Account type STUDENT napiga simu wanibadilishie iwe employee kazi yao kunipangia muda tu mara...
  10. KAMAA ULISOMA ADDITIONAL MATHS KWA MATOKEO YA SIMBA UMEJUA NANI ALIKUWA ANA MKIMBIA MWENZIE....BM MTUSAMEHE KIDOGO

    NIANZE KUWAPONGEZA SIMBA SC KWA UTHUBUTU WA KUINGIXA TIMU MENGI YALISEMWA LAKN WAMETHUBUTU KUINGIZA TIMU PILI NIWAPONGEZE KWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI WANA YANGA WENGI TULIINGIA NA MATOKEO YA MKONO YAAN 5 HATIMAE MKAFANIKIWA KUFUNGWA 2 TU HUU N UTHUBUTU NIIPONGEZE BODI YA SIMBA KWA KUTHUBUTU...
  11. MATHAYO 25:14–30,Mwenye nacho huongezewa zaidi,asie nacho hata kile kidogo alichonacho hunyang’anywa.

    Palikuwa na mfanyabiashara mmoja mashuhuri, mwenye busara na maarifa ya kipekee katika biashara. Siku moja, alipanga safari ya kwenda nchi ya mbali kwa muda usiojulikana. Kabla ya kuondoka, aliwaita watumishi wake wa karibu , watu aliowategemea kwa uaminifu na uwezo wao wa kiutendaji. Kwa kila...
  12. Miaka 22 iliopita JD alitoa wimbo wa wanaume kama mabinti, wimbo ulikuwa controversial kidogo, lakini kumbe alicheza na muda na leo umekuwa relevant.

    ⚠️Vijana wa kiume wanatengeneza group chats kuwasema na kusengenya wanaume wenzao ⚠️Vijana wa kiume wana ng'anga'nia kujumuika na wanawake katika party zilizo undwa kwa ajili ya wanawake pekee. ⚠️Zamani ilikuwa unasikia sikia tu fununu kwamba flani ni shoga ila leo unawahesabu kwa maana...
  13. Watu wa bibilia, tuumize kichwa kidogo

    Jacob said, Simeone and Levi are brothers Their knives are vicious weapons May I never enter their council May I never join their assembly, Simeone- Sheria, Levi- Dini Sheria na Dini, ni ndugu, Visu vyao ni silaha Kali, Mbona huku kwetu, Jacob anawaingilia Sheria na Dini, Kuna haja ya...
  14. Kama mlikuwa mnatuchukulia Simba SC poa poa nadhani kwa hiki kidogo tulichowafanyia leo ndiyo mtajua hutukukosea kuja na Msemo wa UBAYA UBWELA

    “Tumejaribu kuwapigia simu Simba Sc kuja kwenye Press lakini hatuwapati, kwakuwa hili ni jambo la kanuni hatuwezi kukaa muda wote kuisubiri timu, tuendelee na ratiba nyengine taarifa zaidi tutatoa kwa kurasa zetu” – Karim Boimanda – Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Chanzo: East Africa TV dakika 30...
  15. R

    Wanasiasa tusiwaamini hata kidogo hawako serious na mabadiliko ya haki ya mifumo inayopiganiwa na chadema, ni matumbo yao. Take note of this:

    1. Sheikh Ponda anagombea Ubunge Temeke..........................amekwenda ACT agombee 2. Peter madeleka Tabora........................... amekwenda ACT agombeee 3. "UOZO" wote uliotoka chadema unatafuta majimbo!...........................wanatafuta kugombea 4. Covid-...
  16. Ilibaki kidogo niunguze mboga

  17. Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
  18. Nguvu ya ajabu ya maji yaliochanganywa na ndimu ya Unga kidogo

    Ukitaka mtu aropoke yote aliyofanya kwa siku hiyo wakati yuko usingizini basi akisha lala, chukua glass yoyote,itie maji ujazo kiasi kwamba kidole cha shahada kikiingizwa kitaenea ndani yamaji. Weka ndimu ya Unga nusu kijiko. Kisha akiwa amelala usingizi mzito chukua kidole chake kisha weka...
  19. Tupate burudani kidogo

    Video hii ikimuonyesha moja ya mwanamke akizungumza katika mkutano wa hadhara Mambo hayo 🤣🤣🤣
  20. P

    Mlindieni heshima kidogo iliyobaki

    Kuna wasaidizi either kwa makusudi hawamsaidii, Kuna uwezekano ameelemewa ama anaumwa ama ni ishara ya nyakati. Mumsaidie msimuweke hadharani kila muda kama hamjamuandaa aende kwa script iliyoandaliwa. Ninajua watu wa Rika lake na jinsia wanakuwa more sensitive na easy kuwa provoked Kuna suala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…