Jana, Yanga walitangaza kuwa tiketi 4,000 bado zilikuwepo kuuzwa, jambo ambalo linashangaza kwani si Rais wa Yanga kuuza tiketi 4,000 kwa muda mfupi sana. Leo, tukio limeonekana kama full house, na inadai kuwa tiketi hizo CCM wamezinunulia ili kuhakikisha watu wakawa wengi wanashuhudia mchezo...