kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  2. JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Kiarabu ni tofauti kidogo na hawa wa Congo

    Hawa wakimbizi wa Kiarabu pande za Lebanon na Gaza ni tofauti kidogo na hawa wa kwetu huku Congo. Hawa waarabu wanaonekana kila siku wanaoga, nguo safi na wanaonekana wanakula kila siku. Wakimbizi wa Congo malnutrition inaonekana hata ukiwa km 10, watoto wazee wote wamekonda kabisa. Maji ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo

    Wana-jamii wenzangu mimi nina tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo, ama kwenye korido ndefu isiokuwa na uingizaji wa hewa fresh kutoka nje. Aidha, nikipanda lift mara mlango unapofungwa hupata tabu sana ya kupumua, mara kadhaa hushindwa kuendelea na safari yangu ya floor ninayokwenda. Aidha...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

    HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa. Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha...
  5. JamiiForums Tanzania Cheka kidogo ila inafundisha

    😳Sai kuna mtu bol ishaingia💦,,kuna mwingine sai ndio inaingia mig'uu ziko juu kama bendera ya Somalia🤣kuna mwingine anacome nakuambia anatetemeka mapa'ja kama earthquake za Turkey sasa ako zile za beb ziko mot'oo🔥💦😋☹💔,, Kuna mwingine ndio wanaanza rom'ance sasa anahema kama bata kiwete sasa bed...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa Ukitazama video yake utacheka Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
  7. JamiiForums Tanzania Kutoa kwenye ATM kwango cha laki nne kwa mkupuo mmoja ni kidogo sana, nashauri waongeze

    Benki kupitia mashine zao za ATM wamekuwa na ukomo wa kiwango cha kutoa pesa. Kutoa kwa mara moja kiwango cha juu ni Laki nne. Yaani kutoa Milioni moja mpaka uweke kadi mara 3 huu ni upotevu wa muda na ongezeko la gharama kwa wateja. Kwa niaba ya wateja wenzangu ninaomba kiwango kiongezwe.
  8. JamiiForums Tanzania Ebu tuwachanganye Gen Z kidogo

    Time is never your friend.
  9. JamiiForums Tanzania KWELI Kupwa na kujaa kwa maji ya maziwa na mabwawa ni kidogo sana ukilinganisha na baharini

    kwanini maji ya mabwawa na maziwa kupwa na kujaa kwake hakuonekani kama ilivyo baharini?
  10. JamiiForums Tanzania Hadithi ya Maprofesa ndani ya ndege

    Stori kidogo Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwepo taifa la Palestine. Pata crush course kidogo

    1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina. 2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola ya Palestina. 3. Kabla ya Ufalme wa Ottoman, kulikuwa na dola ya Kiislamu ya Wamamluk wa Misri, sio taifa la Palestina. 4. Kabla ya dola...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa simu za Samsung Galaxy A series, ngoja leo tujuzane kitu kidogo

    Wakuu! Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series. Sasa ukiwa unataka kununua...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hebu tujadili hili kidogo ndugu, hivi CHADEMA ni asasi ya kiraia au chamber of commerce?

    Bila shaka awali ilionekana chama hiki ni kama chama cha siasa sawa na vyama vingine, Lakini kadiri muda unavyosonga kinaanza kudhihirisha sababu za uwepo wake Nadhani madhumuni, misingi na malengo ya kuanzishwa kwake yameimarishwa au kuboreshwa zaidi hivi sasa na huenda kinyemela... Infact...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

    Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa. Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni...
  15. JamiiForums Tanzania CRDB wanazingua mno, inakuwaje wanachelewesha kumpatia mtu mkopo licha ya kukamilisha kila kitu.

    Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu. Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei, Nyie wenzangu mnachomeshwaga...
  16. JamiiForums Tanzania Nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa, nini tatizo??

    Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada, Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula chakula kingi. Pia inachukua muda mrefu hadi nianze kuhisi njaa. Naomba mwenye kujua hili tatizo...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

    Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu. 1. Diamond na...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi wa hili jambo nitaelezea kidogo ufahamu wangu

    Habari hii picha inamaana nitaelezea ila naomba ufafanuzi kwa anayejua zaidi. 1. Nitaanza na sunlight kwamba jua lina vitamin muhim kwanhiyo ni vema wkt flan kufurahia uwepo..wake na sio kukaa ndani muda wote. 2. Kupunzika. Baada ya kazi ni vema kupata muda wa kutosha upunzishe mwili na...
  19. JamiiForums Tanzania Hali ya madungu jeshi barabarani kwa sasa ikoje? Quick review kidogo

    Wadau nimekaa kwenye foleni barabarani nikitafakari ni vipi ile kasi ya ununuaji wa madungu jeshi (DISCOVERY3,4) ilivyokuwa mwaka jana kipindi kama hiki na mwaka huu ikoje? Mimi naona haya madungu watu wengi yamewashinda hayana tena attraction ile kama ya mwaka jana na kabla yake. Ishu...
  20. JamiiForums Tanzania Full Time: Man united 1-0 Fulham fc

    EPL | Man united 0-0 Fulham Fc Ila bruno 😄
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…