kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Polisi anafanya kazi mbali na inapoishi familia yake. Askari Mgambo anatumwa kukamata watu wa mtaani kwake. Hii sio sawa hata kidogo....

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA) (1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

    Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
  3. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amebadilisha dini tangu amenda kufanya kazi nchi za kiarabu

    Iko hivi mimi nilikuwa na msichana na tulipanga malengo tuoane kabisa huku Kenya sasa tatizo huyuu demu tarehe 05 mwezi wa 12 alipata kazi huko nchi za kiarabu yaan alienda Madina sasa huko sijuii bhana kimetokea nini bhana ametoka hapa ni Katolic na humwambiii kituu kuhusu kanisa. Na hata...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mnaopinga kuwasaidia wazazi wenu some hapa muelimike kidogo

    Wewe mtoto kumsaidia mzazi wako nu wajibu wako na kumsaidia ndugu yako ni uamuzi wako sio lazima ila mzazi wako ni lazima mzazi ni haki yake kuhudumiwa na mtoto au watoto wake soma hii The Elizabethan Poor Law, 1601 - Daily life in Elizabethan England - OCR B - GCSE History Revision - OCR B -...
  6. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Tupate burudani kidogo.

    Dominika njema.
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wamama badirikeni kidogo

    Ipo hivi nina dada yangu ambaye ni mjane mumewe alikufaga 2010 akamuachia watoto wawili wadogo sasa hawa watoto kwao waligawana kumsaidia mama kulea watoto mmoja alimchukua shemeji yake mdogo mwingine akachukuliwa na shemeji yake mkubwa huyu mmoja anaitwa E ndio mkubwa na wa pili J Sasa huyu J...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Chongolo: Malipo ya Wakulima kutoka NRFA yamechelewa kidogo, Waziri amenihakikishia watalipwa

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo akiongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo amesema malipo ya Wakulima wanaoidai Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) watalipwa malipo yao hivi karibuni na kukiri malipo yalichelewa kidogo. Chongolo ameyasema hayo Desemba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania U-kocha ni kazi ngumu, kisa kidogo...

    Ilikuwa mwaka 2022 nilienda kigoma kutembea kidogo. Kigoma maeneo ya manyovu huko, baada ya kama wiki hivi nikawa nishazoeana na wadau hasa wapenda mpira. Nilikuwa naenda mara Kwa mara kutizama mazoezi na kucheza siku moja moja. Siku moja ile timu nilokuwa napiga nayo mazoezi wakapata ki mechi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

    wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nyimbo Za zamani zilikuwa na ujumbe wenye kuelimisha,zitumike kufundishia hawa vijana,mfano hii hapa INACHOMA ya 20%.

    Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA 1. Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii, Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri, Navumilia huenda nitapata kivuli, Nitapata kivuli imeshakata miaka miwiliii, Ndimu na ugali,maisha Makali,elimu iko mbaliii, Lile jasho la halali,mpaka kabaliiii, Bosi...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Bado kitambo kidogo Tundu Lissu ataungana na makonda kwamba Hayati Magufuli was a "Good Man "

    Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha . Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo. Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa...
  14. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Hili jina la Tigo kuwa Yas limenishangaza kidogo

    The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!" Origin: The term gained popularity within LGBTQ+ ( L - Wasagaji (Lesbian): Wanawake wanaovutiwa kimapenzi au...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  16. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
  17. mchemsho

    JamiiForums Tanzania Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

    Salaam wana fikra pevu. Je, unaweza kueleza ni eneo gani ulikutana na mwenza wako kwa mara ya kwanza, pia je ni kweli kwamba tabia na mwenendo wa mwenza (mke/mume) hutegemea zaidi na sehemu (mf. Kanisani, sokon, baa...etc) mlipokutana kabla ya kuanzisha mahusiano? Mwisho kabisa, ni sehemu...
  18. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

    Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo!

    Wanabodi, Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?. Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
  20. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arumeru manyunyu kidogo tu ya usiku umeme umezimika mpaka sahizi?

    Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi. Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
Back
Top Bottom